Pongezi Dr. Kitila Mkumbo

Pongezi Dr. Kitila Mkumbo

Status
Not open for further replies.
Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr. Kitila Mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na Zitto na Samson Mwigamba,amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.

Maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.

Kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na Zitto pamoja na Mwigamba ni ya kweli.

Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11, dr. Mkumbo amekuwa kimya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.

Zitto Kabwe ndio huyo yuko Kigoma akiomba huruma ya wananchi,Mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.

Swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chama chao mapema?Na kwa nini dr. Mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?

Je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatofautisha?Hakika dr. Mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.

GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.

Hongera sana dr. Mkumbo.

Nawasilisha.

Food 4 thought! Uzi wako unanikumbusha sakata la John Samwel Malecela na Horace Kolimba walipotuhumiwa na Baba wa Taifa kwa kumshauri vibaya Mzee Ruksa; Horace Kolimba akaamua kupambana na Nyerere kwa kauli kama; "Nyani haoni K...... Le! na CCM haina sera" He died a decade ago today na CCM ikamfuta kwenye kumbukumbu zake!!
lakini Mzee Malecela akatamka kwamba "yeye ni nani kulumbana na Mwalimu?" leo hii yu hai na mjumbe wa kudumu wa NEC ya CCM na marupurupu yote ya Waziri mkuu mstaafu.

Kaacheni haka ZZK Kakaushaji ka Migebuka yakasibu.
A big up dr Mkumbo
 
Huyo Kitila amesema yeye sio kiongozi cdm.......alijiondoa kitambo kwa mujibu wa barua yake kwa muajiri wake udsm.Kitila hiyo ndo style yake hakuwa na siasa za jukwaani wala media zaidi siasa zake ktk mitandao ya kijamii tofauti na Zitto ambaye ni mbunge na tunajua ubunge sio siasa za chumbani ni lazima upande jukwaani labda wale wa kuteuliwa na Rais kwa hiyo siasa unapotuhumiwa unatakiwa ujibu haraka iwezekano sio kukaa kimya tu......!nijuavyo mimi Zitto amewa influence vijana wengi kuingia katika siasa na amejaribu kujenga hoja nyingi zenye mashiko kuliko wabunge wengine .......nadhani ifikia kipindi cdm imsamehe Zitto ili wakijenge chama.
 
GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.

Hongera sana dr. Mkumbo.

Nawasilisha.

Hikijui kilichomfanya awe kimya? Mwenzio ajira inataka kuota mbawa wewe ndio kwanza una bwabwaja tu.wewe ni adui wa Dk Mkumbo. Ujinga wako utamponza mwenzio ohooo!. Usikurupuke tu fuatilia kwanza.ndio uanze kiropoka.
 
umeandika pumba, waraka wa Kitila unaishi, kama ule waraka wa chacha wangwe

Kitila alisema hata zitto alikuwa haujui, leo hii unasema kitila alisema alidanganywa na zitto, acha kushusha hadhi ya dr. kudanganywa na zitto

kuhusu ukimya, kitila siku zote yuko hivyo......................msilazimishe zitto awe kimya

myakoma mwaka huu na ujao

mlianza wenyewe na tuliwaonya mnaweweseka sasa

narudia kitila hawezi kudanganywa na zitto, wadanganye huko vijiweni

div. 5 noma sana

zitto anahaa hela za TISS alizo tafuna na kazi ndio hata robo hajaitimiza ,si unajua mlungula mkubwa ulipita kwake hao kina mkumbo walikuwa wanapata vijisent vidogo vidogo tu.
 
Dr ni muajiriwa wa serikali,ni marufuku muajiliwa wa umma kujinadi kwenye majukwaa ya siasa,akichabikia chama chochote cha siasa,unataka wanawe wasiende chooni?

Hapo ndipo alipobanwa maana hata kazi amesimamishwa sasa hana kwa kwenda anasubiri huruma yake na mwaajili wake tu
 
Ukimya dr kitula mkumbo unawafundisha zito kabwe na wengine,kwamba yanapotokea matatizo kwenye chama tusiwe wepesi wa kukimbilia kwenye vyombo vya habari na mjimboni kwa wananchi,vikao vya chama ndivyo vinatoa maamuzi ya wahusika sio kama wanavyofanya akina zito na mwigamba hawa hawakitakii mema chama cha chadema.
 
Hapo ndipo alipobanwa maana hata kazi amesimamishwa sasa hana kwa kwenda anasubiri huruma yake na mwaajili wake tu
Hapana hajasimamishwa kazi,ila amesimamishwa uongozi/ukuu wa college ya Education Chang'ombe tawi la UDSM
 
Kitila hakuna sehemu amesema ameingizwa mkenge na Zito acha upotoshaji wewe. Tena yeye ndio initiater wa mpango mzima huyo Zito hakuwa anaujua kabisa.

na mi hilo lingenishangaza kabisa!!
Yaani dr. mzima kama yeye aingizwe kingi na kikaragosi zzk basi hii ingekuwa yale yale ya musa kisha ukayaona ya nduguye firauni.

Au ndo zile doctorates za bwana kubwa jk?!!

Kama ni hizo ni sawa kabisa,maana unaweza ulizwa kwa nini nchi na wanachi wako ni maskini?

Si ajabu kuambiwa hata mimi sijui....
 
Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr. Kitila Mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na Zitto na Samson Mwigamba,amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.

Maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.

Kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na Zitto pamoja na Mwigamba ni ya kweli.

Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11, dr. Mkumbo amekuwa kimya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.

Zitto Kabwe ndio huyo yuko Kigoma akiomba huruma ya wananchi,Mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.

Swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chama chao mapema?Na kwa nini dr. Mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?

Je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatofautisha?Hakika dr. Mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.

GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.

Hongera sana dr. Mkumbo.

Nawasilisha.

Hatima ya kwenda Mbinguni?

Tusisahau kwamba lengo kuu la vyama vya siasa linapaswa kuwa ni kumkomboa mlalahoi kuleta maendeleo na si vinginevyo!
 
Dr. amefilisika kabisa, heshima yake mbele ya jamii imeshuka, he has a quilty conscious. He needs to keep his behind out of puplic eyes for atleast 6 to 7 months. Shame on him - Katila Mkumbo
 
Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr. Kitila Mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na Zitto na Samson Mwigamba,amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.

Maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.

Kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na Zitto pamoja na Mwigamba ni ya kweli.

Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11, dr. Mkumbo amekuwa kimya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.

Zitto Kabwe ndio huyo yuko Kigoma akiomba huruma ya wananchi,Mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.

Swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chama chao mapema?Na kwa nini dr. Mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?

Je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatofautisha?Hakika dr. Mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.

GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.

Hongera sana dr. Mkumbo.

Nawasilisha.
Bwana Yesu alisema acheni magugu na ngano vimee pamoja mpaka wakati wa mavuno ukifika hakika magugu yatavunwa kwanza na kutupwa kwenye moto na ngano safi itwawekwa ghalani ... that principle applies every whether ... its just a matter of time ,the chaff will separate itself from the rice
 
Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr. Kitila Mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na Zitto na Samson Mwigamba,amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.

Maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.

Kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na Zitto pamoja na Mwigamba ni ya kweli.

Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11, dr. Mkumbo amekuwa kimya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.

Zitto Kabwe ndio huyo yuko Kigoma akiomba huruma ya wananchi,Mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.

Swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chama chao mapema?Na kwa nini dr. Mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?

Je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatofautisha?Hakika dr. Mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.

GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.

Hongera sana dr. Mkumbo.

Nawasilisha.

Kwahiyo WEWE NI MCHANGA KWELI KISIASA; HAUKUMFUATA wakati ULE wa CHAGUZI za MADIWANI wa VITA KALI KATI YAKE na MBUNGE NAIBU KATIBU wa CCM MWIGULU NCHEMBA? na Nadhani Pia ndio ilikuwa wakati wake wa kujitokeza kugombea UONGOZI ndani ya SIASA za TANZANIA

Lakini cha Ajabu inasemekana MWAMPAMBA aliyekuwa Mwanafunzi wake CHUO KIKUU alikuwa anaendesha hizo CAMPAIGN alihakikisha Dr. NKUMBO hapati kura hata ya BAHATI na kwa bahati mbaya alianguka vibaya na kwa AIBU

++ Sasa NWAMPAMBA wakaimba jinsi walivyosafisha huko SINGIDA na JINSI alivyomwaibisha MWALIMU WAKE...
Cha AJABU ni kuwa sasa DR MKUMBO ZITTO KABWE na MWAMBAMBA ni kundi MOJA... HIZI NI SIASA za NCHI HII

KWAHIYO SIJUI UNAPONGEZA NINI HAPO?????????
 
Zitto kawashangaza wengi na akili zake za ujuaji .Anatakiwa kuondolewa tu Chadema akawe na Chama chake .
 
Wana Jf nimefurahishwa sana na tabia ya dr. Kitila Mkumbo,nimemfuatilia sana tangu zilipoibuliwa tuhuma dhidi yake pamoja na Zitto na Samson Mwigamba,amekuwa katika hali ya utulivu mkubwa kuliko watuhumiwa wenzie.

Maana baada ya kamati kuu kuwavua nyadhifa zao na kuwapa siku 14 dr amejitokeza mara mbili tu kwenye media kuzungumzia suala hilo.

Kutokana na sababu hiyo nimeanza kuamini kwamba maneno aliyosema kwenye kamati kuu kwamba aliingizwa tu kwenye mkenge na Zitto pamoja na Mwigamba ni ya kweli.

Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia baada ya wote wa 3 kurudisha fomu zilizokuwa na mashtaka 11, dr. Mkumbo amekuwa kimya akisubiri hatma yake,tofauti na wenzie ambao wameendelea kuhangaika kwa kisngizio cha kupigania haki yao ndani ya chama hata kabla ya chama kutoa hitimisho.

Zitto Kabwe ndio huyo yuko Kigoma akiomba huruma ya wananchi,Mwigamba ndio huyo katia timu kwa msajili wa vyama.

Swali linakuja ni kwanini hawa wawili wanatafuta utetezi nje ya chama chao mapema?Na kwa nini dr. Mkumbo katulia akisubira maamuzi ya vikao vya chama?

Je ni kutofautiana kwa viwango vyao vya elimu ndio kulikowatofautisha?Hakika dr. Mkumbo umenikosha sana na ukimya wako hivyo kuthibitisha kwamba hakika ww ni msomi uliye elimika.

GUILTY ARE ALWAYS AFRAID.

Hongera sana dr. Mkumbo.

Nawasilisha.
images
 
Kutokana na mwenendo wa Zitto ulivyo kwa sasa inaonekana hana busara hata ya kawaida. Huwezi kutoa utetezi na kabla ya utetezi kusikilizwa na chombo husika anaanza mikutano ya hadhara ya kutoa shutuma dhidi ya chombo alichotoa utetezi.
 
Kwa mtu makini hahangaiki na Zitto tena tulishamjua muda mrefu kwamba ni kirusi ila tunaenda kumsikiliza tu,hao akina Moses machari anajua yeye alivyowafanyia fitina ili waondoke Cdm na sasa dhambi hiyo inamtafuna yeye!.
 
Mdanganye apoteze na ajira yake kabisa.....

Hivi ww kwa upuuzi wako unadhani mtu mwenye uweledi kama kitila anaweza kubembeleza ajira?yeye amependa kufundisha lakini kwa uwezo wake anaweza akapata kazi kubwa sana.kuhusu chuo kikuu na utetezi wake.anahitaji legacy tu kuwa mkufunzi pale.soma cv yake alafu utamwelewa
 
kama ni hivo hakuna haja ya kuwa na taifa, ilitakiwa kila mkoa uende kivyake, let say kila kiongozi akitolewa cheo na serikali au taasisi akienda kulalamika kwao au kushitaki tutakuwa na taifa? Ina maana kina nchimbi waende songea kulialia kwa sababu wamenyang'anywa vyeo vyao? Wanasiasa kama kina zitto ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu. Kukubaliana na upuuzi huu ni kuangamiza taifa!

Ni mwanachama gani wa CCM aliwatukana kina Kagasheki au Nchimbi kama anavyotukanwa ZZK na wana CDM wenzake? hivi unafikiri yeye ana kokwa la embe kifuani asiumie ? ingekuwa kuvuliwa kwao uwaziri kumetokana na majungu na mizengwe ya wanachama wenzao kama ilivyo kwa Zito nadhani leo hii ungesha sikia mikutano mingi sana ya hawa jamaa.Lakini wao wamewajibishwa na Bunge .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom