CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
-
- #21
Natamani ningekuwa Home Dar niwakilishe U.K (ukonga) ktk white party..... But natumaini itajirudia kitu ya aina hii charminglady
Big up kwa kufanikisha.
Big up kwa kufanikisha.
Hongera, andaeni yenu sasa tuje.
Au nikuendee hewani sasa hivi nini tumalize kesi....
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ulinitambua na ukanisalimia sana mwaJ.... Wakati twaingia ulikuja nyuma yetu ukatupita ukatusalimia na ukaingia kabla yetu....
Nilipenda tabasamu lako... Je utapenda kuwa wifi yangu make kakaangu hajaoa bado!!??
Natamani ningekuwa Home Dar niwakilishe U.K (ukonga) ktk white party..... But natumaini itajirudia kitu ya aina hii charminglady
Kijana Donn nitafute tuandae ''red party'' kwa wanaJF wa Ukonga. Tuko wengi lakini hatujawahi kukutana!
Bidada wasukuma wa huku wagumu kuelewa.... Mi nahisi nizungumze na mods wawapige ban may be ndo tutakutana . ...
I hope so... make Bujibuji kasema utakuwepo!!!
Hellow.....
Wapendwa wa JF Dar Wing napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa JF Dar Wing kwa ushirikiano mlionao. Hakika ni mfano wa kuigwa na mkiendelea hivyo mtawafunika JF Arusha wing.
Pili naomba niwaombe msamaha kwa kuja kwa muda mfupi na kuondoka kimya kimya ndani ya White Party kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
Nilifurahi sana kuwaona baadhi member wenzangu tunaoshinda jukwaani tukipigana vikumbo..
Nilifurahi pia kuwaona akina Paloma, marejesho, Jiwe Linaloishi, Maxence Melo, mike mushi, Ruttashobolwa, lara 1, mwaJ na wengine ambao sikuwafahamu kwa haraka. Bila kuwasahau Madame B, mzee Mtambuzi (ingawa ulinichunia wakati uliniahidi utakuwa nami) na my daddy watu8.. Hakika nilifurahi saaaaaaana!
Kwa wana JF Lake Zone, kilichofanyika JF Dar Wing kwa kweli kilipendeza saaaana. Ni aibu saaana kwetu sisi hasa JF Rock City tumeshindwa kujipanga tukakutana hata kwa dakika chache... Natoa wito kwenu ninyi. Kwanini tusijipange tukakutana???? Tukiamua tunaweza!!!!!!
Kijana Donn nitafute tuandae ''red party'' kwa wanaJF wa Ukonga. Tuko wengi lakini hatujawahi kukutana!
Wala sikujua kuwa ulikuwepo, ungepiga kelele kidogo jamani tuktambue.
Hebu ntumie vocha nkupigie yaishe....