thegeniustzda
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 211
- 359
Namshukuru sana huyu jamaa kwa ujuzi na mbinu aliyoitoa hapa jf kuhusiana na kupiga hela nyingi kupitia adsense bila kuvunja sheria zao japo alinikazia sana nilipomfata PM lakini ndio alinipa moyo wakuendelea kufatilia baadhi ya post&coment zake pamoja na post za jamaa anaeitwa MAZAGAZAGA Japo nilichelewa kuingia jf niliingia Dec 14, 2017 nilipata zaidi ya elimu sasa nimeweza kupiga mpaka 900,000Tshl