Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

Holy shit , I never imagined this before ,Hili wazo limeniingia muda huu ndio nikaona hii ni divine revelation comes true , ufunuo wa kwenye Bible unatimia sasa , it's the new world order , dini zote zitaungana na kuwa dini moja chini ya mpinga kristo , Bible imedecalre hili .
BRICS ni antichrist au mpinga Kristo ambaye Bible imemuongelea .
Ukiangalia BRICS angle zote za kidini zimekuwa represented na hao members au mataifa yanayounda BRICS yaani uhindu -India ,Ukristo wa mashariki (Orthodoxy) -Russia ,Uislamu madhehebu yote yake mawili (shia na Sunni) -Iran & Saudia , ubudha na atheists (wasio amini dini ) -China , Ukristo wa kikatoliki -Vatican ,BRASIL ,ARGENTINA nk

Mkuu hili andiko lako limeisukuma akili yangu na kuipa namna mpya ya kutazama mambo .
Vatican akijoin nitaamini kabisa huyu ndio mpinga kristo mwenyewe ambaye Bible imemuongelea ,Maana members wote au dini kubwa zote zimesha kuwa represented na members
 
Vatican akijoin nitaamini kabisa huyu ndio mpinga kristo mwenyewe ambaye Bible imemuongelea ,Maana members wote au dini kubwa zote zimesha kuwa represented na members
Ukiangalia hizo dini zote kubwa duniani zinajiidentify na hayo mataifa /members
 
Lengo kuu la brics ni kupambana na usa na washirika wake hakuna zaidi,malengo mengine ni danganya toto tu. Ukitazama wanataka waondoe matumizi ya dola kama currency ya kibiashara duniani eti kila mtu atumie currenccy yake mara watumie yuani ya china jiulize hili litawezekanaje kwa nchi zenye currency instability.

Sasa wanavyoongeza washirika ndio wana karibisha mamruki wa usa anzia na saudi arabia,kinachoenda kutokea ni mvurugano ni suala la muda tu.
Ninachokiona hawa BRICS /ANTICHRIST ORDER watakuja na digital currency Yao na ndio hiyo itakakayopata popularity kama chapa 666 na offcourse kuna podcasts nimesikilza wiki iliyopita wanasema wanaandaa digital currency Yao ,so wazee hii kitu inaendana sana na maandiko matakatifu ,hata dini nyingine nadhani kuna maandiko matakatifu ya jinsi siku za mwisho zitakavyokuwa , ukiangalia haki ya ulimwengu ilivyo kwa sasa , majanga ya kutisha kama matetemeko ,vita ,njaa ,mauaji , magonjwa , dhiki , kuyumba kwa uchumi wa dunia ukiangalia jinsi mataifa yanavyo struggle Kwa sasa , majanga ya hali ya hewa kama ukame .
 
Wasimruhusu, wasithubutu, Huyo ni member wa New World Order.
New world order means unaondoa old order ambayo ndio tulionayo kwa sasa na inayoongozwa na Mmarekani tangia vita ya pili ya dunia ,kijeshi ,kiuchumi na kisiasa duniani humu ,so kama BRICS itafanikiwa kung'oa nguvu za Marekani kiuchumi ,kisiasa na kijeshi duniani humu basi bila shaka new world order ni Brics na ndio 666 mwenyewe
 
New world order means unaondoa old order ambayo ndio tulionayo kwa sasa na inayoongozwa na Mmarekani tangia vita ya pili ya dunia ,kijeshi ,kiuchumi na kisiasa duniani humu ,so kama BRICS itafanikiwa kung'oa nguvu za Marekani kiuchumi ,kisiasa na kijeshi duniani humu basi bila shaka new world order ni Brics na ndio 666 mwenyewe

New world order has everything to do with pop yeyote
 
Marekani ameshapoteza credibility yake siyo kwa mataifa ya BRICS tu siku hizi uganda, Burkinafaso , Mali wanamgomea tu maupuuzi yake na hana la kuwafanya.
Mkuu kaa chini utafakari mambo ,acheni kuandika kishabiki ,haya mambo ni mazito mno na naamini kuna watu hatari au powerful sana ulimwenguni huu wako nyuma ya hili suala . Hizi sarakasi tunazoziona ni smoke and mirror kuwapumbaza. watu wasipate akili ya kutazama mambo kwa upana wake na kugundua nia ovu inavyoendelea kupangwa
 

Attachments

  • images.jpeg-4.jpg
    images.jpeg-4.jpg
    43.2 KB · Views: 1
Mkuu kaa chini utafakari mambo ,acheni kuandika kishabiki ,haya mambo ni mazito mno na naamini kuna watu hatari au powerful sana ulimwenguni huu wako nyuma ya hili suala . Hizi sarakasi tunazoziona ni smoke and mirror kuwapumbaza. watu wasipate akili ya kutazama mambo kwa upana wake na kugundua nia ovu inavyoendelea kupangwa
Kuna kitu kiovu sana kinatengenezwa nyuma ya pazia
 
Kuna sehemu BRICS wamesema hawatawapokea Marekeni na Uingereza kwenye taratibu zao? Sehemu yoyote au jumuiya yenye zaidi ya nchi 10 tayari hakuna siri ya mambo yanayojadiliwa unless maamuzi yawe yanatolewa na nchi moja.
Iko wazi kwamba Marekani na Uingereza hawana nafasi ya kuwemo kwenye umoja wa BRICS.
 
Jesuits ,CIA and MI6 on the beat , triple alliance ambayo imeexist tangia world war 2 ,
Roman Catholic ni tool ya imperialists

Nakupata uzuri mkuu.

Kuna watu hapa hawazishughulishi akili zao wao wapo kukimbilia kushambulia wengine waonekane wateta jambo.

Vatican is the centre of world affairs economically and politically.
 
Kuna sehemu BRICS wamesema hawatawapokea Marekeni na Uingereza kwenye taratibu zao? Sehemu yoyote au jumuiya yenye zaidi ya nchi 10 tayari hakuna siri ya mambo yanayojadiliwa unless maamuzi yawe yanatolewa na nchi moja.
Watapokea maombi ya uanachama kutoka Western countries under conditions na moja wapo niliyoiona watataka kuondokewa kwa vikwazo vyote vya kiuchumi kwa nchi za BRICS kazi kwao kuamua kusuka au kunyoa.
 
Lete evidence hapa hatutaki conspiracy theories.
Hatuandiki vitu out of nowhere ,tatizo watz hamsomi vitabu ,tafuta hivi vitabu ,visome na uvielewe ,utaelewa nilichoandika hapo juu na utanishukuru , catholic church limetumika hadi kutorosha wale wauaji wa kinazi kule Europe na kuwaficha nchi za Amerika ya kusini ,wale wanazi walifanya mauaji ya mamilioni dhidi ya gypsies ,communits ,wayahudi nk . catholic church limetumika kuua USSR wakishirikiana na CIA na MI6 , Catholic church wamefanya money laundering na cicilian mafia na Cosa nostra , mapinduzi katika nchi mbalimbali ,Kanisa catholic lilidhamini vikundi vya wauaji dhidi ya wakomunist wa nchi za Amerika kusini miaka ya sitini wakishirikiana na CIA katika operation " condor " ,ingia mtandaoni usome operation Condor ,uone unyama uliofanywa na hao wapuuzi , CIA na Vatican waliwasponsor madikteta wauaji kama Pinochet wa Chile ,Trujillo Guatemala nk , mambo mengi maovu na ya kutisha wamefanya na wanaendelea kufanya
Screenshot_20230827-214232.jpg
Screenshot_20230827-214144.jpg
 
Hatuandiki vitu out of nowhere ,tatizo watz hamsomi vitabu ,tafuta hivi vitabu ,visome na uvielewe ,utaelewa nilichoandika hapo juu na utanishukuru , catholic church limetumika hadi kutorosha wale wauaji wa kinazi kule Europe na kuwaficha nchi za Amerika ya kusini ,wale wanazi walifanya mauaji ya mamilioni dhidi ya gypsies ,communits ,wayahudi nk . catholic church limetumika kuua USSR wakishirikiana na CIA na MI6 , Catholic church wamefanya money laundering na cicilian mafia na Cosa nostra , mapinduzi katika nchi mbalimbali ,Kanisa catholic lilidhamini vikundi vya wauaji dhidi ya wakomunist wa nchi za Amerika kusini miaka ya sitini wakishirikiana na CIA katika operation " condor " ,ingia mtandaoni usome operation Condor ,uone unyama uliofanywa na hao wapuuzi , CIA na Vatican waliwasponsor madikteta wauaji kama Pinochet wa Chile ,Trujillo Guatemala nk , mambo mengi maovu na ya kutisha wamefanya na wanaendelea kufanya View attachment 2730719View attachment 2730720
Muongezee na hiki, ni Africa tuu ambapo Vatican inaonekana holy
 

Attachments

  • images.jpeg-4.jpg
    images.jpeg-4.jpg
    43.2 KB · Views: 2
Habari kutoka Vatican City papa Fransisco ameomba apewe nafasi ya kujiunga na "global South " kama mwangalizi.

Wachambuzi wa medani za kimataifa wanahofu kuwa huwenda ombi lake likagonga mwamba kutokana na kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofungamana na wamagharibi.

View attachment 2728854
Huyu naye anataka kuchanganya siasa na dini kama jamaa wa TEC. Kesho kutwa OIC nao wataomba kujiunga kama mwanachama kamili.
Brics wapige chini hao wagalatia kama mlivyofanya kwa Algeria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom