GTs wenzangu poleni na joto, nahitaji portable AC hasa za brand nzuri, nikipata BTU 14000 itakuwa bora zaidi ila hata 9000 kama kuna mtu unajua zinapopatikana.
Naongelea AC sio air coolers.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.