Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Hapo nimeelewa wenye akili wanatambua Ponda ni jembe
hakuna haki pasipo utii wa sheria! That's all
Akili yako ya kushikiwa wewe endelea kufata mkumbo siku ya hukumu hata mungu atawashangaa mnakufa sababu ya ufuasi wa Ponda Mrundi.. hujasikia Ndugu zake boko haramu waliwakuta waislamu wenzie wanaswali swala ya asubuhi wakawamiminia risasi wote bado nyie mnaoamini kipofu awaongoze njia..Jina lako na hoja vinafanana!
Unasema ponda ni hatari! Amekuwa yeye Ni Panga? Au silaha?
Midomo ya asiekuwa na elimu inanuka sana!
Unanikumbusha wakati nasoma! Tulikuwa tunachuma hizo@ntonga ! Halafu unainusa! Ikianza kunuka ujue haifai! Unaitupa mbali, na ile isio na harufu safi!
Lkn kwa maelezo yako wewe, wala nisingekuwa na haja ya kujua harufu yako! We mi ningetupa chooni tu!
Picha linaendelea,nao wamepata mkanda wa ushahidi!let us wait
Hapo nimeelewa wenye akili wanatambua Ponda ni jembe
Jembe la UDINI? Mtu anatuharibia nchi unamuita jembe. Upuuzi tu na hilo jembe lako.
Wewe soma SOMA soma hapo juu kwanza afu kasoma magazeti la leo ,Mwananchi utaelewa yote !!Hakuna haki pasipo utii wa sheria! That's all
Mkuu wetu,Mhe.wetu, mpendwa wetu mchana mwema ; HAPA issue sii uchochezi bwanaa. LaMuhimu hapa ni KUPIGWA RISASI mbele ya halaiki na umma wa watu waliyohudhuria uwanjani wakiwemo watoto wazee wanawake.... (forget about hatred au uchchezi huko Urrusi kuna wachochezi,wabaguzi,makatili huko Ulaya wapo,huko marekani wapo kila aina ya chuki juu ya wageni) mchana kweupee na kwa karibu (point blank) " JUST BE FAIR "Sioni haja sana ya kuzungumzia kuhusu mtu ambaye hapo awali tuliiomba serikali imchukulie hatua kwa mihadhara yake ya uchochezi wa kidini tena ukizingatia hata Baba yake Mzee Issa alikimbia kwao kwa sababu ya vidomo domo hivyo hivyo, anakuja ugenini anafungulia domo la chuki kwa wananchi kwa mwavuli wa dini. None sense!!!
Mpendwa vipi... You like killing?ponda gaidi mkubwa yule akitoka hospital mahakamani wangemuua tuu.
Akili yako ya kushikiwa wewe endelea kufata mkumbo siku ya hukumu hata mungu atawashangaa mnakufa sababu ya ufuasi wa Ponda Mrundi.. hujasikia Ndugu zake boko haramu waliwakuta waislamu wenzie wanaswali swala ya asubuhi wakawamiminia risasi wote bado nyie mnaoamini kipofu awaongoze njia..
Walatini wanasema "Ex turpi causa non oritor actio" Ikimaanisha there is no right arise from the wrongful action.
Hapo nimeelewa wenye akili wanatambua Ponda ni jembe
Ipo siku ukishabikia unyama huu utakuja kuona mama yako anabakwa live na policcm
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapo nimeelewa wenye akili wanatambua Ponda ni jembe
Coincidence? Umechemka mkuu..sio lazima utumie kidhungu kama hujui mahali sahihi pa kutumia. Coincidence is when two or more similar or related events occur at the same time by chance and without any planning.