Population of Tanzania Cities and Towns 2019

Halafu kweli hao ndo wasumbufu vibaya mno.., mara arusha ina 1.5M sijui sensa ya 2012 idadi ilikuwa hivi hivyo haiwezi kuwa hivyo yaani shida tupu

😀😀
Watanzania huwa tuna tabia ya kubisha jambo kwanza na kutafuta/kutaka ufafanuzi baadae. Hii ni tabia ambayo imeshageuka kuwa utamaduni na huwa inatukosesha kuelewa vitu vingi. Utamwambia mtu fact abc... ila kwanza atabisha. Baadae ukimwelesha ndiyo utasikia anasema '' labda uniambie hivyo''.
 
Hahaha wabongo ni shida
 
Back
Top Bottom