Killerman
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 326
- 183
.. No. Kinachomfanya Dr. K kuwa kimya ni kwamba yeye ni mfanya kazi wa serikalini, haruhusiwi kujiunga na vyama vya kisiasa hasa kuwa kiongozi, na ndio maana yeye ametulia, kwa7bu hadi hapobalipofikia keshasimamishwa kuwa kiongozi wa kitivo pale UD, au hulijuwi hilo? Kwahiyo anakuwa mpole ili labda atarudishiwa unga wake. Kawa kiongozi wa chama, alipogundulika akavuliwa uongozi chuoni, alafu hata mmoja anayeenda kumtetea, kwahiyo anaona akijitokeza zaidi asije akamwaga unga na kazi ya kabisa.. Kwahiyo hiyo ndio 7bu ya yy kutulia kuliko wengine. Sio kama hataki ila kazi serikalini na sheria za utumishi wa umma ndio kinamfanya awe hivyo... Sawa we mbulula? ( mi napita tuu sina chama, ni mtazamo tuu)Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr kitila mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na zitto na samson mwigamba.dr amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na zitto pamoja na mwigamba ni ya kweli.nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11 dr mkumbo amekuwa kmya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.zitto kabwe ndio huyo yuko kigoma akiomba huruma ya wananchi,mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chamachao mapema?na kwa nini yy dr mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatfautisha?hakika dr mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.hongera sana dr mkumbo.nawasilisha.