Poor Gadner

Achana na ya kujisaidia barabarani, unajiabisha unapokuwa kijibwa cha Gadner na ukiona kasemwa unakuja juu, nini maana ya JF kuwa na page ya celebrities. Tuige mifano bora kwa wenzetu......BADILIKA, KUBALI UMECHEMSHA.

Nadhani wewe unatatizo na huyo Gadner nakushauri bora mkamalizane nje ya JF hapa ni kweli kuna hilo jukwaa lakini watu wapo busy sana wanahangaikiia kujadili maswala ya kitaifa yenye tija kwa maendeleo ya vizazi vijavyo. Au hujui sasa hivi ni dowans dowans dowans? Hadi kunguru wanaitaja dowans! Kuna madai ya katiba, kuna tamko la maaskofu, kuna tamko la waislam kujibu maaskofu. Kuna matokeo ya kidato cha nne kuna watu watoto wao wamefanya vibaya watakujibu utumbo wakuharibie siku we kuwa mpole na uuchune sawa kijana?
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?
huu sasa ni umbeya na si kitu kizuri kwa m/ume. Achana na maisha ya watu facebook kitu gani mpka ukae unatoa mishipa ya shingo kushadadia na kutuletea hapa JF

Please be a man achana na udaku kama huu wa mapicha ya facebook. Siku nyingine ataweka mbwa huko utasema kumbe JD anapenda mbwa kuliko mme wake, naona ndiko unakoelekea huko

Nilijitoa facebook baada ya kuona kuna vitu vingi vya ajabu ikiwepo umbea kama huu
 
Tuna mambo ya msingi sana kama taifa,kuliko kutumia muda wetu kudiscuss maisha binafsi ya mtu,wewe ni mmoja wa watu ambao akili zao ni robo kilo,
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

huu ni umbea na uchonganishi!
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

Kwani kuna ubaya gani kwa mtu kuwa pamoja na mke/mume wake muda woteeee?. Hawa kwa mjibu wa vitabu vya dini(biblia) ni mwili moja mpaka kifo kiwatenganisha.
 
Kwenye facebook page ya Gadner Habash, picha zake zote yuko na mwanadada Jide. Ina maana Gadner hana private life zaidi ya kuwa na Jaydee? Ukiingia page ya Jide, ni tofauti kabisa........au ndo penzi kukolea wajameni?

Anamchango gani katika taifa huyo jamaa?
 
Haina masilahi ya taifa hii, ni 100% umbea!
Lete hoja zenye manufaa kwa umma.
 
What then is the use of the celebrity forum, hebu tujifunze kuwa kama wazungu, kama huna cha kuchangia unachungulia na kusepa. Hii ni forum sio majungu, wewe ni premium member lakini mshamba.

Kwamba wazungu kwako ndio umewaona wa maana sana? Huna mpya! :A S 103:
 
mtu akimpenda mkewe, maneno asipompenda maneno, whats wrong with people? afadhali gadner kachagua fungu jema, Big Up gadner na jide, acheni waongee wtu nyie ishini maisha yenu.
 
Back
Top Bottom