sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 556
- 1,919
Huyo ponjoro ana mauchafu mengi sana...atajuta ..sio kila vita unapigana zingine unaacha
Hii filamu inazidi kuwa tamu😁😁
View attachment 3352797
Hebu yaanikeni hapa basiHuyo ponjoro ana mauchafu mengi sana...atajuta ..sio kila vita unapigana zingine unaacha
Labda pojoro aliona vita ina weza kuwa na faida kubwa kwa upande wake 🤔Huyo ponjoro ana mauchafu mengi sana...atajuta ..sio kila vita unapigana zingine unaacha
muuaza ngada na ushirikiano na mbunge wa zamani kinondoni.Hebu yaanikeni hapa basi
Hakusoma katengeneza vyetiJamaa amesomea mambo gambling mpaka amekuwa mjinga.
PonjorooHii filamu inazidi kuwa tamu😁😁
View attachment 3352797
Mmmh
😂😂😂😂😂😂Mmmh
YAAN nimepata degree kabla take nyie tumaini nyieee hayabana kah
Nchi Ina mambo mpwaa😂😂😂😂😂😂