Popo bawa

Popo bawa

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Jaman hivi hilo dubwasha liliishiaga wapi? naana liliingia nchini kwa kasi sana hata cjui lilitokea sayari au nchi gani. Kwa muda mfupi tu likawa maarufu kupita kiasi,jina lake likawa gumzo nchi nzima,likaogopeka sana kwa vitendo vilivyosadikika kufanywa na lenyewe.....ni miaka mingi kiasi imepita tangu lipotee bila hata kujulikana......mwenye tetesi zozote kuhusu hilo dude anijulishe kama lilikufa, lilirudi kwao au vyovyote vile
 
Subiri UCHAGUZI
 
cjauliza liko wapi nilifate..nimeuliza lilikopotelea
 
Jana nilipishana nae wakati naenda sokoni...
Nikimuona tena nitampa salam zako...nimwambie umemmiss eti....?
 
naskia lilipata scholarshp limeenda kupga Phd ng'ambo, lmefuata ma ujanja zaid
 
Popo bawa aliuliwa zenj,alikamatwa asubuhi akiwa anaendesha baiskeli yake waka-mrestisha in peace labda kama unataka kuona kaburi lake nenda wakuoneshe ukaweke na mashada kabisa mkuu.
 
lile jini lililotengenezwa na wapemba bado liko hai utaliskia tu linaibuka tena soon.
 
Muulize kahtaan Inaonekana Hauko Pwani,Tanga,DSM Na ZNZ.Popo Anawamaliza Waja Wa ALLAH Huku.... Cc gyan A-B
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom