Ht kikwete mwenyewe ingawa yupo ccm lakini anamkubali
kwakuwa ni jembena ndio maana akampa ubunge
Anafaa kuwa kiongozi wetu wa nchi ni mtulivu mzalendo na busara na kusimamia masuala yenye maslahi kwa taifa
aliteuliwa na kiongozi boraAnafaa kuwa kiongozi wetu wa nchi ni mtulivu mzalendo na busara na kusimamia masuala yenye maslahi kwa taifa
KIONGOZI ANAE:heh:aliteuliwa na kiongozi bora
aliteuliwa na kiongozi bora
bora mpe kubwainaonekana huko mtaani kwenu unavunja rekodi ya kusutwa,
mbona povu linakutoka?simply kiongozi bora kateuliwa na kiongozi bora!inaonekana huko mtaani kwenu unavunja rekodi ya kusutwa,
acha matusi kwa thinkersWanaume wakiwezeshwa wanaweza,lakini mwambie rasimu mpya ya katiba mpya viti maalum ni kwa walemavu tu 2015.mbatia ni akae chonjo.
wewe ni jinsia gani?mbona povu linakutoka?simply kiongozi bora kateuliwa na kiongozi bora!
nani kakwambia ukrsto ni dini hizo ni mila za wazungutatizo kwenye katiba mpya nafasi kama yake :wave::wave:
mbona povu linakutoka?simply kiongozi bora kateuliwa na kiongozi bora!
acha tabia za kuigaMaliberali wengi ni wachapa kazi. Kama hujafanya nao kazi basi chukua hiyo
Nimejaribu kumfatilia james mbatia kwa mda sasa nimemuona yupo tofauti sn na viongozi wengine km cuf cdm au ccm. Hakurupuki angalia issue ya mitaala huyu jamaa ana vision binafsi namkubali