Tetesi: Pongezi kwa JamiiForums yashika nafasi ya 5 Tanzania

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Messages
567
Points
1,000

kali linux

JF-Expert Member
Joined May 21, 2017
567 1,000
Nahisi data zao ni wale watu wanaotype hizo address kwenye address bar ya browser.

Wanaotumia app hawahesabiwi Kama wameingia FB.

Kwa mazingira ya kawaida no way YouTube na Yahoo ziwe na watumiaji kushinda FB kwa Tanzania.
Unajua ukifatilia kwa kila kampuni hapa bongo ambalo bado halina domain name yake mfano .co.tz na emails zake basi utagundua kwa kila makampuni matano basi manne hadi matatu bado yanatumia "yahoo.com" pia wengi wasio na ufahamu wa hizi search engines utakuta wanatumia bado msn au yahoo coz huwa zinakuja by default kwenye devices mbalimbali (mfano Internet explorer inatumia MSN by default na wengi hawajali kuibadilisha as long as inaleta search results) so mwisho wa siku utakuta yahoo bado inatumika tu, hata worldwide yahoo bado iko kwenye top 10 ya most viewed webs ( 7th according to Alexa)

Ila ni kweli kwamba hizo data hapo wanaangalia tu ile traffic inayokuja kupitia webbrowser na sio App coz Alexa wao wanadeal na website traffics tu
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
47,819
Points
2,000

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
47,819 2,000
Source Alexa
Jamii forums yashika nafasi ya 5 Tanzania kwa mitandao inayo tembelewa sana hapa bongo,jamiiforums ime mpiku millardayo,bongo5,udakuspecially ambayo iliyonekana kuja kwa kasi kipindi cha nyuma
Pongezi kwa Maxence Melo, pamoja na wadau wote wa mtandao huu
View attachment 1145148
Nilitegemea Pornhub iwe namba moja.

Watanzania mnafeli wapi?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,454
Points
2,000

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,454 2,000
Unajua ukifatilia kwa kila kampuni hapa bongo ambalo bado halina domain name yake mfano .co.tz na emails zake basi utagundua kwa kila makampuni matano basi manne hadi matatu bado yanatumia "yahoo.com" pia wengi wasio na ufahamu wa hizi search engines utakuta wanatumia bado msn au yahoo coz huwa zinakuja by default kwenye devices mbalimbali (mfano Internet explorer inatumia MSN by default na wengi hawajali kuibadilisha as long as inaleta search results) so mwisho wa siku utakuta yahoo bado inatumika tu, hata worldwide yahoo bado iko kwenye top 10 ya most viewed webs ( 7th according to Alexa)

Ila ni kweli kwamba hizo data hapo wanaangalia tu ile traffic inayokuja kupitia webbrowser na sio App coz Alexa wao wanadeal na website traffics tu
Ni kweli unavyosema mkuu, ila we are talking about Facebook hapa, mpaka vijijini huko watu wanaijua, visimu vya ajabu ajabu na operamini.

Kwa data za December 2017 Facebook Ina watu milioni 6 Hapa Tanzania. No way Yahoo iipite FB.
 
el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Messages
4,292
Points
2,000

el nino

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2013
4,292 2,000
east africa
Ni kweli unavyosema mkuu, ila we are talking about Facebook hapa, mpaka vijijini huko watu wanaijua, visimu vya ajabu ajabu na operamini.

Kwa data za December 2017 Facebook Ina watu milioni 6 Hapa Tanzania. No way Yahoo iipite FB.
kenya , uganda hawana porn kwenye top 10 zao isipokuwa Tz....
 
Forum statistics

Threads 1,366,440
Members 521,454
Posts 33,369,279
Top