Ponda hali mbaya

Ponda hali mbaya

Status
Not open for further replies.
Hili neno la mfumo kristu limekuwa likitumiwa sana na waislamu kuonyesha kwamba nchi yetu inatawaliwa kikristu kitu ambacho si kweli.Sasa kama nchi hii imejengwa katika mfumo wa kikristu,mbona leo hii kuanzia visiwani mpaka bara watawala wa nchi ni waislamu wote kuanzia rais mpaka makamu wa rais?mnashindwa nini kuifanya nchi iwe ya mfumo islamu iliali kwa sasa inatawaliwa na waislamu?.Nijuavyo mimi nchi yetu tangu uhuru watu wa dini zote wamekuwa wakipewa madaraka,wakati wa Mwl.Nyerere Ndugu Rashid Kawawa alikuwa makamu wa rais na baadae waziri mkuu,najua waislamu wengi huwa wanamlaumu mwl.Nyerere kwa kujenga huo mfumo kristu wa kufikirika,sasa kama kweli Mwl.nyerere alikuwa mdini ni kwa vipi alimuamini Kawawa na kumpa umakamu iliali kulikuwa na wakristo wengi tu wa kushika wadhifa huo?nchi yetu imekuwa na cultural balance tangu uhuru mpaka sasa,hivi wenzetu waislamu hamuoni Kenya na Uganda kuna waislamu lakini sijawahi kuona na wala kusikia muislamu ameshika madaraka ya juu ya nchi ukilinganisha na Tanzania.Je,mpaka hapo mfumo kristu uko wapi Kenya na Uganda au Tanzania?Ndugu waislamu acheni siasa za kibaguzi zitatufikisha kubaya,wakristo wakiamua kutawala nchi hii peke yao wanaweza kwasababu ya wingi wao kama wafanyavyo majirani zetu lakini sisi watanzania taifa letu halikujengwa katika misingi ya ubaguzi bali lilijengwa katika misingi ya usawa na ndio maana siasa ya nchi yetu ipo unique ukilinganisha na chi kama Misri na Nigeria ambapo watu wapo bize kugombea madaraka kwa misingi ya udini.Labda niseme kwa kitu ambacho waislamu wa tanzania hatujakijua ni kwamba ndani ya dini zetu hizi mmbili yaani Uilamu na Ukristo pia kuna udini ndani yake,yaani katika Ukristo kuna matabaka pia,wamo WASABATO,WAPENTECOSTE,WAKATOLIKI,WALUTHERI n.k na katika uislamu pia kuna matabaka pia.Kwaiyo tukitaka tuachie hii dhana ya udini kama ndiyo dira ya kouongoza nchi hatutafika tuendako kamwe ndugu watanzania.Utafanyika uchaguzi leo baada ya kinyang'anyiro kikali,atimaye atashinda mkatoliki,mkumbuke lawama zitakuja tena kwanini sisi WASABATO tutawaliwe na MKATOLIKI na vilevile kwa waislamu akishinda MSHIA,WASUNI watasema aaaah....haiwezekani tutawaliwaje na MSHIA.Kwaiyo ndugu zangu waislamu mliomezeshwa mambo ya mfumo ukristu fikirika tambuaeni kwamba hakuna nadharia iyo kwenye nchi yetu,kuna wajinga wachache ndiyo wanaotaka tuamiani ivyo ili nchi yetu iingie kwenye machafuko.Najua kuna madai mengi ambayo waislamu wanayadai kwa serikali ya CCM lakini kinachotakiwa ni kujenga hoja zitakazoishawishi serikali kukubaliana na hoja zenu na katu si kuingiza mambo ya udini inapoonekana hoja zenu zimeshindwa kuishawishi serikali.Inshort,my fellow Tanzania wether you are muslim or christian let us join our forces to protect our MAMALAND Tanzania by ensuring peace, harmony and tranguility prevail for the betterment of our future generation,yes we have different religious ideologies but we are all tanzanian,so let each one of us ensure that we leave this country peaceful as our forefathers did to us all who live in today.
NIMEIPENDA ARTICLE YAKO NA INAVUTIA KWELI. kwa waislamu salamu kama hizo zako zenye hekima wao hawazisikilizi kabisaa kwa sababu wao wako kutaka ugomvi tuu.
 
Hicho kilichomuingia Ponda katika nyama zake ndicho anachohamasisha kwa nyakati zijazo!!
 
Mfumo upi?? wewe umeishia la 7 alaf unataka kula neema za nchi?? nenda shule, jibidiishe uone raha za dunia. Mfumo huohuo mnaoutolea mapovu unawapa kichapo hata hao wakristo mnaodhani wanabebwa.
Jitambue..

Vyuo.jpg

Vyuo vilivyotunukiwa hati baada ya kutimiza taratibu zote na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Jakaya mrisho Kikwete ni Chuo Kikuu cha Tumaini (TUMA), Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Chuo Kikuu Kishiriki cha Ruaha (RUCo), Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU), Chuo Kikuu cha Arusha (UoA),Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo), Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Arusha (NM-AIST) na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST).

Kwenye red hapo Angalieni juhudi za wenzenu wakristo kati ya vyuo nane 6 ni vyuo vinavyomilikiwa na wakristo. na ukienda kwa undani zaidi utawakuta waislamu wengi tu wanasoma katika vyuo hivyo
 
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka

Hii mifumo Kristu kweli imeenea sana, hebu tazama Somalia, Libya, Misri, Afghanistan, Syria, DRC Tunisia, Mali, Nigeria, Iraq kote huku chanzo cha machafuko ni mifumo Kristu. Mkuu crabat, siku nyingine usikubali kufungiwa ndani ya chumba halafu ukakarirshwa mambo na kuyaongea bila kujua kinachoendelea katika maeneo mengine.
 
All in all ukihamasisha vurugu itagusa jamii yote sio mwisilam au mkristo,tumuombe Mungu atuepushe na hili janga maana yanaendelea misri na syria kila mtu anayaona
 
tatizo lenu mnaviherehere sana, yaani kuanzia vioongozi mbaka waumini, ndicho kinachowaponza, panya pori nyie.

ha ha ha ha ha! nadhani naweweni panya buku! Viongozi wa juu wa serikali ni waislamu wenzako lakini bado unalalamikia mfumo kristo? Are you out of your mind?
 
ni heri hiyo risasi ingempata kichwani mpuuizi sana huyo ponda
 
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka

Sijaelewa mnavyosema eti nchi inaendeshwa kimfumo KRISTO. Hebu tuangalie ukweli huu:
1.Rais-muislam
2.Makam wa Rais-muislam
3.IGP-muislam
4.Wakuu wa mikoa na wilaya wengi waislam
5.Kitengo cha Qur'an kipo chini ya makam wa Rais
6.Serikali ya Zanzibar hakuna kiongozi wa serikali mkristo.
Waislam kwa kulalamika mmejaliwa.Au hao wote niliowataja ni wakristo?Mjiongeze akili.
 
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka

Kipindi cha Nyerere ilisemwa nchi inaendeshwa Kikristo, kipindi cha Mkapa pia.
Kipindi hiki cha JK maneno ni yaleyale. Yapo maneno yalishawahi kusemwa kuwa Prof Lipumba akiwa ktk mckiti m1 maeneo ya Kariakoo alinena kuwa alifanya jitihada ili JK aingie madarakani kwa kuwa ni Mwislam.

Sasa nashindw kuelewa vzur:
1. Tupe tafsiri yako kuhusu 'mfumo Kristo'
2. Je, JK anaendesha nchi kwa kutumia mfumo Kristo au unataka kutuambia JK anendeshwa kwa kitenda-mbali (remote control) toka nyuma ya pazia?
3. Kama wakristo waliendesha nchi kwa mfumo Kristo na waislamu nao wanaendesha kwa mfumo Kristo je, ni nani takaeiendesha kwa "mfumo islamu"? Je huyo atakuwa Mpagani(asie na dini)?
 
Yaani jeraha la bega tu,alafu wanasema hali mbaya!!

Ponda aache utoto,atulie apate haki yake hata segerea kuna hospital watamtibu.
 
Naombeni uhusiano uliopo kati ya Kinachodaiwa kuwa ni uchochezi alioufanya ponda kwa kusema "Ndugu Waislamu msikubali uundwaji wa kamati za ulinzi na usalama za misikiti kwani kamati hizo zimeundwa na Bakwata ambao ni vibaraka wa serikali."
na kukosa elimu kwa waislamu.
Je kunahitajika elimu ili mtu kung'amua kama Bakwata ni vibaraka wa serikali?
 
Mfumo upi?? wewe umeishia la 7 alaf unataka kula neema za nchi?? nenda shule, jibidiishe uone raha za dunia. Mfumo huohuo mnaoutolea mapovu unawapa kichapo hata hao wakristo mnaodhani wanabebwa.
Jitambue..

Sasa mtu unaetoa kashfa kama wewe! Kweli utaweza kumshauri muungwana kweli!?
We kwako waislamu woote si wasomi!
Hii mijitu mingine ni hasara tu kwa taifa.
 
ha ha ha ha ha! nadhani naweweni panya buku! Viongozi wa juu wa serikali ni waislamu wenzako lakini bado unalalamikia mfumo kristo? Are you out of your mind?

Huku kudhani dhani kwako kutakuponza siku moja! Nyie ndio makapi ktk jamii!

Nyau we!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom