lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
Kweli hili nalo ni ajabu na linapaswa kujadiliwa kabisa.Akili ninazo ni mawazo yako tu yamegota.
Fikiri kwanini Vatican ataka awe observer ndani ya BRICS?
Kwani amewahi kuwa observer kwenye umoja wa Ulaya?
Unafahamu maana ya kuwa observer?
Na kwanini iwe sasa Vatican kuomba kuwa observer imepita miaka mingapi tangu BRICS iundwe?
Papa kaomba kua observer kwa Brics lakini sijui kama aliwahi kua au kuomba kua observer wa G7,EU,AGoa,Ecowas,sadec, Shanghai cooperation,etc.lln ameomba kua observer kwa Brics.
Inaonesha hii Brics Ina mvuto wa aina yake na ni tishio kwa upande wa pili.