Ponda hali mbaya

Ponda hali mbaya

Status
Not open for further replies.
Pondaaaaa, ukishapona karibu SHULE. Soma kidogo tu walau mpaka Form 4 upate akili na umaana wa kile unachokipigania. Ni kama bado upo gizani vile!

Hivi nyie mnanposema kusoma mna maanaisha kufika chuo na kupata vyeti au kutumia elimu aliyopata mtu kuboresha mazingira/ maisha ya watanzania ? mbona hao hao wanaoitwa wasomi leo hii ndio wanaovaa kata k, wanadada ndio wanatembea chupi nje ,wanatofauti gani hao na wale darasa la sababwanaojitambua?.

mf wewe unayejiita msomi umeitumiaje elimu yako kama sio kusubiri kupata ajira kwa serikali ama wahindi? kwa coment zako tu unaonekana huna cha usomi wala nini tena hata kama unadai unautete ukristo ni bure kwa sababu ukristo unahubiri kuwapenda hata maadui wako sasa kama Ponda ni adui kwa mtazamo wako ndio unapaswa kumpenda ili aone jinsi ukristo ulivyo mzuri...
 
Mbaya zaidi mhuni yuleyule mwenye elimu na akili zilezile anawahutubia watu walewale wenye akili zilezile na elimu ileile ya kahawa na soga,,, kwa njia ya kuwajaza upepo

Umememaliza Mkuu! Ila hawajitambui, wako kutwa chini ya miembe wakicheza bao na kunywa kahawa, hali zao zikiwa mbaya wanasema mfumo Kristo! Angalia shule zao na vyuo vyao vinatoa products gani ndo utajua hii mikitu hovyo sana
 
Kufa kwake ni mapenz ya Mungu na kila kitu kitakufa na tutambue hakuna nafuu ya kifo ila kwa watendao mema, so usishabikie kifo cha mwenzako, jiandae na chakwako.
 
Mkuu naona suala la wake wengi na watoto limekukaa kweli! waacheni waislam waijaze dunia, nyinyi zaeni mmoja tu au ikiwezekana msizae kabisa, ili muweze kuishi maisha mnayoweza kujipangia wenyewe!!

Endeleeni kuzaa hata laki 1, mkishindwa kuwapa elimu msibebe majambia na kupambana na mamlaka ya nchi!
 
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka

Unatafutwa kule Mirembe baada ya kutoroka. Au walidhani umepona wakakuachia? Kwa post yako bado kabisa ni bora ungerudi ili umalizie dozi yako.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Pray to Allah, hi might remember him.

images
 
Charge sheet ya DPP ni defective kama unabisha shuhudia Ponda atakavyotoka dismiss kama sio nole proseque
 
Hivi nyie mnanposema kusoma mna maanaisha kufika chuo na kupata vyeti au kutumia elimu aliyopata mtu kuboresha mazingira/ maisha ya watanzania ? mbona hao hao wanaoitwa wasomi leo hii ndio wanaovaa kata k, wanadada ndio wanatembea chupi nje ,wanatofauti gani hao na wale darasa la sababwanaojitambua?.

mf wewe unayejiita msomi umeitumiaje elimu yako kama sio kusubiri kupata ajira kwa serikali ama wahindi? kwa coment zako tu unaonekana huna cha usomi wala nini tena hata kama unadai unautete ukristo ni bure kwa sababu ukristo unahubiri kuwapenda hata maadui wako sasa kama Ponda ni adui kwa mtazamo wako ndio unapaswa kumpenda ili aone jinsi ukristo ulivyo mzuri...

Ukristo hautetewi unatutetea, na unajitetea maana kristo yupo hai.
na hapo uadui umeingiaje wakati niushauri wa kusoma ametoa,
Mtu akikuambia ukasome anakuwa adui yako?
 
Endeleeni kuzaa hata laki 1, mkishindwa kuwapa elimu msibebe majambia na kupambana na mamlaka ya nchi!
Mgawa riziki ni mmoja tu, kwa waja zinapitia tu, unaweza ukazaa mmoja ukashindwa kumuhudumia, au ukawa na kila uwezo wa kumuhudumia lakini akawa muhuni mvuta unga, malaya n.k. haya mambo bwana yako beyond of our thinking!!
 
udini hauta ondoka kwa kufa Ponda ila utaondoka ukiondoka mfumo kristo ambapo nchi itaendeshwa kwa misingi ya haki usawa na bila kujali dini za watu.. tukifika hapo udini utaondoka....
sana akifa ponda ndio matatizo yatazidi....tutachukulia ameuliwa na mfumo ambao hautaki kuona unaondoka
Hili neno la mfumo kristu limekuwa likitumiwa sana na waislamu kuonyesha kwamba nchi yetu inatawaliwa kikristu kitu ambacho si kweli.Sasa kama nchi hii imejengwa katika mfumo wa kikristu,mbona leo hii kuanzia visiwani mpaka bara watawala wa nchi ni waislamu wote kuanzia rais mpaka makamu wa rais?mnashindwa nini kuifanya nchi iwe ya mfumo islamu iliali kwa sasa inatawaliwa na waislamu?.Nijuavyo mimi nchi yetu tangu uhuru watu wa dini zote wamekuwa wakipewa madaraka,wakati wa Mwl.Nyerere Ndugu Rashid Kawawa alikuwa makamu wa rais na baadae waziri mkuu,najua waislamu wengi huwa wanamlaumu mwl.Nyerere kwa kujenga huo mfumo kristu wa kufikirika,sasa kama kweli Mwl.nyerere alikuwa mdini ni kwa vipi alimuamini Kawawa na kumpa umakamu iliali kulikuwa na wakristo wengi tu wa kushika wadhifa huo?nchi yetu imekuwa na cultural balance tangu uhuru mpaka sasa,hivi wenzetu waislamu hamuoni Kenya na Uganda kuna waislamu lakini sijawahi kuona na wala kusikia muislamu ameshika madaraka ya juu ya nchi ukilinganisha na Tanzania.Je,mpaka hapo mfumo kristu uko wapi Kenya na Uganda au Tanzania?Ndugu waislamu acheni siasa za kibaguzi zitatufikisha kubaya,wakristo wakiamua kutawala nchi hii peke yao wanaweza kwasababu ya wingi wao kama wafanyavyo majirani zetu lakini sisi watanzania taifa letu halikujengwa katika misingi ya ubaguzi bali lilijengwa katika misingi ya usawa na ndio maana siasa ya nchi yetu ipo unique ukilinganisha na chi kama Misri na Nigeria ambapo watu wapo bize kugombea madaraka kwa misingi ya udini.Labda niseme kwa kitu ambacho waislamu wa tanzania hatujakijua ni kwamba ndani ya dini zetu hizi mmbili yaani Uilamu na Ukristo pia kuna udini ndani yake,yaani katika Ukristo kuna matabaka pia,wamo WASABATO,WAPENTECOSTE,WAKATOLIKI,WALUTHERI n.k na katika uislamu pia kuna matabaka pia.Kwaiyo tukitaka tuachie hii dhana ya udini kama ndiyo dira ya kouongoza nchi hatutafika tuendako kamwe ndugu watanzania.Utafanyika uchaguzi leo baada ya kinyang'anyiro kikali,atimaye atashinda mkatoliki,mkumbuke lawama zitakuja tena kwanini sisi WASABATO tutawaliwe na MKATOLIKI na vilevile kwa waislamu akishinda MSHIA,WASUNI watasema aaaah....haiwezekani tutawaliwaje na MSHIA.Kwaiyo ndugu zangu waislamu mliomezeshwa mambo ya mfumo ukristu fikirika tambuaeni kwamba hakuna nadharia iyo kwenye nchi yetu,kuna wajinga wachache ndiyo wanaotaka tuamiani ivyo ili nchi yetu iingie kwenye machafuko.Najua kuna madai mengi ambayo waislamu wanayadai kwa serikali ya CCM lakini kinachotakiwa ni kujenga hoja zitakazoishawishi serikali kukubaliana na hoja zenu na katu si kuingiza mambo ya udini inapoonekana hoja zenu zimeshindwa kuishawishi serikali.Inshort,my fellow Tanzania wether you are muslim or christian let us join our forces to protect our MAMALAND Tanzania by ensuring peace, harmony and tranguility prevail for the betterment of our future generation,yes we have different religious ideologies but we are all tanzanian,so let each one of us ensure that we leave this country peaceful as our forefathers did to us all who live in today.
 
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu, kutokana na jeraha hilo la risasi alilonalo kiongozi huyo, hekaheka alizozipata siku hiyo zilisababisha atoneshe kidonda na kumfanya ashindwe kusimama wala kulala hadi familia kufikia hatua ya kuomba arudishwe Hospitali ya Muhimbili katika kitengo cha mifupa (Moi) kwa matibabu zaidi.

“Kiukweli hali ni mbaya, wamempeleka harakaharaka tena ghafla, matokeo yake wamemtonesha kidonda. Tunaomba wamrudishe tena Moi (Muhimbili),” alisema mmoja wa ndugu wa familia aliyeomba hifadhi ya jina.
Apelekwe India au SA & alipiwe na serikali (lisije tokea la kutokea). Huyu ni VIP kwa watu wengi tu na pia ni high value criminal ..
 
Ukristo hautetewi unatutetea, na unajitetea maana kristo yupo hai.
na hapo uadui umeingiaje wakati niushauri wa kusoma ametoa,
Mtu akikuambia ukasome anakuwa adui yako?

Statement nyingi zinaonekana humu ni kejeli na vijembe ambavyo kimsingi havijengi,nini tofauti ya darasa la sabab na aliyefika chuo alafu akashindwa kujitambua? mf mtu ana degree yake labda ya uchumi ama siasa lakini anajiita yeye ni Mroma au Anglikana sasa huyu utamwelewaje? wakati tunajua yeye ni mhehe,mgogo au hata mhaya uroma Anglikana ameutoa wapi?.

Sasa hawa ndio wanaowakejeli waislam kwamba eti hawajasoma wao wamesoma! kama ni kuelimishana basi iwe kwa lugha nzuri na sio kejeli,
 
Hili neno la mfumo kristu limekuwa likitumiwa sana na waislamu kuonyesha kwamba nchi yetu inatawaliwa kikristu kitu ambacho si kweli.Sasa kama nchi hii imejengwa katika mfumo wa kikristu,mbona leo hii kuanzia visiwani mpaka bara watawala wa nchi ni waislamu wote kuanzia rais mpaka makamu wa rais?mnashindwa nini kuifanya nchi iwe ya mfumo islamu iliali kwa sasa inatawaliwa na waislamu?.Nijuavyo mimi nchi yetu tangu uhuru watu wa dini zote wamekuwa wakipewa madaraka,wakati wa Mwl.Nyerere Ndugu Rashid Kawawa alikuwa makamu wa rais na baadae waziri mkuu,najua waislamu wengi huwa wanamlaumu mwl.Nyerere kwa kujenga huo mfumo kristu wa kufikirika,sasa kama kweli Mwl.nyerere alikuwa mdini ni kwa vipi alimuamini Kawawa na kumpa umakamu iliali kulikuwa na wakristo wengi tu wa kushika wadhifa huo?nchi yetu imekuwa na cultural balance tangu uhuru mpaka sasa,hivi wenzetu waislamu hamuoni Kenya na Uganda kuna waislamu lakini sijawahi kuona na wala kusikia muislamu ameshika madaraka ya juu ya nchi ukilinganisha na Tanzania.Je,mpaka hapo mfumo kristu uko wapi Kenya na Uganda au Tanzania?Ndugu waislamu acheni siasa za kibaguzi zitatufikisha kubaya,wakristo wakiamua kutawala nchi hii peke yao wanaweza kwasababu ya wingi wao kama wafanyavyo majirani zetu lakini sisi watanzania taifa letu halikujengwa katika misingi ya ubaguzi bali lilijengwa katika misingi ya usawa na ndio maana siasa ya nchi yetu ipo unique ukilinganisha na chi kama Misri na Nigeria ambapo watu wapo bize kugombea madaraka kwa misingi ya udini.Labda niseme kwa kitu ambacho waislamu wa tanzania hatujakijua ni kwamba ndani ya dini zetu hizi mmbili yaani Uilamu na Ukristo pia kuna udini ndani yake,yaani katika Ukristo kuna matabaka pia,wamo WASABATO,WAPENTECOSTE,WAKATOLIKI,WALUTHERI n.k na katika uislamu pia kuna matabaka pia.Kwaiyo tukitaka tuachie hii dhana ya udini kama ndiyo dira ya kouongoza nchi hatutafika tuendako kamwe ndugu watanzania.Utafanyika uchaguzi leo baada ya kinyang'anyiro kikali,atimaye atashinda mkatoliki,mkumbuke lawama zitakuja tena kwanini sisi WASABATO tutawaliwe na MKATOLIKI na vilevile kwa waislamu akishinda MSHIA,WASUNI watasema aaaah....haiwezekani tutawaliwaje na MSHIA.Kwaiyo ndugu zangu waislamu mliomezeshwa mambo ya mfumo ukristu fikirika tambuaeni kwamba hakuna nadharia iyo kwenye nchi yetu,kuna wajinga wachache ndiyo wanaotaka tuamiani ivyo ili nchi yetu iingie kwenye machafuko.Najua kuna madai mengi ambayo waislamu wanayadai kwa serikali ya CCM lakini kinachotakiwa ni kujenga hoja zitakazoishawishi serikali kukubaliana na hoja zenu na katu si kuingiza mambo ya udini inapoonekana hoja zenu zimeshindwa kuishawishi serikali.Inshort,my fellow Tanzania wether you are muslim or christian let us join our forces to protect our MAMALAND Tanzania by ensuring peace, harmony and tranguility prevail for the betterment of our future generation,yes we have different religious ideologies but we are all tanzanian,so let each one of us ensure that we leave this country peaceful as our forefathers did to us all who live in today.

Hivi tafsiri sahihi ya udini ni ipi ili neno hili lisije kusababisha mtu awaye yeyote kukosa haki zake za kimsingi, nasema hivi kwasababu naona tunakoelekea watanzania ni kubambikiana sifa mbaya ili kutimiza lengo fulani.

Tukishapata tafsiri sahihi ndio sasa tulihusishe na matukio mbalimbali ambayo kwa sasa yaonekana kuwa ni ya udini, ni ushauri mwenye tafsiri sahihi na aitupie humu JF.
 
Mimi Binafsi yangu ninamuombea Afya Sheikh Ponda na uzima ila atakapo toka ajirekebishe

mazungumzo yake asitumie

Udini kuwapiga vita wasiokuwa katika dini yake atumie njia za haki kudai anachotaka toka

Serikalini. Yeye Sheikh Ponda ni Kiongozi wa Ki dini awe mfano mzuri kwa Wenzake.

Ningependa Ndugu

zangu Waislam na ndugu zangu Wakristo wote hapa nchini tuwe kitu kimoja tuache Tofauti zetu za Ki

Dini na imani. Kila

mmoja wetu ajaribu kuheshimu dini ya Mwenzake Wa-Tanzania sisi sote ni ndugu, Tupige Vita

Umasikini,Rushwa,

Magendo,Ufisadi,Maradhi,njaa na Madawa ya kulevya tuwe kitu kimoja jamani Waislam

waache waende kufanya ibada

yao Misikitini na Wakristo waache waende kufanya ibada zao Makanisani Aluta continua

Asanteni
. Nawapendeni nyote muliochangia Thread yangu asanteni.
 
Maalim Mzizi, tumekusikia na nategema ndugu zako woote wamekusikia vile vile. Inshaalah, siku moja watakuelewa kuwa Chuki za akina Ustaadh Ilunga na Ponda kamwe sisi WAKRISTO hatujawai kuzifanya.

Yesu Mungu awarehemu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom