Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,384
- 1,310
Hizi takwimu zina walakini Mkubwa ,mwanza Jiji sensa ya 2012 ilikua na 650000 Leo hii iwe Mara mbili yake ?
Acha uongo ww....ilikuwa na 750,000....hapo ni ongezeko la watu kama 300,000 kwa miaka sabaHizi takwimu zina walakini Mkubwa ,mwanza Jiji sensa ya 2012 ilikua na 650000 Leo hii iwe Mara mbili yake ?
Hawa watalii, mapadre na wawekezaji wanaokuja Tanzania wanakuja kwa mambo mengi ikiwa pamoja na kufanya huo utafiti ndugu yangu.Hao UN wanapataje data zao?
Wasukuma ni wengi kuliko dar nzima..coz hata data za wingi wa wasukuma za Mwaka 2012 walikuwa 8.9M so saiv wanaeza kuwa hata 11M almost dar mbiliYaani population ya dar city ni sawa na population ya wasukuma wote nchi nzima
Hivi Zanzibar ni cityGood evening,
Here is the population of Tanzania cities and towns by 2019
Dar es Salaam city 6,368,000
Mwanza city 1,061,000
Zanzibar city 677,000
Mbeya city 541,000
Arusha city 483,000
Dodoma city 410,956
Morogoro town 395,000
Songea town 331,000
Source:United Nations.
Note: kuna miji kama kahama sijapata vizuri population yake....
Uzi tayari...
Good evening,
Here is the population of Tanzania cities and towns by 2019
Dar es Salaam city 6,368,000
Mwanza city 1,061,000
Zanzibar city 677,000
Mbeya city 541,000
Arusha city 483,000
Dodoma city 410,956
Morogoro town 395,000
Songea town 331,000
Source:United Nations.
Note: kuna miji kama kahama sijapata vizuri population yake....
Uzi tayari...
Endelea kuhisiIla nahisi Dar watu wanafika million 10
Muwe mnapitia replies kwanza kabla hamjaanza kung'aka....Hivi Zanzibar ni city
Na hao laki 6+ wamepatikanaje?
Population inahotajwa ni ya Jiji la Mwanza na sio Mkoa wa Mwanza.Dar noma dah.
Kaeneo kadogo (1590 km sqr) hafu watu Mil 6.4, Population density ni zaidi ya 4,000/km sqr.
Hafu mbona kwenye izo data population ya Mwanza imepungua? 2002 ilikua zaidi ya Mil 2.
Duh kazi sanaWe jamaa ukijumlisha izo population hatuwezi kufika milioni 55 aisee, unataka uniambie wamehesabu katikati ya mji tu?
Mleta mada una kazi kubwa maana watu hawajui tofauti kati ya jiji au mji na mkoa,Duh kazi sana
Of course mkuu....,naona wengine wanajaribu kunisaidia lakini watu bado ndo hivyo ..Mleta mada una kazi kubwa maana watu hawajui tofauti kati ya jiji au mji na mkoa,
Hasa watu wa Arusha baada ya kuona jiji lao bado lina watu wachache vile wakilinganisha na jiji kama Mwanza, wanafikiri na huko Longido ni jijiOf course mkuu....,naona wengine wanajaribu kunisaidia lakini watu bado ndo hivyo ..
Halafu kweli hao ndo wasumbufu vibaya mno.., mara arusha ina 1.5M sijui sensa ya 2012 idadi ilikuwa hivi hivyo haiwezi kuwa hivyo yaani shida tupuHasa watu wa Arusha baada ya kuona jiji lao bado lina watu wachache vile wakilinganisha na jiji kama Mwanza, wanafikiri na huko Longido ni jiji
sijaona comment zaidi ya mbili za watu wa arusha walioliza kuhusu izo data wengi wanaouliza ni dar na zanzibarHasa watu wa Arusha baada ya kuona jiji lao bado lina watu wachache vile wakilinganisha na jiji kama Mwanza, wanafikiri na huko Longido ni jiji
wanaouliza wengi n wa dar na Zanzibar acheni kunchokozea watu wa arushaHalafu kweli hao ndo wasumbufu vibaya mno.., mara arusha ina 1.5M sijui sensa ya 2012 idadi ilikuwa hivi hivyo haiwezi kuwa hivyo yaani shida tupu
Ipo,hayo ya ramani unayajua we we.