Achana na mambo ya kukopi na kupaste,unaonekana mjinga,kama huyo uliyokopi kwake,wewe utajuwa Lugha ya kiarabu kushinda waarabu wenyewe,walioacha kubudu masanamu,na wakauwacha ukiristo wakaingia uislamu.Hata maana 'ila' kwa kiarabu wala kwa kiswahili hujui, mfano:Hakuna mwanafunzi hodari 'ila' Ali,sasa hapo utanambia Ali si mwanafunzi?Ali anabaki kuwa mwanafunzi bora kuliko hao wengine,japo tusiokuwa waalimu wa hao wanafunzi,hatuwezi juwa yupi ni mwanafunzi bora,ni mpaka waalimu wao ndio watufahamishe.Huko kuwa Ali ni mwanafunzi bora,tayari ufofauti upo wa ubora,lakini bado ni mwanafunzi,ila ni bora.Acha umbulula.