Pongezi Kwako Mwana-JF, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi Kwako Mwana-JF,

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndebile, Jun 16, 2012.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Ni yule aliyetuonyesha website za kujipatia elimu ikiwemo pia Khan Academy, sikumbuki alikuwa ni nani lakini popote ulipo pokea shukrani zangu za dhati, na endelea na moyo huo.
  Nimesoma mambo mengi kutoka kwenye video za Khani academy, video za masomo kv hesabu, kemia, biolojia zimenisaidia sana. Asante sana mkuu.
   
Loading...