de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,346
- 20,523
Kweli kabisaWatu wapo kazini hapoš
Vip
Kijana unaendeleaje?
Hali si nzuri Sana but najihisi ahuwenni
Kweli kabisaWatu wapo kazini hapoš
Vip
Kijana unaendeleaje?
Matako ndio yanalea mtoto? Au pesaUtakua huna matako yaan mtoto mmoja anakutosha kweli au unatuzuga?
Unaelewa hata wanaongelea nini hapa we selina?Tsh 7000 kwa dei ni ela ndogo sana jameni dei waka kijijin wanateseka kishezi uchum wenyewe haurusu hata kulipw ten lbd 15000 maana vitu ghal
Ah ubusy ubusy tu, si unajua bila kuchakarika njia ya chooni itaota nyasišSawa mamaake nimekumiss kitambo sana ulipotelea wapi?
Yaan kati ya nyinyi mama wawili ambao mtoto wenu anawaona wote ni mama zake nani ni Baba yake hapo wewe au huyo mwenzio?Bado sijawa single mama, mtoto wetu ana mama wawili basi ni mumy mumyyy hua tunajiuliza anajua mama ake wa kumzaa ni yupi? ila ana enjoy ndio kikubwa
Polee utaponaKweli kabisa
Hali si nzuri Sana but najihisi ahuwenni
Uwee sio mchezo aisee! Usipokomaa unaishia kuona kila mtu mchoyo kwenye simu yakoš¤£Ah ubusy ubusy tu, si unajua bila kuchakarika njia ya chooni itaota nyasiš
Hakuna baba, wote ni mamaYaan kati ya nyinyi mama wawili ambao mtoto wenu anawaona wote ni mama zake nani ni Baba yake hapo wewe au huyo mwenzio?
Hapa sasa nimeelewa hongera sasa inabidi tuongezee mwengine ili mtoto achangamke apate na mwenzie wa kucheza naeNi mimi
Hapo sawa kabisa wote ni Mama mummy mummyHakuna baba, wote ni mama
Sio tu mchoyo utaona kila mtu mchawi, maana maskini na kuwaziana uchawi ni pipa na mfunikoUwee sio mchezo aisee! Usipokomaa unaishia kuona kila mtu mchoyo kqwnye simu yakoš¤£
Tabia za kimasikini sana hizišSio tu mchoyo utaona kila mtu mchawi, maana maskini na kuwaziana uchawi ni pipa na mfuniko
Worry out Tyr nimeshapata nafuuPolee utapona
Kama una mbegu nzuri njooooo,Hapa sasa nimeelewa hongera sasa inabidi tuongezee mwengine ili mtoto achangamke apate na mwenzie wa kucheza nae
Si useme "ahsante kipenzi kwa kujali" unakaza nini au unatuonea aibu sie macho kuona SeranWorry out Tyr nimeshapata nafuu
Mwenzio anatafuta namna ya kuzamisha namna ganiš¤£Kama una mbegu nzuri njooooo,
Uwe mrefu, chocolate color, mbegu utazitoa uweke kwenye kikontena sisi ndio tutajua tunazifanyaješ¬
Life likikuvuruga, many of us kimbilio letu ni nyumbani.Bado sijawa single mama, mtoto wetu ana mama wawili basi ni mumy mumyyy hua tunajiuliza anajua mama ake wa kumzaa ni yupi? ila ana enjoy ndio kikubwa
Ndio maana nimempa kabisa maelekezo, mbegu ataweka kwenye kikontena, asije akafakamia makaranga na michuzi ya pweza akaumbukaš¤£š¤£Mwenzio anatafuta namna ya kuzamisha namna ganiš¤£
Maneno ya busara sana haya, nitayazingatia, shukranišLife likikuvuruga, many of us kimbilio letu ni nyumbani.
Ukishakua mtu mzima una wajibika kutengeneza "nyumbani" kwa watoto wako pia.
At certain point in life, they will need it.