Pope aide says UK is 'third world' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pope aide says UK is 'third world'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, Sep 15, 2010.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pa.press.net, Updated: 15/09/2010 18:49
  :sleepy:


  [​IMG]
  AP
  An aide of the Pope has pulled out of his UK tour (AP)  A cardinal due to travel to the UK with the Pope has pulled out just days after claiming Britain was like a "third world country".
  German-born Cardinal Walter Kasper, 77, was to make the trip as part of the Pope's entourage.
  Vatican officials have reportedly attributed the change of plans to ill health.
  But the news followed an interview the Cardinal gave to German magazine Focus in which he commented on the Godlessness of a section of English society, claiming Britain was facing an "aggressive new atheism" and that "Christians were at a disadvantage".
  Asked about the protests expected to greet the Pope's visit, he remarked on Britain's multi-cultural inhabitants, telling the magazine that someone landing at Heathrow may think they were in a "third world country" as there was such a variety of faces there.
  Among the groups planning to protest against the Papal visit are the survivors of abuse by Catholic priests.
  Speaking as the final preparations were made for the four-day trip, a group of victims renewed their calls for the Pope to hand over all information on the scandal.
  They demanded that Pope Benedict XVI "make amends" for their suffering by going further than offering an apology.
  Peter Saunders, survivor and chief executive of the National Association for People Abused in Childhood, said: "We need the Pope to say, 'I will hand over all the information I have about abusing priests wherever they are in the world. I will hand it over to the authorities of the countries where these people are being protected'."
  The Pope is widely expected to meet child abuse victims during his four-day visit.
   
 2. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Yani jamaa ana equate multiculturalism and diversity as a sign of social decline, which according to him is equivalent to becoming a "third world" country. Mmmmh:mad2:

  Jamani waumini mlioko Africa mnaona frikra za viongozi wenu wakizungu uko Vatican??
   
 3. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  The Tittle should have been:

  Pope's aide insulted the underdeveloped population by referring British's multiculturalism as equivalent to the backwardness of the third world countries.

  Or something like that!
   
 4. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Tunawaheshimu tu kwa kuwa ni viongozi wetu wa dini
   
 5. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Lakini kwanini mnaendelea nao? Kama wabovu wateme:confused2:
  Mimi nisingekubali kuzarauliwa hivyo alafu niende sadakani (kanisani) kutoa sadaka nakusikiliza uongozi kutoka Vatican. Kwani hamuezi kumuabudu mungu bila kupitia kwa hao wazungu?
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Yaani mtumishi wa Mungu ana fikra za Apatheid? Huyu hafai kabisa. Mungu hana wazo hilo, alisema tu kuwa kila binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu kwa mantiki hii suala la urangi halihusiani kabisa kibiblia. Apumzishwe kabisa huyu kwa manufaa ya dunia na kanisa katoliki.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu, nathani pia alimaanisha mwonekano wa makazi ya waku karibu and around Heathrow airport. Kiuhalisia majengo yake si mazuri ya kifahari kwa ni wahamiaji na watu wa vipato vya chini ndiyo wanaoishi maeneo kuzunguka na airport hii. Na hii unaweza hata kuangalia hata tube train (undeground)traini inayoelekea western london has wombledon area is not that lavish.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  That Aide in (person) is the only one to blame, na si kanisa au Uongozi.
  PlanckScale has a personal war with this church, and its no wonder that atasema hayo!
  Lakini uongozi ni dhamana tu waliyopewa watu, and at any time it can be refuted kwa mujibu wa sheria za kanisa!...But, mudslinging the whole church due to an apartheid-utterance by one clegyman isnt that fair!
   
 9. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hivi ndugu, hujawai kusikia kiongozi analazimika kujiuzulu kama vitendo vyake vinakiuka matakwa/mtazamo wa jumuia?

  Kama Pope bado anamfuga huyo aide wake (na wale vibaka watoto) basi what does it say about the pope himself?

  Mbona hizo hitilafu hazikuumizi ndugu yangu? Unanishangaza sana na hiyo loyalty yako kwa waroma!:confused2:
   
 10. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa hapo ndipo aliponishangaza pop hivi hawa watu wa ulimwengu wa tatu juu ya jitihada zao kunadi Bible nakupita mabarabarani wakihubiri kumbe wao viongozi wanawaona kama vile ile sehemu ya nyuma ya Punda anayotolea mabakio ,Loo kwa hali hii kweli ipo siku siku atapatika pop kutoka ulimwengu wa tatu tena awe mweusi watamkubali ?nakumbuka mara ya mwisho walipokuwa wanafanya uchaguzi wa popo alipendekezwa yule mzee toka Nigeria wazungu wengi wakasema watajitenga kama atapewa mtu mweusi .
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  wakatoliki wamedata ... waaachane tu hivohivo.. mara kubaka vibinti vidogo...! yangu macho...
   
Loading...