Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

Mkono wa usa humo brics hauwezi kosekana influence yake haiwezi shindwa ku control wanachama wa brics.

Mimi nimejenga hoja juu ya wanaodhani brics inakwepa mkono wa usa kimsingi hilo halipo.
Na Mimi nimekukumbusha tu kuwa hata hao wakubwa waliomo ndani ya Bric's wanajua wanalofanya na hata Urusi ana mkono ndani ya NATO na EU haya mambo ya kawaida sana kwenye Ulimwengu wa Ushushushu.
 
Mkuu wewe Unafikiri China na Urusi,,India,Iran n.k hawajui kuwa Saudia ni Mamruki wa US lakini wewe huku ndio unajua?.
India ndio mamluki wa kwanza wa US na UK, haitokaa itokee milele India akawa mnyenyekevu hapo BRICKS. WA INDIA ni wengi US, UK na Canada na wanafanya biashara na Siasa huko. India na China ni maadui wakubwa(kugombea mpaka Kati yao)na hawafanyi biashara. Saudi Arabia ni Mamluki wa 2 wa US, Agentina ni Mamluki wa 3 wa Nchi magharibi kupitia Spain(Wajentina ni waispaniola), South Africa ni Mamluki wa chini chini ( Wazungu pale watatoa taarifa kwa US na UK kabla ya mipango ya Bricks haijatekelezwa). Brazil raisi Wao ndio mwenye nia ya Bricks lakini wanasiasa waliobaki wapo upande wa Magharibi kumbuka Bolsonaro alikua ana presha na Bricks kwahiyo akiondoka Lura tu Brazili ni kivuli. BRICKS imeundwa kwa ajili ya China kupata makoloni ya biashara na Urusi kupata Washirika wa Kijeshi zaidi ya hapo amna kitu.
 
Sababu ingine yaweza kuwa upande wa nchi za magharibi na Marekani zaona kwamba BRICS imewakubali Iran na Saudi Arabia ambao ni waislam basi nao kwa kuwa majority ni wakristo wameona labda Vatican akae kama "observer" ili kama kuna hitilafu basi Papa awe mpatanishi.

Yaani hiyo itakuwa tayari wameanza kuingiza UDINI kwenye hili la BRICS eti sababu tu Iran na Saudi Arabia watajiunga.
Nasikitika kukujulisha kuwa vipimo vinaonesha wewe ni empty set yaani huna akili hata ya kuvukia barabara.
 
BRICKS NA MALENGO YA KILA NCHI.
CHINA - apate nishati(mafuta, makaa,madini kinywa) na eneo la biashara.
URUSI - apate Washirika wa Kijeshi kukabiliana na NATO, kutengeneza multipolar world (dunia isio moja) ili kuondoa kwa haraka ukubwa wa Magharibi duniani kiuchumi.
IRAN - apate ahueni ya vikwazo vya uchumi kutoka magharibi kwa kuondoa ukubwa wa nchi za mgharibi na Kuondoa nguvu ya ushawishi wa Saudi Arabia mashariki ya Kati.
SOUTH AFRICA- apate ahueni ya mikopo isio na riba, biashara na misaada kutoka China, Urusi na India kujikwamua na uchumi usio kua kwa miaka mingi.
BRAZIL- apate uwekezaji wa mitaji katika sekta zake za viwanda na biashara asa kutoka China na apate mahali pa kuuza bidhaa zake za magari, ndege na nyingine ambazo zimekosa wateja pale South America kutokana washindani wake US, Mexico, Canada na EU ambao ndio wanatawala Soko la Latin America na Caribbean.
SAUD ARABIA - apate biashara zake za mafuta kwa kuegemea pande zote za globle West, globle East na globle South. Pia ana hofu uchumi wa magari ya umeme na uondoaji wa nishati chafu unaopigiwa upatu na G7 pamoja na EU utakata biashara yake ya mafuta kwahiyo anawai uku BRICKS kwa kuwa BRICKS hawana sera hiyo ili auze pale West watakapokacha wese lake.
ETHIOPIA - apate msaada wa haraka wa nishati, chakula na fursa za biashara ili kusaidia idadi yake ya watu walio masikini na vita. Yupo pale koumba tu.
AGENTINA - apate msaada wa kuondoa madeni aliyo nayo na uchumi mgumu taifa inalopiatia kwa miaka. Anatafuta pa kupumulia shida zake.
European Union ili ujiunge lazima upewe mashariti ya Kufanya kama 1. Kurekebisha mifumo yako ya kitaasisi kuendana na matakwa ya EU na nchi wanachama. Uchumi, Sheria, mazingira, rushwa, Siasa na demokrasia, kilimo, fedha na benki na e.t.c lakini BRICKS unajiunga ata kama nchi yako inavita kama Ethiopia, ina uchumi mbovu kama Agentina, South Africa, au ata kama ina sera mbovu za kisiasa.
2. G7 zote zina uchumi mkubwa na viwanda na zinachangia katika pato la Bank ya dunia kwa pamoja na kuingia G7 ni uchumi wako kuwa namba 1 hadi 7 kiuchumi, kiviwanda na kimapato lakini BRICKS inaokota ata kama nchi haina data za kiuchumi.
3. BRICKS kila mtu ana malengo yake, wakati EU ni economic forum, na G7 ni economic forum na NATO ni Military forum.
4. Je unawezaje kumlinganisha South Africa au Ethiopia na China katika mizani ya biashara?, Ilitakiwa Ethiopia upewe miaka 5 ijirekebishe kisera na kiuchumi alafu ujiunge na BRICKS sasa imeingizwa chap kwa haraka wakati ina vita za ndani na amhara, Oromia na Tigrai, sasa uwo si umoja wa mambo mengi sana.
MI NAONA ILE POINT YA HISTORY FORM TWO YA, FAILURE OF REGIONAL BLOCK/ORGANISATION IS, 1. Different idiologes between member states ina apply hapa. Uyu uchumi, uyu amani ,uyu ukubwa, uyu biashara, uyu nishati, uyu tukomoane.
 
Anayedhani Russia Hana mamluki wanaompa taarifa za NATO inabidi ajitafakari sana....we hujiulizi nowadays nchi za NATO Kila zinapotaka kushambulia sehem Fulani zinakuta mrusi tayari ametegesha komwe lake Ili akiguswa akiwashe on the spot.

Rejea pale Niger vs France chini ya mwamvuli wa ECOWAS
 
Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.

Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.

View attachment 2728854

Wasimruhusu, wasithubutu, Huyo ni member wa New World Order.
 
Anayedhani Russia Hana mamluki wanaompa taarifa za NATO inabidi ajitafakari sana....we hujiulizi nowadays nchi za NATO Kila zinapotaka kushambulia sehem Fulani zinakuta mrusi tayari ametegesha komwe lake Ili akiguswa akiwashe on the spot.

Rejea pale Niger vs France chini ya mwamvuli wa ECOWAS
Kwani NATO wakitaka kushambulia mahali huwa wanafanya kwa siri, ghafla au kushitukiza??
 
N
Marekani na Uingereza waitumie Vatican?! Sikutaraji kuwa naweza kusoma kitu kama hiki toka kwako.
Ndio wanaweza kumtumia kwani papa malaika!wote ni wa magharibi tu,ombi lake linawalakini kwanini sasa na huku BRICS Ina miaka zaidi ya 14
 
India ndio mamluki wa kwanza wa US na UK, haitokaa itokee milele India akawa mnyenyekevu hapo BRICKS. WA INDIA ni wengi US, UK na Canada na wanafanya biashara na Siasa huko. India na China ni maadui wakubwa(kugombea mpaka Kati yao)na hawafanyi biashara. Saudi Arabia ni Mamluki wa 2 wa US, Agentina ni Mamluki wa 3 wa Nchi magharibi kupitia Spain(Wajentina ni waispaniola), South Africa ni Mamluki wa chini chini ( Wazungu pale watatoa taarifa kwa US na UK kabla ya mipango ya Bricks haijatekelezwa). Brazil raisi Wao ndio mwenye nia ya Bricks lakini wanasiasa waliobaki wapo upande wa Magharibi kumbuka Bolsonaro alikua ana presha na Bricks kwahiyo akiondoka Lura tu Brazili ni kivuli. BRICKS imeundwa kwa ajili ya China kupata makoloni ya biashara na Urusi kupata Washirika wa Kijeshi zaidi ya hapo amna kitu.
BRICS ipo kiuchumi labda wabadilishe dhamira
 
Lengo kuu la brics ni kupambana na usa na washirika wake hakuna zaidi,malengo mengine ni danganya toto tu. Ukitazama wanataka waondoe matumizi ya dola kama currency ya kibiashara duniani eti kila mtu atumie currenccy yake mara watumie yuani ya china jiulize hili litawezekanaje kwa nchi zenye currency instability.

Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda tu.
Saudi Arabia kwa sasa uhusiano na USA ni wa kinafiki rejea kauli za Crown Prince Mohamed Salman
 
Mkono wa usa humo brics hauwezi kosekana influence yake haiwezi shindwa ku control wanachama wa brics.

Mimi nimejenga hoja juu ya wanaodhani brics inakwepa mkono wa usa kimsingi hilo halipo.
Marekani ameshapoteza credibility yake siyo kwa mataifa ya BRICS tu siku hizi uganda, Burkinafaso , Mali wanamgomea tu maupuuzi yake na hana la kuwafanya.
 
Sababu ingine yaweza kuwa upande wa nchi za magharibi na Marekani zaona kwamba BRICS imewakubali Iran na Saudi Arabia ambao ni waislam basi nao kwa kuwa majority ni wakristo wameona labda Vatican akae kama "observer" ili kama kuna hitilafu basi Papa awe mpatanishi.

Yaani hiyo itakuwa tayari wameanza kuingiza UDINI kwenye hili la BRICS eti sababu tu Iran na Saudi Arabia watajiunga.
Saudia na Iran hawaivi pamoja kwenye masuala ya udini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom