SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,139
- 4,893
Hao wote walio united ni watu wenye "MENTAL ISSUES"... ndo maana wanaelewana ili kujipa matumaini "FAKE" ambayo hayapo...
Mdada anakuja kwenye maisha yako anakuja na misemo kama “Kwanini huendi kanisani, nataka Jumapili uwe unaenda kanisani” na anakasirika kabisa 😂😂😂Bwana wee sikia! Kama kuna namna nyingine ya kufix hayo majanga makubwa unaijua we lete watu wajikwamue na sio kucritize instistution zinazowaletea masikini matumaini!
Tupambane kwa nguvu zote kuukataa umaskini, umaskini unatesa, umaskini una dhalilisha, umaskini unafadhaisha.Hao wote walio united ni watu wenye "MENTAL ISSUES"... ndo maana wanaelewana ili kujipa matumaini "FAKE" ambayo hayapo...
Hata mimi ndio zangu hizo!Mdada anakuja kwenye maisha yako anakuja na misemo kama “Kwanini huendi kanisani, nataka Jumapili uwe unaenda kanisani” na anakasirika kabisa 😂😂😂
Ndio atajipiga blow job mpaka kieleweke🤣Ndio maana nimempa kabisa maelekezo, mbegu ataweka kwenye kikontena, asije akafakamia makaranga na michuzi ya pweza akaumbuka🤣🤣
Me mtu akinambia anaishi Dar halafu analipa Kodi 40k najua kabisa huyu huko mjini ana maisha magumu sana.😂😂😂😂Hata mimi ndio zangu hizo!
😂😂😂Watu masikini wameungana tayari kuabudu mungu (dini), kupinga ushoga na kushabikia mpira.