Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

Hahahahaha sijakwepa Malyenge nimekujibu lakini ukweli ni kwamba majini hayakai kwenye nguruwe hakuna sehemu

yoyote ambapo biblia inasema majini yanakaa kwenye nguruwe biblia Mungu anazuia kula nguruwe kwasababu hacheui na

siyo kwamba anamajini,kuna sehemu ambapo Yesu alimtoa mtu majini na akayaamuru yaende kwa nguruwe na hii ni

kwasababu nguruwe na hao nguruwe wakaingia baharini na kufa ingekuwa ni ng'ombe ni wazi asingefanya hivyo kwakuwa

wanaliwa,sijui wewe imani yako kwanini inazuia kula nguruwe?..

Ok!..

Hizo ni dhambi kwa mtazamo wako lakini nilitaka kujua ww unaamini dhambi ilianzaje duniani na Mungu ambaye ndiye

Muumbaji wetu hakuiumba dunia iwe na dhambi alifanya nini baada ya hilo tatizo kuingia kulingana na imani yako?..

Kuhusu hizo unazosema dhambi zetu ni uelewa ukija ukaelewa vizuri biblia sijui kama huwa unaisoma au huwa unasikiliza

tu wale wafanyabiashara wa manzese na kariakoo?..

Kumbe wewe ni mweupe kabisa kwenye maandiko...................Nilifikiri nimekutana na mtaalamu aliyebobea kumbe ni walewale wanaodanganywa ili watoe vijisadaka vyao madhabahuni....Lo! poleni sana wagala.
 
Back
Top Bottom