posa yetu imekataliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

posa yetu imekataliwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by neyl, Jan 19, 2012.

 1. neyl

  neyl Senior Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?
   
 2. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  • ukabila upo, na culture zipo zinazuia hayo mambo. labda hofu yao ni kwamba binti yao atadharaurika, wanadhani anaolewa na familia nzima?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  osidai ni kaka yako?
  na wewe unaitwa osi nini?????lol
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  mwambie ampe mimba
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  atadharaurika = atadharaulika
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aisee. ..
  Tumeni wazee wakawaweke sawa.
   
 7. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahahahahahahaha....inawezekana wazazi waliogopa mtoto wao asije akatobolewa sikio
   
 8. neyl

  neyl Senior Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hahaha mimi ni gal naitwa nasi
   
 9. neyl

  neyl Senior Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwao kila mzungu padri hivyo kila mmasai anatoboa sikio.
   
 10. neyl

  neyl Senior Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ukwel hilo jambo linaniumiza simply bkoz sisi ni wamasai
   
 11. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,340
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  Unajua mambo haya mlikosea mwanzo, kwa hiyo mnatakiwa mfanye vizuri na kwa utaratibu.
  1. Wanatakiwa watu wazima wafunge safari mpaka huko Tanga na mkaongee nao ana kwa ana, na hilo watajua mmewaheshimu.
  2. Inawezekana kunamaneno furani wanayasikia kuhusu familia yenu, yanayowafanya waone binti yao atadharauliwa hawawezi kusema hivi, hivi bila sababu. Kwa hiyo kitendo cha kwenda Tanga na kuongea nao itasaidia sana kujisafisha.
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole mwaya, mtoto wa kitanga kakupagawishi mpaka basi Loh! Huambiwi wala husiki kwa mtoto wa ki Tanga... Ebu lilia Hali kwa mama mkwe huenda akakuelewa akaongea na baba mkwe anzaa pole pole usikurupuke.....
   
 13. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Hakuna cha mtoto wa bosi hapo, ni ukabila 2, unajua mila na desturi za kabila lenu bado hazijazaeleweka kwa wengi, wanajua mabaya mengi zaidi ya mazuri, mf utumikishwaji wa wanawake, kukosa maamuzi ndani ya familia nk .
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Poleni.
  Si wake huyo, atafute mwingine.
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  warudi tena bwana na wazee wanaoeleweka....!

  binti naye awe na msimamo!
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ammimbe
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Tumeni wazee wenye busara zao waende tena!
   
 18. neyl

  neyl Senior Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  arabian huyo ni mchumba wa kaka angu cyo wangu me ni msichana
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hamjawajua hao wabondei, wanataka mpande dau
   
 20. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Braza amedata na mtoto wa kitanga eeh!!! Komaeni.....
   
Loading...