Pornography?

Pornography?

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Haya ni mapenzi, uzinzi, uasherati au kitu gani?

Ni mara ya tatu kukutana na huu msala wa watu kubeba picha na video za ngono kwenye flash derives zao. Wa kwanza alikuwa kavulana fulani, nilikachimba mkwara nikakaambia nenda zako usirudie tena kubeba uchafu huo kwenye flash disk yako. Mwingine alikuwa ni mdada anafanyia kazi bank, nakumbuka alinitext "Hivi unanichukuliaje kunikuta nimebeba hizo picha?". Nilimjibu "utakuwa unatumia bundle kubwa sana, au tigo wanakupa bure nini, maana niliona picha zao pia!"


Wa tatu bosi wangu tena mwanamke. Issue iko hivi:

Laptop yangu nimeifanyia configuration kudetect malware (including porn videos and photos, kwa kutumia possible key words zinazoweza kuwepo kwenye source files, hapa kwa kawaida ni metadata au links zilikodownlodiwa), na ikidetect nimeiset kufungua folder lenye haya mavitu kwa kupoup, huku ikidispaly message:

"Wicked files detected, they are subject to deletion in few seconds, this decision is not negotiable and cannot be undone", hiyo ni warning message yangu.

Sasa siku moja asubuhi na mapema bosi wangu akaja anakimbiakimbia, namheshimu, dah "tafadhali naomba unisaidie kuna hizi data hapa nimehangaika nazo kweli, nataka kuzifanyia statistical analysis, ngoja nikuletee flash uhamishe na kufanyia kwenye laptop yako". Akanieleza kwa kifupi nimsaidie kuzifanya nini, halafu fasta kaenda ofisini kwake kuleta flash (ngo ngo ngo ...., kelele zilizofanywa na high heels zake).

Kuichomeka flash kwenye port hivi (sikutegemea kabisa kama huyu madam angebeba hayo madude kwenye flash), duh, OoOOOoOOOps! Folder limefunguka (amelipa jina "Personal Data") huku laptop ikidisplay hiyo message "Wicked files .....".

Madama "OOoohh jamani, hayo manini tena funga basi na wewe, jamani mambo mengine muangalie basi".

Mie nikajifanya niko busy na simu, mara bahati nzuri kuna jamaa kanipigia nikatoka nje kupokea, nikawa naongea halafu nazidi kusogea mbali na tulipokuwa (nilitaka niende mbali zaidi ili nikacheke). Kadri nilivyosogea mbali nilifunguka kwa kicheko, njiani nikakutana na jamaa yangu mwingine anakuja ofisini, nikampa mkanda kwa ufupi halafu naye akawa ancheka. Ikabidi nimwambie tafadhali tuliza mzuka maana utaua bendi. Jamaa alishindwa kabisa kuacha kucheka, ilibidi tusiende ofisini muda ule, tukaamua kwenda kutafuta breakfast kwanza kwenye mgahawa fulani upo karibu na sehemu ya kazi.

Nilirudi kwa kunyata, nikakuta laptop yangu imetolewa battery halafu wala haijarudihshiwa (atakuwa alishindwa kuizima, maana, nilivyokuwa nimeiset asingeweza kucancel au kuswitch off mpaka imalize kudelete).

Wakati nafikiria kwenda kumwuuliza secretary kama bosi yupo, bahati nzuri vuuuuuu, secretary kaingia ofisini kwetu "mmemfanya nini bosi mbona kakasirika hivi leo?". Nikamwuuliza yupo? Akaniambia kaondoka amesema kapata dharura, nikasema afadhali!

Ilikuwa Ijumaa iliyopita. Jumanne - kesho kutwa najua ataniita, na mie siku hiyo nitafika ofisini asubuhi sana ili kama atakuwa amefika tuyamalize kabisaa!

Nitamwambia hiyo flash yako usiwe unawapa watoto maana watoto wa siku hizi ni watundu sana wanaweza kujaza vitu ilimradi tu. Kuhusu ilivyopopup, nitamwambia kuna watu wamefanya uhuni wameiwekea flash software ili ukiichomeka kwenye usb port inafunguka automatically na kuiambia computer ifute baadhi ya mafaili!

Yaani majibu au kujitetea kwangu itakuwa ni full drama kutegemea na upepo na mood yake kuhusu hilo tukio.

Dunia ina mambo sikutegemea kabisa huyo mdada/madam kuwa na hizo movies kwenye flash. Kutokana na nilichokishuhudia juzi, jana niliamua kubadilisha signature yangu ya Jf na kutoa ujumbe kama unavyouona hapo chini.

Please Jf members "Say no to wicked things on your eyes!".
 
kwa hiiyo ndo ujanja au kila mtu na maisha yake we kama hutaki wenzako wanataka na ndomana zipo.....usiulize kwanini kwani sio kila utachokipenda wewe na wenzako wote wakipendi na sio unachokichukia wewe na wengine wote wakichukie
 
Hiyo ni flash yake.....so hayo mengine ni bahati mbaya tu. Na ninaamini kama angejua una hiyo software wala asingekuletea au angehamisha kazi ndo akuletee.
 
aisee nasikia usingizi sijasoma yote...

ila siku hizo movie zimekuwa very common bana na sidhan kama alikuwa

na hiyo nia..may be alisahau akaja nayo kwako
 
Hayo mbona kawaida.. nafikiri watu wazima ndio wanazipenda sana na hata kuwachochea hata kufanya mapenzi kinyume na maumbile, maana wanayaiga yale wayaonayo kwenye izo movie
 
  1. ni Bosi wako
  2. unamuheshimu
baada ya kuona (uliyoyaona) ulitoka nje (probably, ukamuacha ofsini na kuelekea kwenye breakfast moja kwa moja...SERIOUSLY??? nahisi kama kunakitu skipati poa hapa.


Na unauhakika gani yeye ndo aliweka?? na kama hakuweka yeye angejuaje uwepo wa hayo ilihali hajafanya hizo configuration kama wewe?
 
Mapi haya mambo we acha tu...mie enzi niko ofisi fulani bosi wangu alinipaga flash yake kuja

kuiweka hivi,nikakutana na kama Virus sijui maambo ya ngono kabisa..nikashangaa kama huyu
Simplicity..nikawascan wee hawatoki...baadae nikaiformat...nikaenda kuna stationary moja tunaprintig

wamefanya kaz yetu wamemliza narudi ofisin nakutana na zile zile vitu tena,kumbe bosi wangu nae aliwatoa hao virus kule

ko mie nishaanza kumjudge weee
 
Last edited by a moderator:
uzembe sana kukutwa na video za porn kwenye computer,mi huwa na-lock kabisa file ya porn nimei-name "kwaya".
nani atahangaika files zote afungue asikilize kwaya wakati kuna series na movies au comedy
 
  1. ni Bosi wako
  2. unamuheshimu
baada ya kuona (uliyoyaona) ulitoka nje (probably, ukamuacha ofsini na kuelekea kwenye breakfast moja kwa moja...SERIOUSLY??? nahisi kama kunakitu skipati poa hapa.


Na unauhakika gani yeye ndo aliweka?? na kama hakuweka yeye angejuaje uwepo wa hayo ilihali hajafanya hizo configuration kama wewe?

huyu jamaa muongo sana, yaani umuachie ofisi bosi wako asolve broblem ya displayed porno kweye laptop uliyoifungua wewe!!!! hata kama ni autorun, haiingii akilini.
 
Mapi haya mambo we acha tu...mie enzi niko ofisi fulani bosi wangu alinipaga flash yake kuja

kuiweka hivi,nikakutana na kama Virus sijui maambo ya ngono kabisa..nikashangaa kama huyu
Simplicity..nikawascan wee hawatoki...baadae nikaiformat...nikaenda kuna stationary moja tunaprintig

wamefanya kaz yetu wamemliza narudi ofisin nakutana na zile zile vitu tena,kumbe bosi wangu nae aliwatoa hao virus kule

ko mie nishaanza kumjudge weee
au unakuta unaambiwa upeleke representation kwa njia ya flash,umedelete kila kitu ila ye akiweka kwenye computer bado unashtuka kama kuna kitu imesahaulika
 
Mapi haya mambo we acha tu...mie enzi niko ofisi fulani bosi wangu alinipaga flash yake kuja

kuiweka hivi,nikakutana na kama Virus sijui maambo ya ngono kabisa..nikashangaa kama huyu
Simplicity..nikawascan wee hawatoki...baadae nikaiformat...nikaenda kuna stationary moja tunaprintig

wamefanya kaz yetu wamemliza narudi ofisin nakutana na zile zile vitu tena,kumbe bosi wangu nae aliwatoa hao virus kule

ko mie nishaanza kumjudge weee
ndio maana simuelewi Simplicity kirahisi labda anipe maelezo ya ziada....
ila hiyo yako isjekuwa haikuwa virus, bosi alikuwa ameweka kamtegoo....hahahahahah
 
Last edited by a moderator:
hivi hiyo software umeiweka ili nini labda? hizo outside sources zenye hizo mambo ni za watu wengine, na ni mali zao na contents within ni za kwao..wewe unawasaidiaje kudelete while wao wanazitaka?? sio kuingilia privacy ya mtu huko?
 
hujaona wewe..wengine wanatamani kutembea hadi na kwaya njiani we unasema nini!!??
ujanja mwingi sana Mapi,unaweza kuweka folder jina M,akiingia anakuta folder lingine inaitwa N,halafu yenyewe haina kitu mana ndani yake kuna folder S,akienda S anakuta folder I,akienda G kuna folder L,akienda L kuna folder,akienda folder L anakuta folder inaitwa ''empty''... folder ndani ya folder halafu herufi tu lazima akate tamaa tu,kumbe hiyo empty ndo jina la video zenyewe
 
Back
Top Bottom