Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

Huyo hawezi fanywa kitu ni mmoja kati ya watu walimuwezesha kikwete kuingia madarakani via udini
 
Kwa Serikali hii ya Kikwete inawezekana kushindana na Serikali, unategemea hukumu aliyopewa Ponda haina Mkono wa Jk? huwezi ukashiriki katika wizi na kuhatarisha amani ya nchi alafu ukafungwa kifungo cha nje cha siku kadhaa.

Labda unaweza kutuambia mali iliyoibiwa na ponda ili irejeshwe...??
 
Hakuna chuki bali ni kutaka ufafanuzi tu...........simjui Ponda wala Lipumba....hapa tunajadili hoja na sio watu


ukianza kumuangalia Kikwete na Lipumba kwa uislam wao halafu ukaanza kuwaunganisha na Ponda utakuwa unafanya kosa kubwa ambalo litawafanya waislam waanze kuwangalia viongozi wengine wakrito kwa ukisto wao na tena watawaunganisha viongozi hao na wakristo wengine ambao historia zao si nzuri. Mitazamo hii potofu ndio chanzo cha hisia za kidini na hatuwezi kumuweka kiongozi bora 2015 kwa mtaji huu.
 
ukianza kumuangalia Kikwete na Lipumba kwa uislam wao halafu ukaanza kuwaunganisha na Ponda utakuwa unafanya kosa kubwa ambalo litawafanya waislam waanze kuwangalia viongozi wengine wakrito kwa ukisto wao na tena watawaunganisha viongozi hao na wakristo wengine ambao historia zao si nzuri. Mitazamo hii potofu ndio chanzo cha hisia za kidini na hatuwezi kumuweka kiongozi bora 2015 kwa mtaji huu.

Mimi sijawaangalia kihivyo......nafuatilia kauli ya Lipumba
 
Jamani Jamani, Chonde chonde! Move hii si nzuri sana.... kwa kuwa wana JF si waaina hii. mimi nashauri hivi kama Shekh Ponda yupo kifungoni hata kama nikifungo cha nje basi tumpe uhuru wa mawazo yake so long as hafanyi vurugu yoyote na haatarishi maisha ya watu na mali zao... kunahaja gani kumuingilia juu ya maisha yake ya kiimani?

Katiba inamlinda kamavile sis sote inavyotulinda...

Hat hivyo napita tu..
 
Ndugu kama kufanya hivyo ni suna mbona wewe hujitokezi ukafanya hivyo? unamsukumizia mwenzio afanye wakati wewe uko nyumbani kwako unakula bata na wanao, nenda kajitokeze na wewe, nyinyi ndo wale mnawapa wenzenu wavae mabomu alafu mko kwambali mnasikilizia, acha hizo wewe kwani nani hapendi ubwabwa.

Nimekumbuka ya Osama. Mwenyewe yuko kwenye ngome Pakistan, wengine wanajilipua Afghanistan kuoina ahera. Huko kwa Mungu tutakuta mambo jamani.
 
Mi sina tatizo na anachoongea ponda au mtu yeyote yule mwenye ushawishi kwenye jamii. Concern yangu mimi ni hiyo jamii (audience) anayoongea nayo ina uwezo kiasi gani wa kuchambua mambo. Hadhira ambayo haina uwezo wa kuchambua mambo wanayoambiwa either kwa sababu ya elimu ndogo and kukosa exposure, ni hatari kutumbukia kwenye machafuko au majanga bila wao wenyewe kujua.

Waisilamu amkeni muone ulimwengu unavyokwenda, tena wengine mnatumia hadi mitandao ya kijamii kwa nini nyie mlioelimika msiwaambie wenzenu ukweli wa dunia inavyoenda kuwa hata huko Saudi Arabia ambako mtume wenu amezaliwa, hakuna kazi maofisini ambazo zinatangazwa zikitaka uwe na cheti cha elimu ya dini. Wanafuata mfumo huu huu wa elimu ya kimagharibi, BSc. BA. MSc. MA.

Mbona wenzenu wapemba wamejaa pale UDOM wanasoma elimu dunia nyie mnaendekeza dini matokeo yake watu wenye upeo mdogo kama Ponda wanawainfluence kijinga sana. Utatuzi wa matatizo yenu waisilamu kama walivyo wa dini nyingine ni kung'ang'ania Elimu yenu na watoto wenu ili mpate hayo maisha bora. Asitokee mtu wa kuwadanganya kuwa mkituua sisi makafiri mtaenda ahera na Allah atawapa mabikira 72, halafu wanawake wapewe nini?
 
Ushindi wa kwanza aliopata PONDA mara baada ya kutoka gerezani kuwa kutamka kwamba waislamu hawana chuki na wakristo bali wana madai yao serikali.
 
VijanaEeee msitoke nje ya reli...... !
Cheche ndogo huanzisha moto.......! "Utaifa mbele"
kwani siye wote tulichukuwa miezi tisa hadi kuzaliwa baada ya hapo kila mmoja akaenda shule yake na baada ya hapo kila mmoja atafukiwa kuMchanga na kifuzi juu. hiyo iwe RED line yenu.
jioni njema
 
Kama serikali kaiweka kwenye viganja vyake kwanini asijitambe
 
Sh Ponda usitetereke.....simama imara hakuna mwenye uwezo wa kukuziba mdomo......sana sana watakueka Jela na hiyo kwa Waislam ni University llah Yusuf.....kingine labda wakuhamishe mji na hiyo kwa Waislam ni Hijra Fii Sabilillah...jambo la mwisho ambalo wataeza kukufanyia ni kuuua na kukupa tiket ya Jannat,,....raha gan ilioje Muislam kuuawa na Kafir....,,ivyo bac Muislam hana hasara yoyote ile..,,wafanye watakayofanya ila wajue kua ndo wanakupandisha darja mbele ya Allah SW..,,Jazaka llah kheir Sh Ponda our Muslim Fighter

Hakuna ugonjwa mbaya kama ujinga. Wayahudi wakiwaua mnalalama nini sasa ikiwa ni raha ilioje kuuawa na Kafir.
 
Baadhi ya ndugu zetu waislam mnatia aibu. Masuala ya ponda ni dhidi ya bakwata na serikali hivyo hakuna sababu yoyote kuingiza ukristo kwenye matatizo yanayohusu uislam hakuna mkristo yeyote huko bakwata na kama tatizo ni mfumo kwa sasa serikali inaongozwa na waislam hivyo mnaweza kudai bila kuingiza uislam. Hila muwe mnakumbuka hata mfumo ukibadilika vipi bado wakristo watakuwepo tu Tanzania. Ndugu zangu waislam msio penda wakristo jifunzeni kuishi na watu wa imani zingine wote tumekuja duniani kwa aina moja na tutaonda kwa aina moja vile vile
 
ponda hahukumiw na ma jaji ila allah kwahiyo iyo kifungo cha nje ndo allah alvyo mkadiria. hav a long lyf ponda.
 
Hahahahahahahahahahaha!..

Nilijua tu utakuja huku,hilo huwezi kulielewa hadi utakapojua athari za dhambi katika ulimwengu na namna ambavyo huyu

Mungu aliamua kushughulikia tatizo hili kubwa ukijua hilo wala hutokuwa na hilo swali!..

Sasa siku aliyokufa dunia aliiendesha nani?
 
Back
Top Bottom