Hapo nimeelewa wenye akili wanatambua Ponda ni jembe
Coincidence? Umechemka mkuu..sio lazima utumie kidhungu kama hujui mahali sahihi pa kutumia. Coincidence is when two or more similar or related events occur at the same time by chance and without any planning.
Swali moja kwako ponda, hao wanyonge unaowatetea no pamoja na makafiri au?
Sasa ujembe wa Ponda ukuwapi!? Huyu Mtu hakuhurumii hata wewe muislamu mwenzie!! Ponda ni Mtu hatari kwenye Jamii. Mie hua nashangaa kwa nini baadhi ya waislamu wepesi kurubunika ndio maana mnauawa sana kufuata akili za watu Kama Ponda.
Kitu chenye ncha kali Iyo kudadadeki. Mzungu hajakariri kasoma na kuelewa. Ukibonyeza tu kinaruka hewani. Kwanini usichanganyikiwe! Muulize mke wake Osama kilichootokea Abotabad yule bibie myemen Amal al sadah alinukuliwa akisema america is dangerous baada ya wanaume kumfytulia vitu vyenye ncha kali kilichowaacha hoi hawakuwagusa wanawake na watoto hao na mwili wa nduli osama bin laden na kumzika baharini kwa kufuata taratibu zoote za kiislamu.
Says kufar.. ..
Huyu ponda anapaswa kula risasi ya kichwa tu! Atuondolee mambo yake ya udini..
Anaye beza swala la Ponda lazima anasilika za ugamba tu!
Mwambie JK na Pinda waende kumjulia hali Ponda! Thubutu!!!!!!
Hapa ndipo umuhimu wa kusikiliza ni nini hasa waislam wanachodhani wanapokwa haki zao kizungumzwe na pande zote mbili, kuna hoja kwamba Bakwata haisimamii haki za waislamu wote bali kakundi ka watu wachache kanakojipendeza kwa watawala, sasa hizi si zama za kutishana kwa moto, cha msingi ni kukaa menzani na kuyamaliza, hakuna jambo ambalo halina suruhu hapa duniani, if we want our peaceful land back..
Swali: Nini msimamo wako baada ya tukio?
Jibu: Nitaendelea kuzungumzia haki za Waislamu na siwezi kurudi nyuma. Pamoja na kwamba wananiona mimi ni mtu mchochezi lakini wanaeneza chuki dhidi yangu kwa njia wanazojua wao. Nitaendelea, risasi haitaninyamazisha.
Acha siasa weye.. . Waislam tupo tunaomuombea na wapo wanaomtembelea kiongozi wetu.. wapo wanaotaka kuligeuza hili swala mtaji wa kisiasa
Jembe la UDINI? Mtu anatuharibia nchi unamuita jembe. Upuuzi tu na hilo jembe lako.
Hapa ndipo umuhimu wa kusikiliza ni nini hasa waislam wanachodhani wanapokwa haki zao kizungumzwe na pande zote mbili, kuna hoja kwamba Bakwata haisimamii haki za waislamu wote bali kakundi ka watu wachache kanakojipendeza kwa watawala, sasa hizi si zama za kutishana kwa moto, cha msingi ni kukaa menzani na kuyamaliza, hakuna jambo ambalo halina suruhu hapa duniani, if we want our peaceful land back.
Nafikiri kuna point ambazo Ponda anaona ni za msingi as far as islamic is concerned. tumsikilize!! kama tunavyopata fursa kusikiliza makundi mengine.
A killer who should die as well. Kama hanyamazi basi risasi zitamnyazisha. Hivi hamjui JK? Ponda is an idiot, wewe shehe wa zanzibar kamwagiwa tindikali bcoz of him, leo anaendeleza huu mpango wa kuvuruga amani.