Ni wakati wa dola kuongozwa na Dr Slaa ili kuondoa ukandamizaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati wa dola kuongozwa na Dr Slaa ili kuondoa ukandamizaji

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by DENYO, Sep 14, 2010.

 1. D

  DENYO JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dr SLAA, yes we can, huyu ni mtanzania wa pili kwa nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo, ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo, ni Dr. Slaa aliesimama mnazi mmoja kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi,

  ni Dr. Slaa aliesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupungzwa kuelekeza zaidi kwa watanzania,
  ni Dr.Slaa amesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma, ni Dr.Slaa amekuwa mtanzania baada ya nyerere kutoa hoja zinazomlenga mtanzania maskini,

  ni Dr.Slaa anaeweza kuthibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma,
  ni Dr.Slaa anaeweza kuwapa elimu bure watoto wetu pale mlimani achana na longolongo za sisiemu kuwatoza ushuru watoto waulizeni majukwaani wao nyerere aliwatoza ada? kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendeleee kuwa watumwa ni nini?

  ni Dr. Slaa anaeongelea treni ya umeme kwenda kigoma,dodoma,tabora, mwanza, waulize mpango wao sisiem kama si kuwapa wahindi wanaoleta mabehewa mababu Zetu waliyotumia wakati wa ukoloni hawa hawatutakii mema, hawa hawana tofauti na akina kalupeters,

  ni Dr.Slaa anaeongelea mfumko wa bei -nani hajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. kwani kuna tofauti gani tanzania na kenya, ethiopia, ambako ni chini ya 20 ya pesa yao? kwanini sisi tuna kasoro gani kuwa maskini kiasi kwamba mtu asafiri kutoka ethiopia kuja dar es salaam afike kabla ya mtu anatoka kariakoo kwenda mwenge? Mara ngapi mafisadi hawa tumesikia wanaongelea flyover??? hawawezi kwa sababu ya ufisadi misaada yote inayokuja nchini inaishia kwenye matumbo yao

  ni Dr.Slaa anaweza kuzuia wizi wa matilion ya pesa kutoka migodi yetu ya buzwagi, geita, bulyankulu, tulawaka,nzega,tanzanite hawa wameshindwa kwa sababu ni washirka wakubwa wameruhusu wizi huo,

  ni Dr.Slaa anaeweza kuwalipa wafanyakazi zaidi ya shinilingi 350 achana na sisiemu inayoshindwa kusimamia maliasili ambazo zingeliwapa wafanyakazi kima cha chini kinachokizi mahitaji,

  ni Dr.Slaa anaeweza kusimamia mashirika ya jamii kuleta tija achana na sisiemu wanafyonza michango yetu kule kwani haya mashirkia yameshindwa nini kuwajengea nyumba wanachama wake? mbona kwingine yameweza?

  ni Dr.Slaa anweza kuongoza nchi bila woga, kwa utawala wa kweli wa sheria bila kuwaonea watu, bila kulipiza visasi,

  ni Dr,Slaa ambae amepanga kubadili katiba ili Rais afuite matakwa ya waliemwajiri ambao ni wananchi, waulize sisiemu hata kama mtu kaiba anapewa mda arudishe ela? hivi inaingia akilini kweli? hata kama mtu anasemwa ni fisadi hakuna hatua yoyote -naomba niwape heko ITV kwa kuturejeshe kwenye hotuba za mwalimu -katika hotoba yake moja alisema waziri mmoja kule uingereza aliandkwa kidogo tu gazetini kwamba amekutwa na malaya yule waziri alijiuzulu na waziri mkuu hata hakumjibu bali aliteua mtu mwingine, sisiemu hawawezi hayo? eti wanataka ushahidi nani kawambia rushwa tule wawili harafu tutoe vielezlezo? tunaiona rushwa kwa matokeo yake -barabara bilion 200 siku mbili imeharibika kwanini usimfukuze waziri na katibu wake wa wizara kwanza? hawawezi sisiemu eti wantaka vielelezo -nani alikwambia tukipeana rushwa tunaweka vielelezo?? rushwa unaiona kwa huduma inayotolewa

  ni Dr.Slaa anaeweza kfanya hayo si tumeona mnazi mmoja aliwataja wote! hapo ni mbunge je akiwa rais watakimbia nchi nawambia tumpe miaka mitano tu awakurupue muone moto utakavyowaka? tutapata dawa, tutapata shule za bure, tutapata madawati-jamani hivi kweli karne ya leo watoto wanasoma wamekaa chini? we must be seriuos stupid??????? hivi kweli leo watu wanavuliwa nguo njiani kwenda mwanza, shinyanaga, tabora, kigoma, mbeya,lindi, mtwara kwa sababu ya usafiri wa malori???????? fikiaria ni wewe umevuliwa nguop mbele ya mama mkwe wako>??? harafu unaipiagia kula sisiemiu???? nani asie jua madakitari wetu wengi bingwa wapo botswana/ HAPA watu wanakufa tuu, nani asiejua matatizo ya umeme, maji, makzai, maradhi, yanavyotutesa? nani asiejua wakulima wetu waivyokuwa na masoko ya mazao yao, nani asiejua asilimia 85 ya watanzania wanatumia vibatari au makoroboi kama mwanga, nani asiejua tunavyonyonywa na hawa wakoloni waliokuja kuxchuua kila kitu?? jamani wafanyakzi, wakulima, wanafunzi ni jukumu letu kupeleka habari hata kama vyombo vyetu vya habari ni vya hao hao, hawasemi ukweli hata wao ni maskini na wanakubali kupitia vyombo vyao tuendeee kusema piga na shavu la kushoto,

  ni Dr. Slaaa dr wa ukweli sio dr wa misifa anaweza kutuvusha tulipo, nchi hii ni maskini wa kujitakia, Tanznia ni tajiri tuna kila kitu mito, maziwa, national parks, migodi, mazao ya misitu, na kila kitu? naonea huruma wenzangu waliokunywa maji ya bendari hivi kun mtu hajui mapolisi wanalala kwenye vibanda vya mabati? hivi kuna mabae hajui mapolisi watendaji wanalipwa laki moja,? wamekosa nini hawa? jamani tuache woga inawezekana mbona kenya wameweza? mbona malawi wameweza?mbona zimbabwe wameweza?mbona ghana wameweza? mbona tunwea kufnya mabadiliko sahihi, inawezakana na nafasi ni hii tuitumia, tunamtuma Dr.Slaa kuwakurupusha kuweka katiba sawa huo ndio msingi wa yote, ni Dr. Slaa asiopgopa mgo,mbea binafsi hawa sisiemeu wanaogopa hwawezi kabisaaaaaaaaaaa, jamani 2010 hakuna kudanganyika, enough is enough achani kudanganyika, nawatamani watu wa kule mara -hakuna kura inaibiwa zote zinasimamiwa, tukibadilika inawezekana tena ni rahisi, peleke ujumbe huu kwa babu na bibi kule kijiji kwa simu kama ipo, au posta, au gari ili mradi wale jamaa waliochoka kuishi wasi ikwapue barua wakidhani ni ela mara daabda ya kuwavua nguo abiria, hii inatia aibu miaka 49 ya uhuru? karne ya 21 shida zote hizi inakera inaudhi na haivumiliki hawa sio wenzetu baba mbunge mjomba katibu wa wizara, biinamu waziri mkuu, wao wao wao na wanataka watiu wasisome ili wasiwe kuhoji wasome wao tuuuuuuuuuuuuuuuuu, wengine 40% ya ada kima cha chini laki 2, utalipaje hiyo 40% tunaonewa tunadhulumiwa, hawtundei haki -yaani wamefika sehemu wansema vijisenti ntamani yule mgaya angepata hivyo vijisent pengine asingejitoa mhanga inauma, hao hao wameandikwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lakini bado wanangangania hawakumbuki maneno ya mwalimu kuhusu wazir wa uengereza, mkubwa nae amewachia tuuuuuuuuuuuuuuuuu si washikaji acha tule good tym jamani tunaumia pisheni wanaoweza waongoze? jamani ifike sehemu ubinadamu uwepo, tupige kura na ninwashauri tongotongotongo zetu zitatuumiza haya Dr.Slaa huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo mpeni shoka amalize misitu tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bila hakuna kitu,

  Mtanzania mwenye haki ya kikatiba kutoa mawzo yake bila woga tuangane jamani sisi wote ni wana sisiemu lakini maji yamevuka shingo hapa hamna kitu kura tunampa Slaaa lakini tunabaki kuwa sisiemu cha msingi maendeleo bwana. WATANZANIA TUBADILIKE KURA YAKO NI MUHIM HAZIWEZI KUIBIWA ZOTE TUKAPIGE KURA NA KUSIMAMIA -SISIEM HAWANA JIPYA, SISIEM IMEBEBWA NA MAFISADI KWANI NANI HAJUI??? TUCHAGUE VIONGOZI WENYE UTASHI WA KWELI AMBAO TUNAWAFAMU KWA MATENDO YAO, NI KULIANGAMIZA TAIFA KUIPA UONGOZI SISIEM NA MAFISADI WAKE, KWANI NANI HAJUI UNYANYASAJI, WIZI WA MALI ASILI NA UKANDAMIZAJI SISIEM INAYOTUFANYIA TANGU UHURU DAWA KUWAPIGA CHINI HAWA -TUTAKUWA NA UTINDIO WA UBONGO KUMPIGIA KIONGOZI ALIYESHINDWA KUONGOZA NA KULETA MABADILIKO YANAYOONEKANA, TUNATAKA VIONGOZI HALISI SIO WACHEZA NGOMA. VIVA DR SLAA DR WA UKWELI SIO DR WA MISIFA.
   
 2. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,519
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Nasikia vijijini wanaichukia na kuiogopa sana serikali ya ccm. Sasa nashindwa kushangaa inakuwaje wanashinda zaidi huko
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Wafanyaje wamepewa kanga na tshirt? Kura ni siri.
  Ni ccm pekee ambayo inaweza kutaka Kuwa kiongozi Sina ya ra ambaye hajawahi kuchangia bungeni hata Mara moja for 5 yrs! Damn!
   
Loading...