Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,213
- 27,422
- Thread starter
- #41
Iran na Saudia wamerejesha mahusiano ya kidiplomasia jambo lililoikera sana nchi ya marekani.Saudia na Iran hawaivi pamoja kwenye masuala ya udini
Iran na Saudia wamerejesha mahusiano ya kidiplomasia jambo lililoikera sana nchi ya marekani.Saudia na Iran hawaivi pamoja kwenye masuala ya udini
Una maana gani kusema credibility ya habari husika?Naona watu mmekomaa kflow bila kuangalia credibility ya habari husika!
Au zanzibarHiyo ni City state kama vile Palestine , Taiwan au Hong-Kong
Sawa kabisaAu zanzibar
Nimeona hii lakini urusi ametoa conditions ambazo kiuhalisia sijui kama wataweza kuzitekeleza.
Jamaa ana special seat UN anataka ajue pia kinachoendelea brics dah roman empire inaangalia wapi pa kuingiliaWataalam wa siasa za kimataifa hii imekaaje mji wenye mamlaka yake ya ndan unapofanya maamuz ya aina hii???
Hivyo visifa uchwara vya ujasusi uwapelekee watu Kama fsb,svr na Iran!?..acha kukuza vitu viso maana,halafu mbona wanapenda Sana siasa hao wakatoliki!?..ni dini au corporate!?..kanisa katoliki ujerumani kuanza kufungisha ndoa za mashoga hivi karibuni,wahangaike na ustawi wa kiroho wa waamini wao!Kwa kuwa Marekani na Uingereza hazitakubaliwa kujiunga na BRICS basi wao wameamua kuitumia Vatican.
Vatican ni watalaam kwenye tasnia ya ujasusi na watasaidia kuidhibiti BRICS na kuhakikisha wazipata taarifa zote nyeti na kisha kuzipeleka kwa wamarekani na waingereza.
Vatican wajulikana kwa huduma zake nyeti kwenye maeneo ya uchumi na siasa za Dunia hii.
Ila Russia tayari wameng'amua hilo na ni kuona kama watawakubalia Vatican au la.
Sababu ingine yaweza kuwa upande wa nchi za magharibi na Marekani zaona kwamba BRICS imewakubali Iran na Saudi Arabia ambao ni waislam basi nao kwa kuwa majority ni wakristo wameona labda Vatican akae kama "observer" ili kama kuna hitilafu basi Papa awe mpatanishi.
Yaani hiyo itakuwa tayari wameanza kuingiza UDINI kwenye hili la BRICS eti sababu tu Iran na Saudi Arabia watajiunga.
Mimi huwa najiuliza wewe kutoka Taifa lenye watu wanaoshindia mlo mmoja unajua lakini hayo mataifa wanachama wa Bric's hawajui????India ndio mamluki wa kwanza wa US na UK, haitokaa itokee milele India akawa mnyenyekevu hapo BRICKS. WA INDIA ni wengi US, UK na Canada na wanafanya biashara na Siasa huko. India na China ni maadui wakubwa(kugombea mpaka Kati yao)na hawafanyi biashara. Saudi Arabia ni Mamluki wa 2 wa US, Agentina ni Mamluki wa 3 wa Nchi magharibi kupitia Spain(Wajentina ni waispaniola), South Africa ni Mamluki wa chini chini ( Wazungu pale watatoa taarifa kwa US na UK kabla ya mipango ya Bricks haijatekelezwa). Brazil raisi Wao ndio mwenye nia ya Bricks lakini wanasiasa waliobaki wapo upande wa Magharibi kumbuka Bolsonaro alikua ana presha na Bricks kwahiyo akiondoka Lura tu Brazili ni kivuli. BRICKS imeundwa kwa ajili ya China kupata makoloni ya biashara na Urusi kupata Washirika wa Kijeshi zaidi ya hapo amna kitu.
Mwambieni asichanganye siasa na Dini..Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.
Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.
View attachment 2728854




BRICKS NA MALENGO YA KILA NCHI.
CHINA - apate nishati(mafuta, makaa,madini kinywa) na eneo la biashara.
URUSI - apate Washirika wa Kijeshi kukabiliana na NATO, kutengeneza multipolar world (dunia isio moja) ili kuondoa kwa haraka ukubwa wa Magharibi duniani kiuchumi.
IRAN - apate ahueni ya vikwazo vya uchumi kutoka magharibi kwa kuondoa ukubwa wa nchi za mgharibi na Kuondoa nguvu ya ushawishi wa Saudi Arabia mashariki ya Kati.
SOUTH AFRICA- apate ahueni ya mikopo isio na riba, biashara na misaada kutoka China, Urusi na India kujikwamua na uchumi usio kua kwa miaka mingi.
BRAZIL- apate uwekezaji wa mitaji katika sekta zake za viwanda na biashara asa kutoka China na apate mahali pa kuuza bidhaa zake za magari, ndege na nyingine ambazo zimekosa wateja pale South America kutokana washindani wake US, Mexico, Canada na EU ambao ndio wanatawala Soko la Latin America na Caribbean.
SAUD ARABIA - apate biashara zake za mafuta kwa kuegemea pande zote za globle West, globle East na globle South. Pia ana hofu uchumi wa magari ya umeme na uondoaji wa nishati chafu unaopigiwa upatu na G7 pamoja na EU utakata biashara yake ya mafuta kwahiyo anawai uku BRICKS kwa kuwa BRICKS hawana sera hiyo ili auze pale West watakapokacha wese lake.
ETHIOPIA - apate msaada wa haraka wa nishati, chakula na fursa za biashara ili kusaidia idadi yake ya watu walio masikini na vita. Yupo pale koumba tu.
AGENTINA - apate msaada wa kuondoa madeni aliyo nayo na uchumi mgumu taifa inalopiatia kwa miaka. Anatafuta pa kupumulia shida zake.
European Union ili ujiunge lazima upewe mashariti ya Kufanya kama 1. Kurekebisha mifumo yako ya kitaasisi kuendana na matakwa ya EU na nchi wanachama. Uchumi, Sheria, mazingira, rushwa, Siasa na demokrasia, kilimo, fedha na benki na e.t.c lakini BRICKS unajiunga ata kama nchi yako inavita kama Ethiopia, ina uchumi mbovu kama Agentina, South Africa, au ata kama ina sera mbovu za kisiasa.
2. G7 zote zina uchumi mkubwa na viwanda na zinachangia katika pato la Bank ya dunia kwa pamoja na kuingia G7 ni uchumi wako kuwa namba 1 hadi 7 kiuchumi, kiviwanda na kimapato lakini BRICKS inaokota ata kama nchi haina data za kiuchumi.
3. BRICKS kila mtu ana malengo yake, wakati EU ni economic forum, na G7 ni economic forum na NATO ni Military forum.
4. Je unawezaje kumlinganisha South Africa au Ethiopia na China katika mizani ya biashara?, Ilitakiwa Ethiopia upewe miaka 5 ijirekebishe kisera na kiuchumi alafu ujiunge na BRICKS sasa imeingizwa chap kwa haraka wakati ina vita za ndani na amhara, Oromia na Tigrai, sasa uwo si umoja wa mambo mengi sana.
MI NAONA ILE POINT YA HISTORY FORM TWO YA, FAILURE OF REGIONAL BLOCK/ORGANISATION IS, 1. Different idiologes between member states ina apply hapa. Uyu uchumi, uyu amani ,uyu ukubwa, uyu biashara, uyu nishati, uyu tukomoane.
Dunia kwa sasa vita vinavyopiganwa ni vya kiuchumi siyo kisiasa. BRICS ni nchi zenye uchumi imara kama wataamua kushikamana hakuna namna lazima USA na wenzake waathirike.BRICS ingeweza kukuwa lkn tatizo kubwa ni kuwa,nchi zake hazina Siasa "IMARA".
Umetumia vigezo gani kusema nchi zinazounda BRICS hazina stable currency?Nmesema na nitaendelea kusema brics+ imefeli hata kabla haijaanza.
Brics+ naita kama kikundi cha wahuni mana ukiachilia mbali malengo binafs ya kila mwanachama lengo lingine kubwa ni kukataa ushawishi wa dola katika biashara za kimataifa,kwa haraka haraka kati ya hizo nchi ni nchi gani yenye stable currency? Jibu ni hakuna.
Hawezi kukubaliwa kuingia BRICS huyo kwahiyo siyo hata suala la kujadili hilo.Mwambieni asichanhanye siasa na Dini..![]()
Unaposema siasa imara una maana gani? Toa mifanoBRICS ingeweza kukuwa lkn tatizo kubwa ni kuwa,nchi zake hazina Siasa "IMARA".
Haya ndio maajabu mtu anajuwa mipango ya marekani kumzidi Urusi Iran na China.Mimi huwa najiuliza wewe kutoka Taifa lenye watu wanaoshindia mlo mmoja unajua lakini hayo mataifa wanachama wa Bric's hawajui????

