Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,240
- 1,481
Ooh.. okay mkuu.. nimekuelewa.. thanks.
Anazungumzia arusha jiji sio mkoa
Anazungumzia arusha jiji sio mkoa
Huko wapi?Inatambulika hivyo huko
Acha kuchanganya jiji la mwanza na mkoa wa mwanza vitu viwili tofautiDar noma dah.
Kaeneo kadogo (1590 km sqr) hafu watu Mil 6.4, Population density ni zaidi ya 4,000/km sqr.
Hafu mbona kwenye izo data population ya Mwanza imepungua? 2002 ilikua zaidi ya Mil 2.
Dar noma dah.
Kaeneo kadogo (1590 km sqr) hafu watu Mil 6.4, Population density ni zaidi ya 4,000/km sqr.
Hafu mbona kwenye izo data population ya Mwanza imepungua? 2002 ilikua zaidi ya Mil 2.
Mkuu si hivyo hiyo hapo juu ni population ya mwanza city(nyamagana+ilemela) ambayo 2012 nadhani ilikuwa 700,000....hiyo unayosemea wewe ni population ya mwanza kama mkoa(region) ambayo ni kama 4M kwa sasa....Dar noma dah.
Kaeneo kadogo (1590 km sqr) hafu watu Mil 6.4, Population density ni zaidi ya 4,000/km sqr.
Hafu mbona kwenye izo data population ya Mwanza imepungua? 2002 ilikua zaidi ya Mil 2.
Arusha city, sio Arusha regionHizi data sio za kweli. Arusha ilikua inakaribia 1m.. leo imeshuka mpaka laki nne????? Hard to belive
Of courseMwanza ya jiji yani pale ilemela na nyamagana kama sikosei
Ya Pepsikwa hisani ya wapi?
Nimeshaiweka mkuu nilisahau
Zanzibar city.... Nafikir sanasana ni unguja2012 Zanzibar ilikuwa na watu zaidi ya milioni 1
We unafikir inawezekana ya miji yote?...Sio mikoa, MIJISasa si ungeweka miji yote.
Angalia Raman ya Africa hauna nchi inaitwa zanzibarZanzibar ni nchi si jiji.
Ipo,hayo ya ramani unayajua we we.Angalia Raman ya Africa hauna nchi inaitwa zanzibar
Ina asilimia 10 ya watuKumbe watu laki 5 si mchezo. Basi Nchi ipo daresalamu.