Pongezi zangu kwako dr. Slaa,viongozi wengine muige

Hukumuuliza hizo fedha alizokuwa anatoa km zina uhusiano wowote na fungu la ruzuku ambalo wachache wanamega na kutumbua badala yakuzielekeza kwenye ujenzi wa chama?

Hapana ila nilimpa mkono kisha nikaondoka. Angejua huyu ndio chamviga Mmh sijui ingekuwaje?
 
Daa nakuonea wivu sio siri...mimi nimemuona dr Slåa mara nyingi lakini sikuwai pata Chance ya kusalimia nae kwa mkono....lakini hakijaharibika kitu nikimuona hata kwenye tv nafarijika kwa Kweli...
 
Jamaa yupo simple sana tofauti na tumjuavyo akifokafoka jukwaani.
 
Wewe unaugua

mwambie huyo alochizi ajielewe. Dr. Slaa ana ulinzi mkali wa umma.kama alihitaji kupima uwezo wa nguvu za kiulinzi kwa dr.slaa aende akalete vurugu. Hata huyo bodygard hata mgusa kabla hajazimishwa na wananchi wanoipenda na kuijali nchi na kuona tumaini kwa dr. Slaa.
 
Kama nguvu ya umma inatosha kumlinda kwanini wamuekee bodyguard? Kwanini asitembee alone?.
 
Jana nilikutana na dr slaa Pale Mlimani city nadhani alikuja kwa ajili ya Bank issues katika ATM za CRDB tawi la Mlimani City. Nilichokipenda kutoka kwake ni pale alipokuja na kujiunga na foleni ndefu iliyokuwa inaitaji pia huduma hiyo na hata pale wasamalia wema walipomtaka apite awe wa kwanza alikataa na kutoa tabasamu kuuubwa akiashiria kuwa zamu yake ikifika ataingia na kupata huduma.

NAKUPONGEZA KWA KUKATAA UTUKUFU ULIOPEWA NA WATANZANIA WENYE ROHO YA UPENDO KWA VIONGOZI WAO. Kioja kilichonishangaza, kunisikitisha na kunishtua ni dr Slaa kuwa na Bodigard mmoja ambaye hata silaha hajashika ila akiwa nyuma ya dr Slaa kashikilia gazeti anasoma. Hii ni hatari sana nikiamini kuwa dr Slaa kama mwanasiasa amejitengenezea maadui wengi ambao wanaweza kutumia mwanya huo kumdhuru. Ni vyema dr Slaa na CHADEMA mkalifanyia kazi hilo.

Nadhani mnakumbuka siku moja kupitia akaunti ya Independent spy ililetwa taarifa kuwa dr Slaa alikuwa anafuatiliwa na gari katika msafara wake wakati wa harakati zake za kichama.

Sasa watu wenye akili hawatokuwa tayari kurisk maisha yao wakati kuna chansi nzuri tu za kuweza kumdhuru. Bodigard mwenyewe anaonekana dhaifu sana. Ni ushauri tu.

Uko sawa lakini body guard mzuri ni wananchi
 
Hakuna mtu mnafiki kama wewe humu JF.Ulipokuwa unajiita kamanda ulitaka uaminiwe humu alafu baadae ujifanye unajitoa Chadema ili kuvunja moyo wapiganaji wa mtandaoni na wananchi.
Haya mnafiki ishi unafikini unapostahili alafu ufungue ID nyingine ya kuendelea kujifanya kamanda kumbe mjanja mjanja wa mitandaoni tu.

wewe hustahili hata kuwepo duniani ulivyo wa ajabu hata aibu huna kuita wenzako wanafiki wakati wewe ndiye kiongozi wa wanafiki hapo bavicha.
 
Jana nilikutana na dr slaa Pale Mlimani city nadhani alikuja kwa ajili ya Bank issues katika ATM za CRDB tawi la Mlimani City. Nilichokipenda kutoka kwake ni pale alipokuja na kujiunga na foleni ndefu iliyokuwa inaitaji pia huduma hiyo na hata pale wasamalia wema walipomtaka apite awe wa kwanza alikataa na kutoa tabasamu kuuubwa akiashiria kuwa zamu yake ikifika ataingia na kupata huduma.

NAKUPONGEZA KWA KUKATAA UTUKUFU ULIOPEWA NA WATANZANIA WENYE ROHO YA UPENDO KWA VIONGOZI WAO. Kioja kilichonishangaza, kunisikitisha na kunishtua ni dr Slaa kuwa na Bodigard mmoja ambaye hata silaha hajashika ila akiwa nyuma ya dr Slaa kashikilia gazeti anasoma. Hii ni hatari sana nikiamini kuwa dr Slaa kama mwanasiasa amejitengenezea maadui wengi ambao wanaweza kutumia mwanya huo kumdhuru. Ni vyema dr Slaa na CHADEMA mkalifanyia kazi hilo.

Nadhani mnakumbuka siku moja kupitia akaunti ya Independent spy ililetwa taarifa kuwa dr Slaa alikuwa anafuatiliwa na gari katika msafara wake wakati wa harakati zake za kichama.

Sasa watu wenye akili hawatokuwa tayari kurisk maisha yao wakati kuna chansi nzuri tu za kuweza kumdhuru. Bodigard mwenyewe anaonekana dhaifu sana. Ni ushauri tu.

Mkuu hilo la ulinzi lisikupe hofu..kuna watu wanaitwa "Invisible Bodyguards" sijui kama umewahi kuwasikia,kama bado basi fuatilia. Pale waweza kuta kulikuwa na watu zaidi ya kumi wanamlinda na wengine alipanga nao foleni kama wateja wengine wa kawaida. Dunia imebadilika sana mkuu..
 
wewe hustahili hata kuwepo duniani ulivyo wa ajabu hata aibu huna kuita wenzako wanafiki wakati wewe ndiye kiongozi wa wanafiki hapo bavicha.

Mimi nimekuwa kiongozi wa Bavicha tena! kukuonesha kuwa sina unafiki hata kadi ya Chadema sina! alafu kama unamzungumzia Heche kuwa mnafiki pengine huelewi maana ya neno mnafiki! Msimamo wa Heche unaeleweka! sasa unafiki wake utoke wapi?

Popo ni ndege au mnyama?
 
Kikwete ukimkosoa hana hila na wewe anachukulia kama uhuru wa maoni.

Nani kasema ivo. Ushaanza unaazi. ---- mtu hapendi kukosolewa na mwenye visasi kama huyo raisi wako. Sanasana atakuchekes akijidai uhuru wa maoni ila utaipata fresh kimya kimya.
 
Hukumuuliza hizo fedha alizokuwa anatoa km zina uhusiano wowote na fungu la ruzuku ambalo wachache wanamega na kutumbua badala yakuzielekeza kwenye ujenzi wa chama?

Ndio tabu ya kufikiri kwa kutumia kichwa cha chini.!!
 
Mkuu hilo la ulinzi lisikupe hofu..kuna watu wanaitwa "Invisible Bodyguards" sijui kama umewahi kuwasikia,kama bado basi fuatilia. Pale waweza kuta kulikuwa na watu zaidi ya kumi wanamlinda na wengine alipanga nao foleni kama wateja wengine wa kawaida. Dunia imebadilika sana mkuu..

Hao invisible sijui aliwafichia wapi wakati amekuja na gari yake na huyo bodygard akapanga naye mstari huku bodygard anapata mbili tatu gazetini wala hana habari na dr Slaa.
 
Kikwete ukimkosoa hana hila na wewe anachukulia kama uhuru wa maoni.

Nani kasema ivo. Ushaanza unaazi. ---- mtu hapendi kukosolewa na mwenye visasi kama huyo raisi wako. Sanasana atakuchekes akijidai uhuru wa maoni ila utaipata fresh kimya kimya.

Hee kamanda umeshaanza mambo ya kibavicha sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom