hakika Ponda ni Jembe na wote walio fanikisha zoezi zima la kumfikisha Ponda hospitali wote ni majembe
Allah atawalipa inshaa-allah
Sio mipini?
hakika Ponda ni Jembe na wote walio fanikisha zoezi zima la kumfikisha Ponda hospitali wote ni majembe
Allah atawalipa inshaa-allah
Hiyo sura yake tu na kama risasi ilitokea mbele mbona jeraha linaonekana kwa nyuma tu? Na risasi ikitokea upande wa pili si huwa inafumua au?Hivi angekua padri, askofu, ama mchungaji nyinyi wakristo mungeponda hivyo ebu acheni udini wenu wa kumfanya ponda aonekane mtu hatari kwa chuki zenu za urirhi, kumbuka hata waislamu ni watanzania kama nyinyi.
Jembe la UDINI? Mtu anatuharibia nchi unamuita jembe. Upuuzi tu na hilo jembe lako.
wacha wamwite jembe maana jembe laziwa litiwe mpini kwa nyuma ndio lifanye kazi.Hapo nimeelewa wenye akili wanatambua Ponda ni jembe
Hiyo sura yake tu na kama risasi ilitokea mbele mbona jeraha linaonekana kwa nyuma tu? Na risasi ikitokea upande wa pili si huwa inafumua au?