Population of Tanzania Cities and Towns 2019

Mwanza mkoa kwa sasa ni milioni 5
Kama ni jiji tu zile wilaya mbili ni sawa

Na kama umechukua kwa cents hata dar idadi inapungua...
 
Yani miji ya dodoma na arusha population zinakaribia kulingana!!
Tangu lini
 
Good evening,
Here is the population of Tanzania cities and towns by 2019

Dar es Salaam city 6,368,000

Mwanza city 1,061,000

Zanzibar city 677,000

Mbeya city 541,000

Arusha city 483,000

Dodoma city 410,956

Morogoro town 395,000

Songea town 331,000

Source:United Nations.

Note: kuna miji kama kahama sijapata vizuri population yake....

Uzi tayari...

Naona Songea Kunyumba imetajwa hapa.
 
Back
Top Bottom