Pope Francis abusu miguu ya viongozi wa Sudan Kusini Salva Kiir na Riek Machar, akiomba wasitishe vita

Nimejisikia vibaya saana yani nazuia machozi yasitoke. Mtu huyu ni mnyenyekevu kupitiliza.
Mkuu Mimi si Mkristo lakini nimesikitika sana, Viongozi Africa ni wabinafsi sana, Makatili wasiyojali thamani ya Utu. Hata Tanzania pia ingawa hali si mbaya kama Sudan..
 
Mkuu Mimi si Mkristo lakini nimesikitika sana, Viongozi Africa ni wabinafsi sana, Makatili wasiyojali thamani ya Utu. Hata Tanzania pia ingawa hali si mbaya kama Sudan..


Yaani kama wengine wanaweza kujiongeza tunashindwa nini?
 
  • Thanks
Reactions: prs
Mkuu Mimi si Mkristo lakini nimesikitika sana, Viongozi Africa ni wabinafsi sana, Makatili wasiyojali thamani ya Utu. Hata Tanzania pia ingawa hali si mbaya kama Sudan..


Hawa ni ndugu zetu inabidi tujue hivyo hakuna haja kuchinjana, kuuana, kisa madaraka ya miaka 5, 10. Tunakosea wapi, Ila mbona ni somo rahisi. Ndio hapo unaziona akili zetu.

Wengine wanaongea wakiwa na matatizo.
 
  • Thanks
Reactions: prs
HUYO KATUMWA TU NA MABEPARI WA WESTERN ARMAMENTS INDUSTRIES. PAMOJA NA COUNCIL OF THIRTEEN;

LAKINI PIA USIWAAMINI HAWA 4 WATAASISI; NI NCHI NDANI YA NCHI FULL KUJITEGEMEA;

THE LONDON CITY- World's financial control
THE WASHINGTONE DC - threatening technique, Military Black projects and Global
population control; area 54
THE VATICAN CITY;- indoctrinations, Religion threatening, Hog wash. Alfa draconis mount Moria project
THE US FEDERAL RESERVE,-Rothchild international untouchable family, Banking system control

Na hawa woote wana umoja katika hilo. kama wakitaka vita iishe Sudani ni rahisi sana haichukui hata mwezi mmoja. hao viongozi wa Sudani leo wakiacha bado Sudani moto utawaka tu kwa viongozi wengine wapya.Tatizo ni kilichoko Sudani wanakitaka mno ndo wanakitaka hasa leo mpaka kesho. waswahili tunaona mapicha tu. na wale ndugu zangu romans weusi ( RC) hawatanielewa wanatamani kurusha ngumi.
 
Mbona haikemei Marekani kuhusu vita anazopiganisha huko mashariki ya kati (Syria, Yemen etc) na kusababisha maangaiko kwa wanadamu....?

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you, you are a definition of a great thinker,
Sijui waafrica tulikosea wapi katika hii dunia, yaani sababu Papa kabusu miguu ya waafrica basi watu roho zinawauma na kuwalaani waafrica wenzao ila huyo huyo Papa hajawahi kubusu miguu ya Geogre Bush wakati akiua watu Iraq na Afghanistan, hajawahi kubusu miguu ya Obama wakati akiua watu Libya wala hajawahi kubusu miguu ya Trump akiua watu Syria na kwingineko.

Bora mtu akunyime chakula kuliko kukutawala kifikra sababu unakua zuzu mpaka kizazi chako.
 
Africa Hatujalaaniwa
Wewe unaye amini mwa-Africa amelaaniwa lazima ni mwa Arab- koko wale wasotakiwa uarabuni.
Ulaya haijawahi kutawaliwa hivo hawana wa kumlaumu. UK,Germany,Italy,France, nk.Hizo sehemu zoote za North Europe ilikuwa ni barafu tupu (ice age) Magriki yalotawala Mesopotamia ndo yalikuwa yanajigawa kidogo kidogo kuanzisha vijiji pale barafu inapopungua na kuwa ka nchi, ndo maana lugha mama zao zinaegemea kwenye Kiyunani.hawana lugha inayojitegemea ki la haja kama kibantu.

USA, CANADA. Mexico, all South America mpaka Australia nk, ni matoto ya Makoloni hayohayo, ndiyo yalidai uhuru wakujikomboa, ni damu damu, kama vile Mmasai wa Kenya na Tanzania, Hakuna ulaya iliyocoloniwa kiuhasahasa ni u-Hag wash mnafanyiwa

Wa- Africa kuwa maskini leo ni wind of changes sweeping around the Global, wazungu walipigika kwa black plaque karibia waishe ulaya, ila siyo kukoloniwa, sisi tulikuwa super power huko nyuma, babu zetu wali enjoy sana, enzi za BABYLON THE GREAT, ANCIENT EGYPTnk U -Super power huu unaenda kwa mtindo wa kuzunguka Dunia, which means ulienda Ugiriki, baada ya kutoka Misri then Rome, then Dola la ki-islamu, Uk, na sasa ni USA immediately after WW2, baadaye uko mbioni utaenda China.
Lengo la wazungu ilikuwa kumsahaulisha mwa Africa ubora wake ajione duni tu. kama watu mnavyoamini. na atapiga sana kwa sababu hamtaki kujitambua, kwa kuwa tumia wa Africa hao hao.yeye ana costume.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom