Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

Mi sina tatizo na anachoongea ponda au mtu yeyote yule mwenye ushawishi kwenye jamii. Concern yangu mimi ni hiyo jamii (audience) anayoongea nayo ina uwezo kiasi gani wa kuchambua mambo. Hadhira ambayo haina uwezo wa kuchambua mambo wanayoambiwa either kwa sababu ya elimu ndogo and kukosa exposure, ni hatari kutumbukia kwenye machafuko au majanga bila wao wenyewe kujua.

Waisilamu amkeni muone ulimwengu unavyokwenda, tena wengine mnatumia hadi mitandao ya kijamii kwa nini nyie mlioelimika msiwaambie wenzenu ukweli wa dunia inavyoenda kuwa hata huko Saudi Arabia ambako mtume wenu amezaliwa, hakuna kazi maofisini ambazo zinatangazwa zikitaka uwe na cheti cha elimu ya dini. Wanafuata mfumo huu huu wa elimu ya kimagharibi, BSc. BA. MSc. MA.

Mbona wenzenu wapemba wamejaa pale UDOM wanasoma elimu dunia nyie mnaendekeza dini matokeo yake watu wenye upeo mdogo kama Ponda wanawainfluence kijinga sana. Utatuzi wa matatizo yenu waisilamu kama walivyo wa dini nyingine ni kung'ang'ania Elimu yenu na watoto wenu ili mpate hayo maisha bora. Asitokee mtu wa kuwadanganya kuwa mkituua sisi makafiri mtaenda ahera na Allah atawapa mabikira 72, halafu wanawake wapewe nini?
we mburula mbn povu linakutoka
 
Akizungumza kwenye kongamano lililofanyika diomond jubilee shehe ponda ameitahadharisha serikali kutaka kumfunga mdomo asizumze juu ya masuala ya dini ambapo hiyo ni haki kikatiba na yeye kama raia wa tanzania anapaswa kuheshimiwa.source majira na mtanzania

namshauri sheikh Ponda kujiunga na chadema kuiondoa ccm madarakani mbaya wa waislamu ni ccm ndio inayotoa maelekezo kwa serikali. mimi ni mwiislamu lakini ninaimani kwamba chadema ikichukuwa uongozi wa nchi hii haiwezi kunyamanza itakapotokea waislam kuonewa, na mahakama ya kadhi tutapata maana chadema ni chama makini na kinajali maoni ya wananchi bila kuali dini, namuomba tena sheik Ponda kujiunga chadema
 
Angesema tu Serikali haiwezi kumfunga. I can just imagine maneno aliyosema; ''Watukufu Waislamu,Serikali ilitufunga.Tumetoka au hatujatoka?'' Atauliza mara tatu,watamjibu mara tatu.''Mmetoka,Allahu Akbar''
 
This too shall pass. He will get what he deserve. sheikh ilunga is at appolo now, let him be hero for a while then he will admire how TZ is. Viva ponda go on allah will protect you as he has done to ilunga
 
namshauri sheikh Ponda kujiunga na chadema kuiondoa ccm madarakani mbaya wa waislamu ni ccm ndio inayotoa maelekezo kwa serikali. mimi ni mwiislamu lakini ninaimani kwamba chadema ikichukuwa uongozi wa nchi hii haiwezi kunyamanza itakapotokea waislam kuonewa, na mahakama ya kadhi tutapata maana chadema ni chama makini na kinajali maoni ya wananchi bila kuali dini, namuomba tena sheik Ponda kujiunga chadema

Hahha mkuu una matusi ww yaan ponda ajiunge na cdm lol sina meng
 
Angesema tu Serikali haiwezi kumfunga. I can just imagine maneno aliyosema; ''Watukufu Waislamu,Serikali ilitufunga.Tumetoka au hatujatoka?'' Atauliza mara tatu,watamjibu mara tatu.''Mmetoka,Allahu Akbar''

We muache mwenzie kaimba mfumo kristo wee sa hz kanyamaza mwenyewe uzur wa ilunga alijisemea kuwa atakwenda na maji
 
Kung'olewa meno na kucha? Tunatambua kuwa hiyo ndiyo kazi ya serikali ya ccm.

Serikali iking'oa meno na kuchu za Shehe Ponda, waislamu wao wata ng'oa meno na kucha za PENGO, jino kwa jino. Nyakati za kunyanyasa waislamu zimekwisha.
 
Hahahahahahahahahahaha!..

Nilijua tu utakuja huku,hilo huwezi kulielewa hadi utakapojua athari za dhambi katika ulimwengu na namna ambavyo huyu

Mungu aliamua kushughulikia tatizo hili kubwa ukijua hilo wala hutokuwa na hilo swali!..

Hilo swali huwezi kujibu wewe........wala askofu ama hata papa hawawezi kujibu. Ni ubabaishaji tu kama huu uliofanya wewe....................Na unajua kabisa kama ukijibu inavyotakiwa maana yake utakuwa umeshakuwa mwislamu....Tehetehetehe....
 
hahahahahahahhaha kujibu tu swali unakuwa mwislamu dah kweli hiyo dini siiwezi Ukristo una hatua hauko cheap hivyo

ndiyo maana unashindwa kuuelewa!!..

Kama ulisha kutana na hao wote wakashindwa kujibu mimi siyo type yao kaka ndiyo maana nimekujibu kwamba wewe

tayari unajibu lako lisilo sahihi na unadhani ndilo jibu lakini ukweli utabaki pale pale kwamba ukijua ukubwa wa tatizo la

dhambi kwa Mungu Muumbaji ndiyo utajua kilichotokea bila kujua hivyo utaendelea kuwa hivyo ulivyo!..

Na ninaimani sikumoja utakuja kuelewa na kukiri kwamba ulichelewa kujua ukweli ukabaki kukaa na dini kwa ushabiki

badala ya kujifunza uweze kumjua Mungu wa kweli na siyo majini!..

Mungu wa kweli huwa habadiliki yaani leo hawezi kuwa binadamu na kesho akawa jiwe ama sisimizi......Mungu hawezi kujidhalilisha namna hiyo. Kwa hiyo huyo binadamu aliyegongelewa misumari msalabani hawezi kuwa Mungu (ingawa wewe au mtu mwingine wanamwita hivyo). Yeye ni binadamu tu!!!!!!!!! Huko kujidanganya kwenu na kudanganywa mlikofanyiwa na wanaojua kutafuta fedha, ndo maana Mungu wa kweli hamumjui....Na ukiona wengine wakiamini Mungu wa kweli unajifariji kwa kuwaambia wanaabudu majini.............Kumbe majini yote huwa yamo kwenye nguruwe....Ndo maana mtu alaye nyama ya nguruwe huwa ni shetani ama jini na ni najsi mbele ya Mwenyezi Mungu (Muumba mbingu na ardhi na si huyo mtoto wa binadamu). Pole we.........
 
Haya mkuu,ukweli ni kwamba bado hujajua tatizo la dhambi na namna Mungu muumbaji(siyo allah)

alivyoshughulika na hilo tatizo ukijua tu hiyo ndipo utakapo kubali kwamba Yesu ni ndiye huyo huyo Muumbaji ambaye

hakuna kilichofanyika bila yeye.

Habari za nguruwe kuzihusisha na majini hiyo mimi sijui,ninachojua kwa mujibu wa biblia kitabu cha tano tu cha biblia

Mungu amezuia kula nguruwe kwamba ni mnyama najisi na wala haihusiani na majini.

Hebu naomba uniambie rafiki yangu,ninyi mnaamini nini kuhusiana na dhambi kuingia duniani na kuharibu uumbaji wa

Mungu na hatua Mungu alizochukua kukabiliana na hilo tatizo,imani yako inasemaje?...

La majini kukaa kwenye nguruwe hilo umekwepa......Wakati unajua fika hilo andiko lipo. Anayway, Dhambi ya kwanza na kuu kuliko zote ni kumfananisha Mungu na viumbe wengine. Dhambi kuu ya pili ni kusema mungu amejifanyia mtoto na dhambi inayofuata ni kumsingizia Yesu ametundikwa msalabani. Dhambi zingine ni kama vile kutokuvua viatu mnapoingia kanisani na kula nyama ya nguruwe..........
 
Hahahahaha sijakwepa Malyenge nimekujibu lakini ukweli ni kwamba majini hayakai kwenye nguruwe hakuna sehemu

yoyote ambapo biblia inasema majini yanakaa kwenye nguruwe biblia Mungu anazuia kula nguruwe kwasababu hacheui na

siyo kwamba anamajini,kuna sehemu ambapo Yesu alimtoa mtu majini na akayaamuru yaende kwa nguruwe na hii ni

kwasababu nguruwe na hao nguruwe wakaingia baharini na kufa ingekuwa ni ng'ombe ni wazi asingefanya hivyo kwakuwa

wanaliwa,sijui wewe imani yako kwanini inazuia kula nguruwe?..

Ok!..

Hizo ni dhambi kwa mtazamo wako lakini nilitaka kujua ww unaamini dhambi ilianzaje duniani na Mungu ambaye ndiye

Muumbaji wetu hakuiumba dunia iwe na dhambi alifanya nini baada ya hilo tatizo kuingia kulingana na imani yako?..

Kuhusu hizo unazosema dhambi zetu ni uelewa ukija ukaelewa vizuri biblia sijui kama huwa unaisoma au huwa unasikiliza

tu wale wafanyabiashara wa manzese na kariakoo?..

La majini kukaa kwenye nguruwe hilo umekwepa......Wakati unajua fika hilo andiko lipo. Anayway, Dhambi ya kwanza na kuu kuliko zote ni kumfananisha Mungu na viumbe wengine. Dhambi kuu ya pili ni kusema mungu amejifanyia mtoto na dhambi inayofuata ni kumsingizia Yesu ametundikwa msalabani. Dhambi zingine ni kama vile kutokuvua viatu mnapoingia kanisani na kula nyama ya nguruwe..........
 
Last edited by a moderator:
Hiyo Katiba anayoihubiri anaiamini kweli au anachagua baadhi ya vipengele.
 
Back
Top Bottom