igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,598
- 3,356
Sawa, yametusaidiaje hayo yoooteee kutuondoa kwenye huu umasikini uliotopea, wizi wa mali za umma (Richmond, mgao wa mabilioni ya mkombozi Bank, kuuziwa vivuko vibovu),rushwa, ufisadi mkubwa, ugaidi (issue ya Hamza, kumshambuliwa ubalozi wa Marekani nk)...sisi hapa kuna TISI halafu kuna sistimu.
yaani unapoona bwana asumani anatoka PITI anakwenda kuwa head TISI,sio bahati mbaya.
hapa sistimu ama coordination inaonyesha ni jinsi gani inafanya kazi kwa mfumo complex sana.
leo hii kaa na makomando wako mpange namna gani mtavamia magogoni mkambebe mkuu,utashangaa kati yao makomandoo 12 ulikusanya 4 wameshatoa ripoti,mnapokelewa na kuhifandhiwa safe house pamoja nao hata msijue mlikosea wapi.
nyerere alijua mengi ambayo binaadamu wengi na viongozi wenzie africa hawakujua.