Pongezi kwake Mange Kimambi

Your are right but they were funded by invisible body. Je huyo anayegharimia hiyo ni nani? Heri yetu tuliwe tunajua haziendi serikalini kama zilivyokwenda za tetemeko kagera na watoto wa Arusha. Sick.
Mkuu changa nimetoa tu angalizo kabla.Najua humu humu baadaye kutkuja uzi wa kutapeliwa.
 
Hii michango inanishangaza saana mimi?sishangazwi na huyu dada na ushawishi wake,nashangazwa na wanaochanga?je zitafikia lengo?naona utapeli hapa,watanzania 5000000 wakichangia 1000 moja tu ni pesa kiasi hicho,je ni za matibabu tu ya lissu,au ni dili la makengeza?
Umechanga?
 
Ili akamilishe hizo ' Sifa ' zako zote ulizompa hapo inambidi pia awe ' Mzalendo ' wa kweli kwa nchi yake ya Tanzania kwa kuitangaza vyema pia huko huko alipo na siyo ' kutegea ' tu mambo ' negative ' yanayotokea huku ' Bongo Land ' kisha anayatumia kwa ' maslahi ' yake ya Kiharakati na Kisiasa CHADEMA zaidi.

Yes ni ' Mwerevu ' na ni mfano mzuri wa ' Kuigwa ' hasa kwa Watu wanaopenda kufikiri outside the box ila ana mapungufu ya Kimsingi ya kutokuwa Mzalendo, Mvumilivu, hana Staha na amewekeza sana kwa kupenda kuwa emotional hata katika mambo ambayo hayahitaji nguvu au akili nyingi kuyakabili.

Mwisho mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni na kama kawaida yangu sijaumbwa kuwa ' Mnafiki ' na huwa ' nanyooshaga ' tu maelezo ni kwamba pamoja na hayo ' mapungufu ' yake ila Mange Kimambi amesaidia sana kuwafanya ' Watendaji ' wengi kuwa makini na 'Utendaji ' wao, amesaidia kuwafanya Watanzania wawe na uwezo wa Kuhoji, Kutathmini na Kuchambua mambo kwa mapana yake lakini pia amesaidia kutufanya Sisi wana Jamii tuishi kwa nidhamu na uangalifu mkubwa ili tusije kuharibu ' Heshima ' zetu katika Jamii.

Mtazamo wangu Kwake ni kwamba Mange Kimambi ana faida nyingi kuliko hasara na ni ' mtaji ' mzuri sana kwa Serikali au Jamii inayohitaji ' maendeleo ' hasa yanayoanzia katika ' Fikra ' na kwenda katika ' Utekelezaji ' na kama akitumika kama ngazi ya kuipeleka Tanzania katika ' mafanikio ' itapendeza mno kuliko kuonekana kama ' adui ' namba moja wa nchi / taifa / Serikali.

Yangu ni hayo tu Mkuu.
Ebana
 
Alinikera paleeee!!!ALIVOKUA AKIMTUKANA MATUSI MAZITO MAZITO MH.RAIS
KUMUULIZA TU KWANN UNAMTUKANA HIVO MH RAIS??
MBALI NA CHEO CHAKE JE UNAFKIRI JAMII ITAKUELEWAJE??
KESHO KESHOKUTWA UKIJA KUWA KIONGOZI WA NGAZI YOYOTE NCHINI KWENU JE UNAFKIRI WATU WATASAHAU MATUSI ULIOYATOA??
HUONI KAMA HUYO UMTUKANAE ANAUMRI KAMA WA BABA WAKUKUZAA??
Ohoooo,,!!!kumbe kosa kumuliza ati akaniblock
SASA TUFANYE AMAEKUA KIONGOZI JE ATAKUBALI USHAURI HUYU?????
 
Mimi ananifurahishaga anavyowaita watu majina
*diamond - baba dully
*zari - bibi tukinao
*magufuli - magufoolish
 
Back
Top Bottom