Pongezi za CCM kwa Richard wa BBA 2 zimetushangaza: Kutafuta umaarufu wasiokuwa nao

malezi mazuri aliyopewa na ccm......
sijui waona point yangu hapo??

Mkuu point yako ninaiona, lakini ni lazima ukubali kuwa kwenye maisha kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu, siasa ina mwisho na mwanzo wake, lakini kwenye hili rais wetu aliyetumiwa salam ni mwenyekiti wa CCM, na nchi yetu inaongozwa kwa sera za CCM, na siku zote siasa huwa haina mwiko kwenye kubeba credit, kwa hiyo mpaka pale Chadema, iatakapoweza kutawala huna choice but to live na ishus kama hizi,

Watuhumiwa wa ufisadi walituhumiwa na Dr. Slaaa, akishirikaiana na Zitto, lakini credit inmewaendea Chadema nzima, hiyo ni fact of politics, hakuna anyeweza ku-argue against mkulu jamani tumeshakuwa kwenye hii forum for tooo long haya mambo mengine tusiwe tunapoteza muda na nafasi bure hapa forum, jamani kuna wanaoilipia hii forum ili iwepo hapa, sio buree tuwaonee huruma sometimes kwamba wanaishia kulipia NONESENSE kama hizi hoja uchwara!

Yaaani kweli saa hizi taifa linateketea sisi tuanze kufundisha somo la the works of Political credits? I mean Pleaseee!
 
naona kama kawaida yenu mkiishiwa points au mkibanwa..mwaanzisha pumba zingine!!sasa nan kakwambia ana jasira ndugu yanguuu?!!?
ha haha haa i think i better find something else for now...tchao
 
naona kama kawaida yenu mkiishiwa points au mkibanwa..mwaanzisha pumba zingine!!sasa nan kakwambia ana jasira ndugu yanguuu?!!?

Hivi kweli kwenye hii forum kuna mtu anaweza kuandika pumba zaidi ya hizi zako mkulu?
 
malezi mazuri aliyopewa na ccm......
sijui waona point yangu hapo??

Mkuu point yako ninaiona, lakini ni lazima ukubali kuwa kwenye maisha kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu, siasa ina mwisho na mwanzo wake, lakini kwenye hili rais wetu aliyetumiwa salam ni mwenyekiti wa CCM, na nchi yetu inaongozwa kwa sera za CCM, na siku zote siasa huwa haina mwiko kwenye kubeba credit, kwa hiyo mpaka pale Chadema, iatakapoweza kutawala huna choice but to live na ishus kama hizi,

Watuhumiwa wa ufisadi walituhumiwa na Dr. Slaaa, akishirikaiana na Zitto, lakini credit inmewaendea Chadema nzima, hiyo ni fact of politics, hakuna anyeweza ku-argue against mkulu jamani tumeshakuwa kwenye hii forum for tooo long haya mambo mengine tusiwe tunapoteza muda na nafasi bure hapa forum, jamani kuna wanaoilipia hii forum ili iwepo hapa, sio buree tuwaonee huruma sometimes kwamba wanaishia kulipia NONESENSE kama hizi hoja uchwara!

Yaaani kweli saa hizi taifa linateketea sisi tuanze kufundisha somo la the works of Political credits? I mean Pleaseee!

GREAT ANALYSIS !!
 
Nyie wanaume,

Hivi lini mtanielewa katika hili? tatizo sio Richard kama Richard kupongezwa ama Rais kupongezwa kwa mtanzania kushinda(ingawa si kila pongezi ni nzuri- nyingine ni KEBEHI tu za kidiplomasia!). Tatizo hapa ni chama kinachotawala CCM kusema kwamba Richard alishinda Big Brother kwa sababu ya malezi mazuri yanayotokana na sera ya vijana ya taifa iliyowekwa na CCM. Tukumbuke kwamba Richard alishinda kwa pamoja na mambo mengine kufanya ngono kwenye lile jumba na kuonekana uchi uchi kwenye luninga yote haya ni kinyume na utadamuni wa nchi yetu; je hayo ndio malezi bora ya CCM? Kama hayo ni malezi bora, basi ni malezi bora ya Chama Cha Malaya. Nimesema na nasema, kilichotokea ni umalaya wa kisiasa wa kudandia umaarufu- naamini kwamba wapo ndani ya CCM wanaojutia kauli ambazo CCM imetoa kuhusu hilo. Lakini kama hamjutiaa kudandia huku mambo, walah sitaacha kuendelea kuwaita Chama Cha Malaya.

Vijana wa TANU(TYL) walikuwa wanapinga aina zote za umalaya, leo UVCCM ndio wako mstari wa mbele kuendekeza umalaya wa kisiasa na wakudandia mambo na hata umalaya wa kimaadili kwa kumpokea mshindi wa BBA 2 kama SHUJAA wa Taifa.

Nafurahi aliwashtukia akawaacha kwenye mataa pale airport! Na mkitaka kujua kama mliboronga, leo hii Richard ametangaza wazi kwamba atajitahidi kufanya kila njia kurejesha ndoa yake ambayo ilivunjika kutokana na kufanya ngono na Tatiana hadharani BBA, msaidieni basi hayo malezi bora ndoa yake irudi jamani. Mwenzenu anahangaika kuzunguka kwenye vyombo vya habari sasa hivi kusafisha jina lake,nyinyi bado mnaendelea kutetetea ni malezi bora ya CCM?

Asha
 
malezi mazuri aliyopewa na ccm......
sijui waona point yangu hapo??

Mkuu point yako ninaiona, lakini ni lazima ukubali kuwa kwenye maisha kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu, siasa ina mwisho na mwanzo wake, lakini kwenye hili rais wetu aliyetumiwa salam ni mwenyekiti wa CCM, na nchi yetu inaongozwa kwa sera za CCM, na siku zote siasa huwa haina mwiko kwenye kubeba credit, kwa hiyo mpaka pale Chadema, iatakapoweza kutawala huna choice but to live na ishus kama hizi,

Watuhumiwa wa ufisadi walituhumiwa na Dr. Slaaa, akishirikaiana na Zitto, lakini credit inmewaendea Chadema nzima, hiyo ni fact of politics, hakuna anyeweza ku-argue against mkulu jamani tumeshakuwa kwenye hii forum for tooo long haya mambo mengine tusiwe tunapoteza muda na nafasi bure hapa forum, jamani kuna wanaoilipia hii forum ili iwepo hapa, sio buree tuwaonee huruma sometimes kwamba wanaishia kulipia NONESENSE kama hizi hoja uchwara!

Yaaani kweli saa hizi taifa linateketea sisi tuanze kufundisha somo la the works of Political credits? I mean Pleaseee!

Field Marshal

Unajua huwa nakupenda kwa hoja zako, lakini kadiri unavyoendelea kubisha kuhusu hili ipo siku nitakuweka kundi moja na Kadhia mkinzani.

Pongezi si suala la chama tu katika masuala ya kitaifa, si uliona taifa stars CCM, CHADEMA nk wote walipongeza?

Mbona katika suala la mshindi wa BBA vyama vingine viko kimya? Hujiulizi kulikoni?

Mimi nadhani wameukimbia umalaya wa kisiasa wa kupongeza mambo ambayo yapo kinyume na sera za msingi za vyama hivyo. Na hata wangepongeza pengine wangesema tu wanafurahi mtanzania ameboresha maisha yake kifedha na kuingiza fedha hizo katika mzunguko nchini. Naamini pia wangeasa waandaji wa mashindano hayo kurekebisha kasoro zinazopingana na utamaduni wa muafrika na kwenda kinyume na mapambano juu ya ukwimwi. Lakini nyinyi kwa umalaya wa kisiasa wa viongozi wenu mmejikuta moja kwa moja mkisema alichokifanya mule ndani na hatimaye kupata kura kila kona Afrika ni taswira ya malezi bora kutokana na sera za CCM. Hii ndio kuwa Chama Cha Malaya. Nashauri uachane na mjadala huu kwa kweli, unakushushia hadhi.

Asha
 
umesema mengi mazuri lakini ulipoandika chama cha malaya tu basi yoooote uliyoandika yameonekana kuwa UTUMBO. halafu si ajabu mtu anayekazania kutamka neno fulani fulani inawezekana akawa ndiye, sasa wewe endelea kutamka malaya malaya hadi uchoke na wengine tuanze kufikiria wewe ndiye mkubwa wao !
 
Chama Cha Malaya. Nimesema na nasema, kilichotokea ni umalaya wa kisiasa

Mkuu ninaendelea kusema kuwa kabla hamjarukia hii forum kuweka hoja zenu, jaribuni kuziangalia na kuzipima kwanza please,

Mkuu lets say hii ni hoja inaweza ku-stand mbele ya intelligent people, then maana kamili ya hii hoja ni kwamba CCM ni chama cha malaya, ambacho ni lazima kiwe kinaongoza wananchi ambao ni malaya, yaani mimi, wewe, wazazi wako na wangu, na pia familia zetu nzima nazo ni malaya, maana Chama Cha Malaya, kama unavyokiita ni lazima kiwe kimechaguliwa na wananchi malaya, tena 80% does this make a sense to you au kwa intelligent people, naomba niwaachie wananchi hapa forum waaamue!

And by the way, una make a lot of sense unapotumia majina mengine, isipokuwa haya mawili tu!, hili na lingine kama hili!

Ahsante Mkuu.
 
for the record: wakati wa harakati wa kudai uhuru wa tanganyika, makahaba na malaya walichangia kwa hali na mali chama cha TANU at a time when it was not possible for the civil servants to do so. Ten years baada ya uhuru, tulipoanza kuwa na wanawake wasomi, TANU ikawapiga kibuti 'makahaba'...they had outlived their usefulness. Hata mzee Yusufu Halimoja kwa makusudi kabisa hakuwaweka katika kumbukumbu zake za historia!!(shukrani ya punda....)Hizo ndizo enzi za TANU Youth League!!!
Fast foward to BB.....naona CCM walikuwa wanajikomba tu and the whole show of support was rather misguided...ndio maana wakashushuliwa. serves them right! mbona hatujawahi kuona umoja wa vijana ukiwapongeza wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani yao?
 
malezi mazuri aliyopewa na ccm......
sijui waona point yangu hapo??

Mkuu point yako ninaiona, lakini ni lazima ukubali kuwa kwenye maisha kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu, siasa ina mwisho na mwanzo wake, lakini kwenye hili rais wetu aliyetumiwa salam ni mwenyekiti wa CCM, na nchi yetu inaongozwa kwa sera za CCM, na siku zote siasa huwa haina mwiko kwenye kubeba credit, kwa hiyo mpaka pale Chadema, iatakapoweza kutawala huna choice but to live na ishus kama hizi,

Watuhumiwa wa ufisadi walituhumiwa na Dr. Slaaa, akishirikaiana na Zitto, lakini credit inmewaendea Chadema nzima, hiyo ni fact of politics, hakuna anyeweza ku-argue against mkulu jamani tumeshakuwa kwenye hii forum for tooo long haya mambo mengine tusiwe tunapoteza muda na nafasi bure hapa forum, jamani kuna wanaoilipia hii forum ili iwepo hapa, sio buree tuwaonee huruma sometimes kwamba wanaishia kulipia NONESENSE kama hizi hoja uchwara!

Yaaani kweli saa hizi taifa linateketea sisi tuanze kufundisha somo la the works of Political credits? I mean Pleaseee!

hongera hongera weeee sote na tuhongereni
kiongozi wa busara aongoze tanzani
baba kikwete ndio dira kmata vyema sukani.

kikwete polea weee usiwe na wasi wasi
iongoze tanzania visiwani tule ngisi
 
Field Marshal

Unajua huwa nakupenda kwa hoja zako, lakini kadiri unavyoendelea kubisha kuhusu hili ipo siku nitakuweka kundi moja na Kadhia mkinzani.

Pongezi si suala la chama tu katika masuala ya kitaifa, si uliona taifa stars CCM, CHADEMA nk wote walipongeza?

Mbona katika suala la mshindi wa BBA vyama vingine viko kimya? Hujiulizi kulikoni?

Mimi nadhani wameukimbia umalaya wa kisiasa wa kupongeza mambo ambayo yapo kinyume na sera za msingi za vyama hivyo. Na hata wangepongeza pengine wangesema tu wanafurahi mtanzania ameboresha maisha yake kifedha na kuingiza fedha hizo katika mzunguko nchini. Naamini pia wangeasa waandaji wa mashindano hayo kurekebisha kasoro zinazopingana na utamaduni wa muafrika na kwenda kinyume na mapambano juu ya ukwimwi. Lakini nyinyi kwa umalaya wa kisiasa wa viongozi wenu mmejikuta moja kwa moja mkisema alichokifanya mule ndani na hatimaye kupata kura kila kona Afrika ni taswira ya malezi bora kutokana na sera za CCM. Hii ndio kuwa Chama Cha Malaya. Nashauri uachane na mjadala huu kwa kweli, unakushushia hadhi.

Asha

dada ukibishana na ........ nawe wawa .........
nadhani they r paid if not addicted to bisha hata katika sehemu zisizotakiwa kubisha.....
 
hongera hongera weeee sote na tuhongereni
kiongozi wa busara aongoze tanzani
baba kikwete ndio dira kmata vyema sukani.

kikwete polea weee usiwe na wasi wasi
iongoze tanzania visiwani tule ngisi

naona umerudi na majina yako mengine yameanza kujitokeza humu kama lile la engineer. Hauna hata akili kidogo ya kuzuga. kweli mtito wa fisadi ni fisadi anaiba hata haki za forum za kuwa na jina moja...
 
yaani wewe bado tu hujajifunza kuspell mwanangu ??
kama kuwa na majina tofauti ni kuiba haki za forum, ina maana wahusika hawajui hili ? je kama wanajua, ina maana wanapindisha sheria na nguzo za forum ?
 
naona umerudi na majina yako mengine yameanza kujitokeza humu kama lile la engineer. Hauna hata akili kidogo ya kuzuga. kweli mtito wa fisadi ni fisadi anaiba hata haki za forum za kuwa na jina moja...

shalow man kubwa ni kukupa pole. mwenzetu si bure ushapwerewa pwere.
 
Chama Cha Malaya. Nimesema na nasema, kilichotokea ni umalaya wa kisiasa

Mkuu ninaendelea kusema kuwa kabla hamjarukia hii forum kuweka hoja zenu, jaribuni kuziangalia na kuzipima kwanza please,

Mkuu lets say hii ni hoja inaweza ku-stand mbele ya intelligent people, then maana kamili ya hii hoja ni kwamba CCM ni chama cha malaya, ambacho ni lazima kiwe kinaongoza wananchi ambao ni malaya, yaani mimi, wewe, wazazi wako na wangu, na pia familia zetu nzima nazo ni malaya, maana Chama Cha Malaya, kama unavyokiita ni lazima kiwe kimechaguliwa na wananchi malaya, tena 80% does this make a sense to you au kwa intelligent people, naomba niwaachie wananchi hapa forum waaamue!

And by the way, una make a lot of sense unapotumia majina mengine, isipokuwa haya mawili tu!, hili na lingine kama hili!

Ahsante Mkuu.

Field Marshal umeniacha hoi hapa, nacheka mwenyewe. Inawezekana data na implication za sequence ulivyoweka kuna logic! Lakini tuache uongo hapa, mie sijui hiyo BB?? ni nini, lakini siaamini kuwa mtu alifanya ngono "LIVE" on TV, I mean pornograph, halafu anapewa hongera na MaRais wa africa! Aha Ahaa
Kama ni hivyo basi hizi family value zetu zimekwishaaa!
 
naona umerudi na majina yako mengine yameanza kujitokeza humu kama lile la engineer. Hauna hata akili kidogo ya kuzuga. kweli mtito wa fisadi ni fisadi anaiba hata haki za forum za kuwa na jina moja...

shalom.......

naomba tuheshimiane KAKA/DADA tafadhali.sio kama nakutisha la hasha.mtu wa pwani na mie ni watu 2 tofauti.
hivi wewe mwenyewe hujiulizi OLE na INVISIBLE mbona wanajua kuwa mie na mtu wa pwani ni watu 2 tofauti?
 
Field Marshal umeniacha hoi hapa, nacheka mwenyewe. Inawezekana data na implication za sequence ulivyoweka kuna logic! Lakini tuache uongo hapa, mie sijui hiyo BB?? ni nini, lakini siaamini kuwa mtu alifanya ngono "LIVE" on TV, I mean pornograph, halafu anapewa hongera na MaRais wa africa! Aha Ahaa
Kama ni hivyo basi hizi family value zetu zimekwishaaa!

yet wanataka tukae kujadili this thing...
 
Lakini tuache uongo hapa, mie sijui hiyo BB?? ni nini, lakini siaamini kuwa mtu alifanya ngono "LIVE" on TV, I mean pornograph, halafu anapewa hongera na MaRais wa africa! Aha Ahaa
Kama ni hivyo basi hizi family value zetu zimekwishaaa!

Mkulu IO,

Heshima mbele, mimi sikuona hayo kwenye luninga, lakini hata kama yalikuwepo ndio hasa maana ya realty shows, either tuwe na TV au tusiwe nazo, lakini kama tumeamua kuwa nazo, sex ni part ya TV na hasa realty shows, wa-Taliban waliamua kuvunja vunja TV zote na ikawa marufuku kuwa na TV kule kwao ili kuepuka na haya ya kina Richie, sasa tumaua tusuke au tunyoe, otherwise haya mambo ya ngono kwenye TV zetu, yapo to stay, asiyetaka abadili tu channel!

Janet Jackson, halaumiwi kwa kuvua no analaumiwa kwa kuvua mapema kabla ya wakati, ambao ulitakiwa kuwa sasa!
 
Back
Top Bottom