Kikao Cha Menejimenti ya Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akizungumza na Menejimenti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo na masuala mbalimbali kuhusu maendeleo ya Sekta ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini.

Kikao hicho ambacho kimefanyika Machi 6, 2023 katika ukumbi wa Wizara Mtumba jijini Dodoma, kimehudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Hamis Mwinjuma, Katibu Mkuu Ndg. Said Yakubu na Naibu Katibu Mkuu Nicholas Mkapa

IMG-20230306-WA0040.jpg
 
Back
Top Bottom