Pesa ndogo? usiseme ndogo ni pesa ndefu ambayo tumempa zitto na ni lazima akamilishe kazi yetu ingawa tumeanza kuona hakuna dalili ya kuiua CDM, hawa jamaa wapo imara na hii inachangiwa na wananchi wengi kuamka sasa sio mwaka 47Dr. Kitila namwona huruma sana huyu msomi anaetaka kumalizwa na siasa njaa na hasa mtoto mdogo kama Zitto kwa njaa na pesa ndogo.
kosa la akini nchimbi linaonekana na kila moja alalijua kwamba limegharimu maisha ya watu tena wengi wao wasiokuwa na hatia. hebu nitajie kosa la Zitto.kama ni hivo hakuna haja ya kuwa na taifa, ilitakiwa kila mkoa uende kivyake, let say kila kiongozi akitolewa cheo na serikali au taasisi akienda kulalamika kwao au kushitaki tutakuwa na taifa? Ina maana kina nchimbi waende songea kulialia kwa sababu wamenyang'anywa vyeo vyao? Wanasiasa kama kina zitto ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu. Kukubaliana na upuuzi huu ni kuangamiza taifa!