Pornography:is it good

PRECIOUSDOE

Senior Member
Feb 3, 2009
114
12
Wenzangu juzi mwenzangu akaniambia eti mumewe huwa analeta movie za porno waone kabla waelekee bedroom.yeye alisema kweli zinamleta juu kiasi ambacho mumewe kwa kawaida hawezi, tena haraka mno lakini nafsi yake inamhukumu anafanya maovu.Wenzagu munaonaje pornography ku enhance sex life kwenye ndoa???
 
Hii kali sasa wanaangalia wenzao wakitumia vyombo vyao wakati wao wanavyo vyao vya kutumika live
 
Porn is the shiznit....

Btw, Montana Fishburne, Laurence Fishburne's daughter is a porno star now and she goes by the name of Chippy D....you can check her out in action with Brian Pumber on spankwire....
 
Familia nyingi ambazo zinakumbwa na jinamizi la kupungua kwa nguvu za kiume (ambazo zinasababishwa na matatizo ya kisaikolojia) hutumia hizo picha kama starter au catalyst ya kuibua hisia za mapenzi. Naona kwa wanandoa zinaweza zisiwe na madhara sana. Pamoja ya kwamba huwa zinaweza kuleta hali ya watu kuanza kulinganisha aliyepo kwenye picha na aliyenaye. hasa maumbile ya hao wanandoa (ya kiume na figure ya mwanamke pengine) na hivyo zinaweza kuharibu mvuto uliopo kati yao.
 
Wenzangu juzi mwenzangu akaniambia eti mumewe huwa analeta movie za porno waone kabla waelekee bedroom.yeye alisema kweli zinamleta juu kiasi ambacho mumewe kwa kawaida hawezi, tena haraka mno lakini nafsi yake inamhukumu anafanya maovu.Wenzagu munaonaje pornography ku enhance sex life kwenye ndoa???

Nafsi inamhukumu je? Au anakuwa anawaza ile 'rungu ya nyayo' alokuwa anaona kwenye muvi wakati aki do?

Tatizo la porn ni kuwa at the end utaona mtu wako hana maujuzi hivyo utaenda kutafuta wanaoyaweza kama huko kwenye picha...
 
Mke akiona jamaa aliepo kwenye video ana bonge la dungu wakati mmewe ana kibamia anaweza anza toka nje kutafuta mwenye dungu kubwa ili aifeel kazi yake, :becky:
 
Naona sio tatizo katika kuangalia...ingawa sawa kuna swala la maumbile linaweza kuleta balaa home mwanamke akaona kumbe mume wake hana mkazuzu kihivyo..then unakuta wao kama porn star wanaweza kuta wanachukua zaidi ya 10mts kushuka kama wewe huwezi kukaa hivyo inaweza kuwa kama mlinganisho..etc.
 
well,hii ishu inahitaji umakini kuiapproach coz ni mtu mwenyewe ndo anaweza kuona uzuri au ubaya yakimkuta..na to be honest ukiwa addicted na hii kitu huachi na itakuathiri hata utendaji wako kitandani so mi siisuggest kwa kuboresha maisha ya ngono but natoa angalizo kuwa kuna zile love story ambazo sex scene zake sio zile hard to the core zile ambazo wakikutana wanarukiana na kuraruana but zile zinazoonesha story flani but with sex scenes ndani yake ambapo unaona jamaa wakipeana mambo laiv those are good but zile hardcore nadhani hazifai kuwa teja kwenye hizo..nadhani naeleweka, so ni nzuri au mbaya? nadhani kila mtu ana mtazamo wake but kwa mimi nadhani they are not
 
Kama twako ni tudogo unajisikia vibaya, maana nyingi sio maumbele halisi ni tulema!!!!!!!
:washing:
 
Kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, kama unataka kuanagalia hizo porno lazima uwe na sababu za msingi kama huna nafikiri hazina maana, mathalani sitegemei watu waliokaa kwenya ndoa kwa muda mrefu kusikia wana haja tena ya kuangalia hizo maana hapo kama ni wanadoa tayari watakuw umeshafahamu ni upande upi au eneo gani wenyewe wakifika ndiyo safari hunoga. ila kwa wale ambao ndiyo wanaanza kujifunza a, e, i, o, u ya mapenzi wanaweza wakasaidika japo si shauri hili lifanyike maana athari zake ni kubwa sana kwani baadae hugeuka kuwa tabia maishani.
 
nasikia ukiangalia sana porno nguvu za kiume zinapungua ni kweli? matabibu naomba mnijuze
 
:confused2: Eeeh ni kweli; lazima tukubali kuwa kuangalia porn kama starter kuna madhara kwa kuwa mara nyingi hii itaelekea kuwa ni tabia yenu......kitu kikubwa watu wanasahau ama kutokuelewa ni kwamba Por atist ni proffesionals..........na porn ni biashara........na ili biashara yoyote iuze lazimaiwe n mvuto.na mvuto kwenye porn i hivyo vitu amabvyo mie na wewe huviona kuwa ni extra.

Well athari yake ni kama aipatayo teja..............kwa mamneno mengine!
 
Mimi nadhani mtu anayetegemea kuangalia picha za ngono ndipo apate mzuka wa mapenzi badala ya kupata mzuka huo kwa kumwangalia partner wake aliye mbele yake huyu lazima ana matatizo hasa akiwa ni mwanaume ambao mara nyingi ndio wanategemewa kuwa waanzilishi wa game. Wanahitajiwa haraka kupata ushauri nasaha kutoka kwa wana saikolojia na wataalamu wengine wa afya ya uzazi.
 
:confused2: Eeeh ni kweli; lazima tukubali kuwa kuangalia porn kama starter kuna madhara kwa kuwa mara nyingi hii itaelekea kuwa ni tabia yenu......kitu kikubwa watu wanasahau ama kutokuelewa ni kwamba Por atist ni proffesionals..........na porn ni biashara........na ili biashara yoyote iuze lazimaiwe n mvuto.na mvuto kwenye porn i hivyo vitu amabvyo mie na wewe huviona kuwa ni extra.

Well athari yake ni kama aipatayo teja..............kwa mamneno mengine!
kweli ni uteja kuna jamaa yangu mmoja alikuwa ame-save porns kibao kwenye laptop siku moja akadai anaacha akazifuta zote akakaa kama wiki hivi bila kuangalia kumbe mzigo aliutupia kwenye recycle bin baada ya kuzimiss akaretrieve mzigo kama kawa na kuendelea kula chabo
 
Porn is the shiznit....

Btw, Montana Fishburne, Laurence Fishburne's daughter is a porno star now and she goes by the name of Chippy D....you can check her out in action with Brian Pumber on spankwire....

NN is this the chick of Akeelah and the spelling bee - wot the hell happened????:confused2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom