Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,738
umaskini tunautaka wenyewe kwanza m`bong mbinafsi hajal mwenziye anatapel wenzake.
Unajua siamini hivi vitu naona kama movie🫢Bado sijawa single mama, mtoto wetu ana mama wawili basi ni mumy mumyyy hua tunajiuliza anajua mama ake wa kumzaa ni yupi? ila ana enjoy ndio kikubwa
watu wanapesa! Mimi mmoja tu ananitosha aisee🫢Namjua mmoja ana watoto watano kila mmoja na baba ake anasema aliamua kuchanganya damu makusudi apate mbegu nzuri😂
Movie ya kihindi au Kichina?Unajua siamini hivi vitu naona kama movie🫢
View attachment 3602910
Kwahiyo we ulitakaje?Its a crazy joke to think you exist on the most iconically shaped continent on earth, filled with every resource known to man, perfect weather & arable land that can grow anything but you're not meant to enjoy all that, you're meant to suffer here & go get your riches in heaven.
Komenti kama hizi zitasababisha jf ipigwe ban tenaNothing keeps a system running smoothly like convincing people that their reward is in the next life. Why fix poverty, corruption, or exploitation when paradise is just one funeral away?
Ya kijaluoMovie ya kihindi au Kichina?
Wakati mwingine movie ni maisha yetu pia dearUnajua siamini hivi vitu naona kama movie🫢
View attachment 3602910
Utakua huna matako yaan mtoto mmoja anakutosha kweli au unatuzuga?watu wanapesa! Mimi mmoja tu ananitosha aisee🫢
Hahaha maisha yako movie toshaWakati mwingine movie ni maisha yetu pia dear
Watu wapo kazini hapo🙌Why supporting upinde?
Wote hao baba zao wanawahudumia watoto zao japo na yeye mama si haba anajiwezaaawatu wanapesa! Mimi mmoja tu ananitosha aisee🫢
Emu subiri Seran funga zipuYa kijaluo
Nao wapo kundi la masikinina kusimanga single maza
Nitakusimulia siku moja, uandike unapiga hela kimasikhara masikhara😁Hahaha maisha yako movie tosha
Kwa hio mama yake wa kumzaa ni wewe au huyo mwenzio?Bado sijawa single mama, mtoto wetu ana mama wawili basi ni mumy mumyyy hua tunajiuliza anajua mama ake wa kumzaa ni yupi? ila ana enjoy ndio kikubwa
Sawa mamaake nimekumiss kitambo sana ulipotelea wapi?Wakati mwingine movie ni maisha yetu pia dear
Ni mimiKwa hio mama yake wa kumzaa ni wewe au huyo mwenzio?