Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
Huyo Kitila amesema yeye sio kiongozi cdm.......alijiondoa kitambo kwa mujibu wa barua yake kwa muajiri wake udsm.Kitila hiyo ndo style yake hakuwa na siasa za jukwaani wala media zaidi siasa zake ktk mitandao ya kijamii tofauti na Zitto ambaye ni mbunge na tunajua ubunge sio siasa za chumbani ni lazima upande jukwaani labda wale wa kuteuliwa na Rais kwa hiyo siasa unapotuhumiwa unatakiwa ujibu haraka iwezekano sio kukaa kimya tu......!nijuavyo mimi Zitto amewa influence vijana wengi kuingia katika siasa na amejaribu kujenga hoja nyingi zenye mashiko kuliko wabunge wengine .......nadhani ifikia kipindi cdm imsamehe Zitto ili wakijenge chama.
sir Alex Ferguson alimpiga kiatu David Beckham kwa kujifanya yeye ni zaidi ya Man U. Kazito katoke tu au kakiri na kujishusha