Pongezi: Zizzou Fashion

Pongezi: Zizzou Fashion

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,237
Reaction score
9,099
Nampongeza mmiliki wa Zizzou fashion kwa kutoa ajira kwa vijana hapa Dar na pia nampogeza kutuletea vitu quality kwa kweli sijui huyu ndiye yule kijana wa Kinywaranda aliyekuwa na duka na salon pale mitaa ya Delux Mwanza kama niyeye basi tafadhali arudi atuletee salon ya kisasa pale jijini Mwanza kwani zilizopo hazina hadhi hata kidogo,kama ni yeye asikate tamaa kwani najua alikuwa na salon lakini ikafa though haikuwa ya kisasa kama hizi alizofungua Dar
 
Back
Top Bottom