Africa Hatujalaaniwa
Wewe unaye amini mwa-Africa amelaaniwa lazima ni mwa Arab- koko wale wasotakiwa uarabuni.
Ulaya haijawahi kutawaliwa hivo hawana wa kumlaumu. UK,Germany,Italy,France, nk.Hizo sehemu zoote za North Europe ilikuwa ni barafu tupu (ice age) Magriki yalotawala Mesopotamia ndo yalikuwa yanajigawa kidogo kidogo kuanzisha vijiji pale barafu inapopungua na kuwa ka nchi, ndo maana lugha mama zao zinaegemea kwenye Kiyunani.hawana lugha inayojitegemea ki la haja kama kibantu.
USA, CANADA. Mexico, all South America mpaka Australia nk, ni matoto ya Makoloni hayohayo, ndiyo yalidai uhuru wakujikomboa, ni damu damu, kama vile Mmasai wa Kenya na Tanzania, Hakuna ulaya iliyocoloniwa kiuhasahasa ni u-Hag wash mnafanyiwa
Wa- Africa kuwa maskini leo ni wind of changes sweeping around the Global, wazungu walipigika kwa black plaque karibia waishe ulaya, ila siyo kukoloniwa, sisi tulikuwa super power huko nyuma, babu zetu wali enjoy sana, enzi za BABYLON THE GREAT, ANCIENT EGYPTnk U -Super power huu unaenda kwa mtindo wa kuzunguka Dunia, which means ulienda Ugiriki, baada ya kutoka Misri then Rome, then Dola la ki-islamu, Uk, na sasa ni USA immediately after WW2, baadaye uko mbioni utaenda China.
Lengo la wazungu ilikuwa kumsahaulisha mwa Africa ubora wake ajione duni tu. kama watu mnavyoamini. na atapiga sana kwa sababu hamtaki kujitambua, kwa kuwa tumia wa Africa hao hao.yeye ana costume.