Poor Gadner

Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

Hivi MALIPO ya DOWANS yamefikia wapi vile?
 
Hivi MALIPO ya DOWANS yamefikia wapi vile?
a very spectacular respond... thats what great thinker means... huwezi kuweka thread za kiumbea umbea humu shukrani mkuu kwa kumjibu huyu namna hii nimekugongea ka thanks kuonyesha msisitizo
 
Deodat umesema tuwe kama wazungu "yeah your right" huku wanapitisha sheria ya wanawake kwa wanakwe kuoana na wanaume kwa wanaume kuoana. Kwa hiyo itabidi tuombe Bunge letu lipitishe sheria na sisi tufanye si ndiyo ndugu yangu?? maana ndiyo kuwa kama wazungu.

Umeninukuu vibaya ndugu, hicho ndicho nilichompinga BIN BOR, nikamuuliza wazungu wakiamua wawe wanajisaidia barabarani na sisi tuige? Kwahiyo mkuu mie na wewe tuko upande mmoja. Siamini katika falsafa ya ku-copy na naku-paste kila jambo linalofanywa na wazungu, lazima Africa na sisi tuwe na mambo na mitazamo yetu.
 
a very spectacular respond... thats what great thinker means... huwezi kuweka thread za kiumbea umbea humu shukrani mkuu kwa kumjibu huyu namna hii nimekugongea ka thanks kuonyesha msisitizo

Nimeiona Fredwash... haya ndio mambo ya kujadili.. Na kujitahidi kusimamisha malipo ya DOWANS.. Sio GADNER.... Si ungejisema wewe mnyewe... NISAMEHE kama NIMEKUKWAZA.
 
jide si mkewe??? sasa angekuwa anavaa t-shirt zenye picha ya jide kila siku ungesemaje???au kwa kuwa wewe kwenye facebook yako hujaweka ya mkeo basi unataka kila mtu awe kama wewe???
 
What then is the use of the celebrity forum, hebu tujifunze kuwa kama wazungu, kama huna cha kuchangia unachungulia na kusepa. Hii ni forum sio majungu, wewe ni premium member lakini mshamba.

eti tujifunze kwa kama wazungu, kwani mzungu nani we ***** wewe. . . .MSHAMBA!
 
Achana na ya kujisaidia barabarani, unajiabisha unapokuwa kijibwa cha Gadner na ukiona kasemwa unakuja juu, nini maana ya JF kuwa na page ya celebrities. Tuige mifano bora kwa wenzetu......BADILIKA, KUBALI UMECHEMSHA.

we vp? kwahiyo ulitaka hapa kwenye hii forum kila mtu amkandie gadner kwasababu wewe unataka hivyo? wewe ndio unatakiwa uheshimu opinions za wengine, kama wewe unamuona hafai wengine wanamuona anafaa.
maana ya kuleta hapa si kila mtu achangie mawazo yake? hebu kua kijana.
ukiwa celebrity unakuwa na watu wa kukutetea na kukukandia, wewe unakandia na sie wengine tunamtetea kutokana na mtazamo wa mtu.
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

Nakumbka zamani primary watu kama wewe wanazungukwa na wasichana wanaanza kuzomewaaa

Hilooooooooooo asutwwwweeeeeee na owooooooongoooooo X3

Ilikuwa noma kweli kuona mvulana anasutwa. Ona noma mzee

Pole hope response za watu zitakufanya uwe una try and get the best info zenye interest ya general public na mtumiaji mzuri wa fb badala ya umbeya tuuuu
 
sasa mtu kaweka picha ya mkewe nayo mnajiuliza??

jamani lets focus on important things.. hata akijichora picha za jide mwili mzima sisi inatuhusu nini? mkewe wa ndoa yule
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

Unamtaka?
 
hii mada nimeiona toka jana ikanikera tu.

e bana we ni wa kiume au kike??nikipata jibu ndio ntachangia
halafu mambo ya fcbk huna haja ya kuleta hapa tujadili,we umewaomba kina jide ujirani wamekukubalia sasa unaiba info zao unatawanya huku?wangeku-ignore pia ungekuja kulalama,binadamu hawana wema,katafute kazi ya kufanya mkuu kuliko kushinda fcbk na jf kila muda.
 
Celeb has got no "private life" - Most of the media houses "makes noney" out of celebs!

Note that, even in politics there are celebs! The likes of Magufuli Pombe or Rostam Aziz!
 
What then is the use of the celebrity forum, hebu tujifunze kuwa kama wazungu, kama huna cha kuchangia unachungulia na kusepa. Hii ni forum sio majungu, wewe ni premium member lakini mshamba.
Umeona eeh..
 
kwenye facebook page ya gadner habash, picha zake zote yuko na mwanadada jide. Ina maana gadner hana private life zaidi ya kuwa na jaydee? Ukiingia page ya jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

kaolewa huyo..
 
humu jamii bana saa nyengine raha tupu.....:twitch::twitch::twitch::clap2::clap2::clap2::popcorn::popcorn:
 
Back
Top Bottom