Pongezi kwa JF Dar Wing

Pongezi kwa JF Dar Wing

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Hellow.....

Wapendwa wa JF Dar Wing napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa JF Dar Wing kwa ushirikiano mlionao. Hakika ni mfano wa kuigwa na mkiendelea hivyo mtawafunika JF Arusha wing.

Pili naomba niwaombe msamaha kwa kuja kwa muda mfupi na kuondoka kimya kimya ndani ya White Party kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.

Nilifurahi sana kuwaona baadhi member wenzangu tunaoshinda jukwaani tukipigana vikumbo..

Nilifurahi pia kuwaona akina Paloma, marejesho, Jiwe Linaloishi, Maxence Melo, mike mushi, Ruttashobolwa, lara 1, mwaJ na wengine ambao sikuwafahamu kwa haraka. Bila kuwasahau Madame B, mzee Mtambuzi (ingawa ulinichunia wakati uliniahidi utakuwa nami) na my daddy watu8.. Hakika nilifurahi saaaaaaana!

Kwa wana JF Lake Zone, kilichofanyika JF Dar Wing kwa kweli kilipendeza saaaana. Ni aibu saaana kwetu sisi hasa JF Rock City tumeshindwa kujipanga tukakutana hata kwa dakika chache... Natoa wito kwenu ninyi. Kwanini tusijipange tukakutana???? Tukiamua tunaweza!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
charminglady, wewe mwenyewe uliniona nilikuwa baba shughuli, nilikuwa najitahidi kuongea na kila mtu huku nikihakikisha mambo yanakwenda sawa, nasikitika sikuonana na wewe face to face tukateta japo kidogo, lakini naamini uliniona jinsi nilivyobanwa.

pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Walianza Chugga.......wakafuata Tanga......ikaja Dar......sasa sijui nyie Mwanza mnaogopa nini.......?
 
Ubarikiwe sana kipenzi changu...naamini nanyi mnaweza ila nia ndio haijawa thabiti.
 
Teh teh teh baba shughuliii... Pole sana kwa kutonitambua. Ila nashukuru sana kwa glass ya wine! Next time ntakusaka pale kijiwe cha kahawa ili unipe busara mbili tatu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Walianza Chugga.......wakafuata Tanga......ikaja Dar......sasa sijui nyie Mwanza mnaogopa nini.......?

Yan shost sijui wanachoogopa ni nini??? Nimeangalia White Party ilivyokuwa nikapenda saaana. We ngoja tutawavuta hata kwa Greda mwaka huu. Aibu sana kwa JF Lake Zone....
 
Ubarikiwe sana kipenzi changu...naamini nanyi mnaweza ila nia ndio haijawa thabiti.

Yan daddy mwaka huu lazima kieleweke hata kama ni kwa member wawili tutameet tu"!!!!
 
Yaani namba moja wangu umenichunia....khaaaa..

Mhmhmh... nilikuwa nakupimua tu na kuumia kimoyomoyo make niliona Paloma kakubana saaaana na mkoti wako mkuuubwa km uliazima kwa babu yako!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mhmhmh... nilikuwa nakupimua tu na kuumia kimoyomoyo make niliona Paloma kakubana saaaana na mkoti wako mkuuubwa km uliazima kwa babu yako!!!!

Khaaa....yaani mwenzako nimetumia mshahara wa graduate serikalini kununua lile koti na bado unaliponda?
Kesi hii haiishii hapa..
 
Last edited by a moderator:
Wala sikujua kuwa ulikuwepo, ungepiga kelele kidogo jamani tuktambue.

Ulinitambua na ukanisalimia sana mwaJ.... Wakati twaingia ulikuja nyuma yetu ukatupita ukatusalimia na ukaingia kabla yetu....

Nilipenda tabasamu lako... Je utapenda kuwa wifi yangu make kakaangu hajaoa bado!!??
 
Last edited by a moderator:
Khaaa....yaani mwenzako nimetumia mshahara wa graduate serikalini kununua lile koti na bado unaliponda?
Kesi hii haiishii hapa..

Teh teh.... Sema nisitoboe siri. Ila kwanini ulinichunia wakati ulinipromise mi ni namba moja???? Sijasahau ujue.....!
 
Teh teh.... Sema nisitoboe siri. Ila kwanini ulinichunia wakati ulinipromise mi ni namba moja???? Sijasahau ujue.....!

Ona sasa ukauchuna mpaka namba 4 Paloma akashika hatamu....tabia yako mbaya kwa kweli....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ona sasa ukauchuna mpaka namba 4 Paloma akashika hatamu....tabia yako mbaya kwa kweli....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Sikutaka kutoa panga tu... nilikuwa nalo kiunoni ujue..... Bhita ni Bhita muraaaaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Natamani ningekuwa Home Dar niwakilishe U.K (ukonga) ktk white party..... But natumaini itajirudia kitu ya aina hii charminglady
 
Last edited by a moderator:
Sikutaka kutoa panga tu... nilikuwa nalo kiunoni ujue..... Bhita ni Bhita muraaaaa!!!!!

Ngoja bado nafanya upembuzi yakinifu...by kesho nitakuwa na details zote...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom