Ponda: Risasi ilinichanganya

Ponda: Risasi ilinichanganya

Status
Not open for further replies.
Hivi hadi muda huu bado watu wanataka kukwepa kuwajibika kwa kisingizio cha kutojua kama ni risasi ama la? Hata kama Ponda alikua na makosa kiasi gani,hakustahili unyama aliofanyiwa na pia kilichofanywa na jeshi la polisi kama taasisi yenye weledi ni utoto,ujinga na ni fedheha tu.
 
Duh! Ponda ana mkanda wa ushahidi tukio la morogoro na mhe mbowe nae ana mkanda wa ushahidi tukio la arusha? What a coincidence?
 
Kuna kalikundi cha watu wachache wanaotaka nchi ivurugike lkn cha kushangaza serikali haiwajui, hivi inawezekanaje??
Au ni hiyohiyo serikali inataka kuvuruga nchi??
 
Itakuwa alipigwa na kitu chenye incha kali na wafuasi wake katika purukushani za kuwazuia polisi wasimtie nguvuni
 
Polisi acheni kaole zenu mnadai ponda hakupigwa risasi sasa nini kile, kama nyinyi hamuhusiki basi tengenezeni filamu ya muhusika si ndio zenu
 
Ipo siku ukishabikia unyama huu utakuja kuona mama yako anabakwa live na policcm

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yaonekana wewe mbakaji ndiyo maana unayajua haya mambo ya ubakaji sana.
 
Wamepata mkanda wa ushahidi yaleyale ya mbowe hivi vitu wanavipanga.
 
hakika viongozi wetu wajifunze madhara ya kitu kinachoitwa imani.
hii kitu ina hatua zifuatazo :
1.Myth
2.Belief.
3.Faith.
sasa wakizubaa ikafika hiyo hatua ya 3 wajue yale tunayoyasikia Palestina na Israel yatakuwa part & parcel of our daily life.
hii ni tahadhari yangu.
 
Kumbe na wewe ni mbulula tu, huyo mama yake anahusika nini hapo ? Ama ponda ni mama yako ndo mana unamfanamishia mama yake?
Yaani nyie watu wenye udini mnakuwaga na matatizo sana, Mwenyezi Mungu mwenye rehema nyingi awarehemu.
kwakua umerukia kujibu post isiyoelekezwa kwako,nami nichukue fursa kujibu kwa niaba.

Kwani na yeye mke wa ponda inamhusu nini?au wewe unajisikia raha wengine wanakejeriwa yakikugeukia unalalamika?
Punguza unafiki bana.
 
Wamepata mkanda wa ushahidi yaleyale ya mbowe hivi vitu wanavipanga.
hata simu ya mkononi inaweza kucapture matukio,in case kama ulikua hujui.Teknology imekua sana.

Unasema walipanga?
Wale FFU na difenda kama kumi nao walikuwa wamesetiwa na ponda?
 
Swali moja kwako ponda, hao wanyonge unaowatetea no pamoja na makafiri au?

Yap pa1 na nyie....km kutetea watu kukaa jela kwa mda mrefu bila ya hukumu kwani inawatokea waislam 2?
 
Sasa ujembe wa Ponda ukuwapi!? Huyu Mtu hakuhurumii hata wewe muislamu mwenzie!! Ponda ni Mtu hatari kwenye Jamii. Mie hua nashangaa kwa nini baadhi ya waislamu wepesi kurubunika ndio maana mnauawa sana kufuata akili za watu Kama Ponda.

Wewe utaish milele bora cc 2nakufa kwa haki na tunaenda pepon
 
Hivi angekua padri, askofu, ama mchungaji nyinyi wakristo mungeponda hivyo ebu acheni udini wenu wa kumfanya ponda aonekane mtu hatari kwa chuki zenu za urirhi, kumbuka hata waislamu ni watanzania kama nyinyi.
 
Duh! Ponda ana mkanda wa ushahidi tukio la morogoro na mhe mbowe nae ana mkanda wa ushahidi tukio la arusha? What a coincidence?

Coincidence? Umechemka mkuu..sio lazima utumie kidhungu kama hujui mahali sahihi pa kutumia. Coincidence is when two or more similar or related events occur at the same time by chance and without any planning.
 
Sasa ujembe wa Ponda ukuwapi!? Huyu Mtu hakuhurumii hata wewe muislamu mwenzie!! Ponda ni Mtu hatari kwenye Jamii. Mie hua nashangaa kwa nini baadhi ya waislamu wepesi kurubunika ndio maana mnauawa sana kufuata akili za watu Kama Ponda.

Jina lako na hoja vinafanana!
Unasema ponda ni hatari! Amekuwa yeye Ni Panga? Au silaha?
Midomo ya asiekuwa na elimu inanuka sana!
Unanikumbusha wakati nasoma! Tulikuwa tunachuma hizo@ntonga ! Halafu unainusa! Ikianza kunuka ujue haifai! Unaitupa mbali, na ile isio na harufu safi!
Lkn kwa maelezo yako wewe, wala nisingekuwa na haja ya kujua harufu yako! We mi ningetupa chooni tu!
 
Walianza kutuchonganisha kisiasa,wanaelekea kushindwa. Wakajaribu kutuchonganisha ki kabila ndio kabisa huko wakaona hakuna nafasi. Sasa wameona kama kutuchonganisha kidini kunaweza kufanikuwa,serikali na vyombo vya usalama muwe makini na hili. Mtaingizwa mtegoni bila kujielewa.Kisha dunia itakuja walaumu na kuwahukumu baadae. Mbona mambo yaliyo straight kuyaelezea na kuyafafanua na kuyashughurikia ki sayansi nyie mna babaika hata kuyaelezea na kuyachukulia hatua? Nini na nani wapo nyuma ya pazia! Mungu ibariki Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom