Mazingira ya vifo vya hao watu yanautofauti mkubwa sana na mazingira ya leo japo kwa namna moja ama nyingine bado yanatokea kw style ya kuvamiwa na kukatwa mapanga ila nakwambia kwa roho safi kabisa mguse huyo mzee kama utaishi kwa amani na familia yako.
hajatumia pesa kupendwa,na watu wanavyo sema ni rais wa mionyo ya watanzani they mean it mkuu,wapo wengi waliopendwa kama yeye moja wapo ni mwalimu japo nae mpk leo bado waliohusika na kifo chake iwe ma dr au viongozi daima hawataishi kwa amani kwani dhambi hyo itawatafuna milele,mwalimu hakutokea ICU kwenda Uk kama ilivyokwishatokea kwa wagonjwa wengine.
kifupi ulinzi wa dr upo imara trust me